Usiri wa mali katika ndoa

Usiri wa mali katika ndoa

[/Color]

Hahahaha Nyani Ngabu umeniacha hoi, ni kweli kabisa usemayo usiri usiyo na tija hauna maana yoyote.

Unakuta mtu anahangaika na kukazana kumficha au kutokumruhusu mwenzake aishike simu yake.

Na unakuta anaiwekea sijui namba ya siri....

Kwa nini hataki mwenzake awe huru na simu yake kama hana la kuficha?

Ni hivi vitu vidogo vidogo ndo hupelekea usiri kwenye mambo makubwa makubwa.
 
Ndo yale yale kama mambo ya simu.

Watu mmeoana lakini eti kila mtu ana simu yake ambayo mwenzake haruhusiwi kuigusa!

Kuna nini humo kwenye simu ambayo hutaki mwenzio ayaone?

Eti simu yangu ni yangu na yake ni yake.

Alaaaa! Mbona papuchi ni yako na mboli ni yake lakini mnaachiana mshikane.....

Hahah hahaha unaua
 
Hii ni shidaa !! Sasa anazaa halafu anamficha mkewe Mali zake sasa ili iweje? Basi katika msiba mmojawapo tukiwa katika kikao cha familia ikasemekana Marehemu ameacha kiwanja mkewe anabaki anatoa macho hajui chochote anashangaa tu. Sasa ni hilo tu lililosemwa mengine yakapigwa kimya tu. Mke kila analoulizwa anashangaa tu hajui chochote.

Ndio maana nayakataa sana maisha ya ugoli kipa maana yakitokea kama hayo unaweza pata kichaa.
 
Huwa inategemea na mwanamke unayetaka kufunguka kwake na kumtajia mali zako zote...kama si kichwa maji na anamjali mumewe sio mbaya akijua.

Ila just imagine ni wale wanawake wa kule wanapoua wame zao baada ya kutajirika na kujua mali za mume JE UTAMTAJIA MALI ZAKO ZOTE? common sense needs to be applied there aisee,

Watakusikia, haya!!
 
Kwanini uwekeze maisha yako kwa mtu ambaye humuamini? Unapata wapi hata ujasiri wa kulala naye au kula alichokupikia?
 
Wengine wakijua kuna mali nyinyi wanakutanguliza!!!!

Hapana Shem wangu mwanamke sometime ni kama mtoto vile utakavyomuweka ndivyo atakavyokuwa......
 
[/Color]

Kwanini uwekeze maisha yako kwa mtu ambaye humuamini? Unapata wapi hata ujasiri wa kulala naye au kula alichokupikia?

Inategemea unamwamini kwa kiasi gani na kwa mambo yapi, Inawezekana kabisa kumpenda mtu na kuishi naye lakini usimwamini kwa 100%,wanawake hawafanani wote.
 
Unakuta mtu anahangaika na kukazana kumficha au kutokumruhusu mwenzake aishike simu yake.

Na unakuta anaiwekea sijui namba ya siri....

Kwa nini hataki mwenzake awe huru na simu yake kama hana la kuficha?

Ni hivi vitu vidogo vidogo ndo hupelekea usiri kwenye mambo makubwa makubwa.

Ni kweli kabisa mambo haya huanzia mbali sana, vitu vidogo vidogo huzaa makubwa,usipokuwa mwaminifu kwa madogo hata kwa kikubwa itakuwa shida.
 
Inategemea unamwamini kwa kiasi gani na kwa mambo yapi, Inawezekana kabisa kumpenda mtu na kuishi naye lakini usimwamini kwa 100%,wanawake hawafanani wote.
Aiseee kweli tuko tofauti mimi mtu nisiyemwamini siwezi taka hata huduma yoyote kutoka kwake, Okey unapoficha hiyo Mali vipi kuhusu watoto wako unawaacha katika hali gani?
 
Wapo waliofikiria kama unavyosema,sasa hivi mali inaliwa na serengeti boys!

Mpaka anatoka na Serengeti boy kuna something wrong......vipi kuhusu watoto unaowaacha?
 
Tatizo ni vijana wa siku hizi mmefanya ndoa kuwa wajibu, na si wito tena. Siku hizi mnaoana kwa kuwa umri umekwenda, kuifurahisha jamii inayowazunguka, na sababu nyinginezo zisizo na msingi. Kifupi ni mnaoana kwa kuwa inabidi, so hakuna upendo.

Ni kweli kabisa ndoa imekuwa kama fashion ambayo kila mtu hataki kupitwa nayo,kuliko kuja kufanya mambo kama haya ni bora mtu asioe au kuolewa kabisa.
 
Huwa inategemea na mwanamke unayetaka kufunguka kwake na kumtajia mali zako zote...kama si kichwa maji na anamjali mumewe sio mbaya akijua.

Ila just imagine ni wale wanawake wa kule wanapoua wame zao baada ya kutajirika na kujua mali za mume JE UTAMTAJIA MALI ZAKO ZOTE? common sense needs to be applied there aisee,

If thats the case as you say, kwanini ulimuoa? Si ni kichwa maji au anaua wanaume!!
Haya wewe brave ulioa kichwa maji ukaona haifai kumshirikisha kwa lolote, basi tumia huo ubrave wako andikisha wanao, napo hufanyi hivyo, sasa hapa nani kichwa maji????
 
Aiseee kweli tuko tofauti mimi mtu nisiyemwamini siwezi taka hata huduma yoyote kutoka kwake, Okey unapoficha hiyo Mali vipi kuhusu watoto wako unawaacha katika hali gani?

Mali unaweza kumilikisha rasmi kwa watoto mapema tu ikiwa mwanamke sio wa kuaminika.
 
Ubarikiwe....

Ndo yale yale kama mambo ya simu.

Watu mmeoana lakini eti kila mtu ana simu yake ambayo mwenzake haruhusiwi kuigusa!

Kuna nini humo kwenye simu ambayo hutaki mwenzio ayaone?

Eti simu yangu ni yangu na yake ni yake.

Alaaaa! Mbona papuchi ni yako na mboli ni yake lakini mnaachiana mshikane.....
 
If thats the case as you say, kwanini ulimuoa? Si ni kichwa maji au anaua wanaume!!
Haya wewe brave ulioa kichwa maji ukaona haifai kumshirikisha kwa lolote, basi tumia huo ubrave wako andikisha wanao, napo hufanyi hivyo, sasa hapa nani kichwa maji????

Mwanamke unaweza kumuoa akiwa na tabia nzuri na ukajenga imani kwake,lakini anaweza kubadilishwa na mazingira,au ushawishi kutoka kwa marafiki au ndugu(behaviour can be influenced by Nurture...not only Nature)

Kuhusu kuwamilikisha Watoto mali hilo ni jambo la muhimu sana,tena ni vizuri zaidi kuwamilikisha Mapema ingali uzima upo.
 
Back
Top Bottom