Usitumie pesa kama fimbo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usitumie pesa kama fimbo!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtoboasiri, Mar 22, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Kijana mmoja mtoto wa tajiri alitokea kumpenda binti mmoja mrembo kweli. Kwa kukosa kujiamini akawa kila wakikutana na yule mrembo anasifia utajiri wa baba yake. Binti "akaingia laini" na kumuomba kijana kama anampenda kweli akamtambulishe kwao
  Kijana akafanya hivyo fasta.

  Siku hizi yule mrembo ni mama mdogo wa kijana.
   
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,997
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Inachekesha na kusikitisha.Binti alipigiwa debe akaenda kwa mwenye hela si kwa mpiga debe!
   
 3. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,040
  Likes Received: 572
  Trophy Points: 280
  Baba naye Fedhuli !!!!Lakini pia yategemea kijana alimtambulishaje huyo mrembo!
   
Loading...