Usithubutu Kukutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usithubutu Kukutwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, Sep 16, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  image002.jpg
  inasemekana kwamba kuna ukweli kwamba nyoka anaweza kupita katika mabomba na kuibukia katika choo kama hivi
   
 2. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Dah, naacha kutumia hizi za kukaa.
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  image003.jpg
  tafakari iwapo umebanwa kwa kiwango cha lami............
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Umenikumbusha mtu mmoja alishawahi kuumwa na nyoka t*k^n,alikuwa anajisaidia vichakani.Kwa kweli hii ni hatari sana,tahadhari muhimu sana.
   
 5. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hakyanani sina la kusema. Jenga picha ndio anakung'uta meno kwenye centre point ya ikweta, mweh!
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  image004.jpg
  ......bilA SHAKA MAVI YATASUKUMA CHUPI
  [QBelieve it or not, Mr. Wanjohi, Specialist – Information Communication & Technology Management, found a snake in his toilet in Embakasi Nyayo Estate not very long ago, so it's not strange that snakes swim along the sewer lines and end up in the toilet bowl. It's by God's grace that his toilet pan was closed, otherwise God knows what would have befallen to them. And as he lifted the pan, he saw the snake and closed it right back (unlike those of us who enter the toilet backwards, taking it for granted the course is clear!!!). After calling for help which came between 5 - 10 minutes later, the snake had slid through the lid and was coiled on the toilet mat on the floor. It must have been fatigued by the struggle of climbing the slippery toilet bowl so it just lay coiled and didn't move. It was killed right there on the toilet floor.
  Beware!!! Always make sure the pan is closed when you go to bed lest wild life gets into your bedrooms, always switch the light on when going into the loo, and lastly but not the least make sure there is nothing in the bowl before you use the toilet.

  Never sit, before looking properly
  UOTE=Amavubi;4639766] View attachment 65118
  tafakari iwapo umebanwa kwa kiwango cha lami............[/QUOTE]
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  image005.jpg
  hakuna muamana tena hapa..........dawa ya nyoka ni nyundo...........
   
 8. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sio Cobra mpendwa. Huyu ni Cobra ana uwezo wa kucross maji tu na sio kupita chini kwa chini. Labda Python, huyo ana uwezo wa kuzama chini ya maji akala samaki na akarudi kujipatia hewa safi yenye utlivu wa shibe.
   
 9. Root

  Root JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,263
  Likes Received: 12,981
  Trophy Points: 280
  mm hadi niflash kwanza ndio natumia
   
 10. A

  Aswel Senior Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo dawa yake ni mafuta ya taa, nilishawahi kukutana na kenge na nilimuondoa kwa mafuta ya taa tu, halafu nikaendelea na hamsini zangu kama kawaida.
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  uking'atwa na nyoka mkononi utafunga kamba damu isikimbilie kwenye moyo...sasa uking'atwa maeneo flani sijui kamba utaifunga wapi kuzuia sumu...
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nilipocheki tu picture nikaminya mnuka...............!!!
   
 13. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo nguvu nyingi imetumika, kama kule Nyololo, Iringa.
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  My Gosh!! mwili umesisimka!!
   
 15. Nyasirori

  Nyasirori Senior Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 183
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Kuna jamaa mmoja tulikuwa tunafanya naye kazi akawa anaendesha sana na hivyo hakuwa na uwezo wa kwenda kazini, akawa wa kulala tu.
  Siku moja asubuhi akiwa ameenda chooni, baada ya kujisaidia akatazama kwenye tundu la choo, akakutana na kichwa cha nyoka mkubwa sana. Alikimbia na hakuendesha tena na kesho yake asubuhi tukaenda kazini wote. Kwa hiyo si mbaya ukikutana naye,yawezekana akawa msaada
   
 16. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Jamani tunatishana me naogopa

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
 17. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ukikaa vibaya anakula tigo
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Sep 17, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  anaweza kukutahiri mara ya pili kama unajisaidia,au akuzibe njia maji taka mazito au alikuja kula kozi maana dunia haieleweki siku hizi.
   
 19. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Bora ukutane na nyoka wa aina hii.....
   

  Attached Files:

  • 3.jpeg
   3.jpeg
   File size:
   42.4 KB
   Views:
   24
 20. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe Boflo, huyo naye ni nyoka au 'nyoka'? Manake mi navyofahamu nyoka hanaga shingo lkn huyu anaonekana kama 'nyoka' ambaye keshakutana na ngariba.

  Atafutwe ngariba Mtambuzi atujuze
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...