Usiyoyafahamu kuhusu Malawi

Usiyoyafahamu kuhusu Malawi

Katika Mji wao mzuri wao wa Blantyre wana Barabara kuu moja tu ya Limbe ikipita kwenya uwanja wa mpira wa Kamuzu Banda. Mwisho wa barabara kuna maduka ya Wasukuma wengi yanaitwa swahili shops. Ila Wanatupenda sana Watanzania kwa kipindi cha miezi tisa niliyoishi pale niliwatafuta mno. Tatizo moja, Malawi ni kama Zambia na Zimbabwe hawana wanawake warembo. Nilichopenda Wamalawi hawajui 'kubagain' bei ya kitu, yaani wakienda dukani au sehemu yoyote kununua wakiambia ni kwacha 500 hawawezi kusema nipunguzie. Ukiomba tu kupunguziwa wanajua wewe ni Mbongo. Wana usafiri mzuri wa mabasi kutoka Blantyre hadi Johannesburg. Blantyre ni mji mzuri sana. Bia yao ni aina mbi tu Carlsberg na Carlsberg special malt. Ila kwa sasa wana import castle lager kutoka South. Mji wa Lilongwe ndio mbaya zaidi umejengwa hovyo hovyo tu sikuupenda nilikaa siku moja tu.
Halafu vitu vyao bei nafuu Sana tofauti na huku kwetu..
Mm tangu mdogo mpaka utu uzima nmetumia bidhaa za marawi
 
Katika Mji wao mzuri wao wa Blantyre wana Barabara kuu moja tu ya Limbe ikipita kwenya uwanja wa mpira wa Kamuzu Banda. Mwisho wa barabara kuna maduka ya Wasukuma wengi yanaitwa swahili shops. Ila Wanatupenda sana Watanzania kwa kipindi cha miezi tisa niliyoishi pale niliwatafuta mno. Tatizo moja, Malawi ni kama Zambia na Zimbabwe hawana wanawake warembo. Nilichopenda Wamalawi hawajui 'kubagain' bei ya kitu, yaani wakienda dukani au sehemu yoyote kununua wakiambia ni kwacha 500 hawawezi kusema nipunguzie. Ukiomba tu kupunguziwa wanajua wewe ni Mbongo. Wana usafiri mzuri wa mabasi kutoka Blantyre hadi Johannesburg. Blantyre ni mji mzuri sana. Bia yao ni aina mbi tu Carlsberg na Carlsberg special malt. Ila kwa sasa wana import castle lager kutoka South. Mji wa Lilongwe ndio mbaya zaidi umejengwa hovyo hovyo tu sikuupenda nilikaa siku moja tu.

Wewe ulifuata huko wanawake na pombe??😁😁
 
Mie naona afadhali Malawi... Wazimbabwe na Zambia ni wabovu saana.
 
Malawi ni nchi isiyo na bahari iko kusini mwanTanzania. Mpaka 2006 wananchi wa Malawi hawakuhitaji visa kuingia Uingereza. Visa ilianza baada ya Wanigeria wengi kuingia Uingereza kwa passport za Malawi.

Kuna Hospital Lilogwe ambayo ni maalum kwa wataalamu wa kigeni na watalii wanaoishi na kutembelea Malawi. Wafanya kazi wa hospital hii baada ya kufanya kazi kwa miaka miwili wana uwezo wa kuomba kazi moja kwa moja katika wizara ya afya ya Uingereza National Health Services.
kuna uhusiano Gani Kati ya Malawi na uingereza
 
Nilishawahi kuwa huko kikazi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu. Nilikuwa Blantyre...nikiishi sehemu inaitwa Namiwawa.
Wamalawi ni wakarimu sana. Nilipendelea sana Samaki aina ya chewa na vyakula vyao kwa ujumla.
Ukikutana na mwanamke wa kiMalawi mzuri anakuwa mzuri kweli kweli. Huwa naenda kutembea kila wakati ninapopata nafasi.
 
Back
Top Bottom