Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

. Huu ndio uhalisia mwanafunzi wa CO anabidi awe nao kichwani kwake. Hali kadhalika kwa mhitimu wa PCB- kuingia Muhimbili lazima uwe na div 1- Guide ๐—ฃ๐—–๐—•- ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฑ๐—ถ๐˜ƒ ๐Ÿญ- ๐—š๐˜‚๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ book ni chini sana ya hiyo.
Hii haimaanishi watu wasisome kozi hii, bali wasome kwa uhalisia uliopo sasa hivi na sio kuja na ndoto za alinacha. Vijana someni!
Nakazia hapo , na sio tu division 1 bali ni division 1 kali 3-6 ,
 
Hapana! Uzi huu unatoa mwanga kwa kijana na wazazi wasioijua hii kozi, hali ya soko lake ktk ajira, kuendelea na masomo-mfano MD n.k.
Na maelezo kama haya ni muhimu kwa walimu huko sekondari kuwapa vijana. Mbaya ni kumpa mtu matumaini yasiyoendana na uhalisia. Mfano- Guide book ya Muhimbili- MD inahitaji minimum ya GPA 3.0 (CO). Uhalisia ni kwamba kwa zaidi ya miaka 10 hawajawahi kuchukua CO mwenye chini ya GPA 4.5. Huu ndio uhalisia mwanafunzi wa CO anabidi awe nao kichwani kwake. Hali kadhalika kwa mhitimu wa PCB- kuingia Muhimbili lazima uwe na div 1- Guide book ni chini sana ya hiyo.
Hii haimaanishi watu wasisome kozi hii, bali wasome kwa uhalisia uliopo sasa hivi na sio kuja na ndoto za alinacha. Vijana someni!
Uchumi changamoto pia mkuu
 
Serikali imeharibu hzi kozi za CO kwa kuruhusu udahili wa uwe alama D ...yahn serious mtu anaenda kusomea utabibu kwa kupata alama D.Nina experiences ya kufundisha mtu anayepata D huwa na uwezo mdogo sana wa kureason mambo na wengi huwa wanapata divisions 3.ukimpata mtu anasoma CO kwa selection ya alama D halafu kapata division 1 nimekaa pale.
mtu anaunga dip kwa D 4 afu degree atakutana na mtu katandka AAA PCB,

Elimu inachezewa wallah.
 
Au kama addo bado inatolewa tunaomba utujuze chuo ambacho kinatoa kwa sasa maana hata mm nataka kusoma addo. Na huwa nna regret kwann sikusoma.

Na sababu kubwa sio addo kukosa ubora ila ni wingi wa pharmacy technician ana dispenser (level 4) wanaohitim kwa sasa hakuna upunguf.

Na kwenye upnde wa pharmacy hata mtu anaishia level 4 & 5 anaweza kudispense dawa ndo mana addo ikafutwa
Nikufata waziri DM mpk atoe neno
 
mtu anaunga dip kwa D 4 afu degree atakutana na mtu katandka AAA PCB,

Elimu inachezewa wallah.
Sister kuna waliopata div one form four ila six kapiga zero acha kujikatisha tamaa kisa triple A za PCB twende kwenye practical kam huifanyii kazi hizo A itakuw bure
 
Practical huyu wa AAA za PCB anafanyia Degree, na sio Dip km huyo failures wa D 4
Mh kazi kweli kweli ila sio kwamba wanaosoma diploma wana ufaulu huo but kuna wengine wana div one kabisa lakini wanazngua pia maana sometime unakuta mtu uko vizuri theory lakini ukikutana na chief wodini anakukazia kabisa hutoboi sasa div one yako inaingia wapi kwenye uelewa wa mtu darasani au?
 
Mh kazi kweli kweli ila sio kwamba wanaosoma diploma wana ufaulu huo but kuna wengine wana div one kabisa lakini wanazngua pia maana sometime unakuta mtu uko vizuri theory lakini ukikutana na chief wodini anakukazia kabisa hutoboi sasa div one yako inaingia wapi kwenye uelewa wa mtu darasani au?
Unataka kusema wa Dip ni bora kuliko wa degree?
 
Guidebook 2023/24 GPA ni 3.0 na kuendelea

Chuo nilichosoma mtu wa mwisho alkua na gpa ya 3.6 kwa tulioanza nao level 4. ila wale waliokuja ku upgrade ndo kuna mmoja alipata 3.0 ambae huyu kuna module arirudia na alkua peke ake aliefeli na mwingine 3.5 na walio pata gpa chini ya 4.0 walkua sita tu kati ya wahitim 62 (but this was 2019)
Chuo gani mkuu, mnahitaji pongezi
 
Mkuu acha ubishi ,nakupa mfano mwaka 2021 chuo cha Lugalo wa mwisho alikua na 4.3 GPA unasemaje hapo?. Siku hizi Clinical medicine ina mazingira wezeshi sana watu kutoboa kuna mambo mengi mwanafunzi ashindwe mwenyewe ni kama unavyona form 4 ya sasa ilivyo rahisi kufaulu. Tunakubali wanaofeli wapo ila kwa rate ndogo sana.
Sikujua kama lugalo wanachuo
 
Umeongea ukweli kasoro Hiyo namba ya kudahili let say 4100, ni Kweli wanadahiliwa wengi ila wanafeli sana, na wanaomaliza ni robo ya hiyo namba, pia sio Kweli kwamba CO wapo wengi sana kihivyo, ila sema kuna vyuo vingi sana vinadahili wanafunzi wa utabibu ila wanaofanikiwa kumaliza bado ni wachache sana, Kwahiyo ni kweli wanaosomea utabibu ni wengi ila wanaohirimu ni wachache bado, yote kwa yote ni kozi ambayo usiweke kipaumbele kuisoma kwasasa.
 
Back
Top Bottom