Usiri wa mali katika ndoa

Usiri wa mali katika ndoa

Ndo yale yale kama mambo ya simu.

Watu mmeoana lakini eti kila mtu ana simu yake ambayo mwenzake haruhusiwi kuigusa!

Kuna nini humo kwenye simu ambayo hutaki mwenzio ayaone?

Eti simu yangu ni yangu na yake ni yake.

Alaaaa! Mbona papuchi ni yako na mboli ni yake lakini mnaachiana mshikane.....

Hi Thomasina!!!!
 
Hata kabla sijasoma michango ya wadau, kwenye uzi huu natamani sana kumsikia NANDERA
atoto najua msimamo wake hata bila ya kusoma alichoandika kwenye uzi huu, kuna uzi wake mahali alishawahi kuweka kila kitu hadharani

Hahahaaaaa!! Yaani ndio hivyo my kaka.
 
Last edited by a moderator:
Ndo yale yale kama mambo ya simu.

Watu mmeoana lakini eti kila mtu ana simu yake ambayo mwenzake haruhusiwi kuigusa!

Kuna nini humo kwenye simu ambayo hutaki mwenzio ayaone?

Eti simu yangu ni yangu na yake ni yake.

Alaaaa! Mbona papuchi ni yako na mboli ni yake lakini mnaachiana mshikane.....
Nakubaliana na wewe 100%. Kama simu umepiga pini mtu asiiguse, mtu hawezi hata kushika na kuangalia picha ulizopiga(mfano), wakati huyo mtu mnalala nae uchi wa mnyama, huyu mtu atawezaje kukuambia pini ya benki, au kiwanja alichonunua?

Kuna mambo madogo sana, lakini ndio yanaleta viashiria vya yale makubwa. Mimi nikishaona mtu kaweka pini kwenye simu tu, hata kama nilianza kuweka hisia... naziondoa ghafla.
 
Nishashuhudia watoto wanamuua baba yao kisa warithi mali......

Cha muhimu ni kuhakikisha watoto wanapata elimu ya kutosha, mtaji ili waweze kujitegemea na kujijingea uwezo wa kupambana na maisha.

Kinyume na hapo wakiongozwa na tamaa umekwisha.

Na kuna wanawake nao mapenzi yakishapungua hachelewi kufanya hivyo hivyo, tushashuhudia huku mtaani.

Hivyo inategemea uliyenaye ila cha muhimu ni kuandikisha kila kilicho chako na kuhifadhi mahali ambapo ukifariki ni muhimu kusomwa mbele ya familia.

Wakati mwingine maisha yanatabuu zake na mahangaiko.
 
Ni kweli kabisa ila kama unampenda ni vizuri ukamwambia kisha kama hatabadilika fanya hayo maamuzi ya kuondoa hisià.
 
Umimi mwingi hautakiwi as long as mmeamua kuwa wamoja why msishirikishane ???
 
Yaani mimi mwanamke akiweka password kwa phone anatakiwa anitext kuhusu mabadiliko ya pin la sivyo ndio kuachana hivyo ______________________ Hawa macho kodo lazima tuwazibue akili
 
Mtoa Mada Mungu Akubariki Sana Kwa Somo Zuri.

Ktk Ndoa Mume Akiondoka, Mali Zote Zinabaki Chini Ya Mke, Kwan Yeye Ndiye Tuliyeangaika Nae Ktk Kutafuta. Yeye Ndio Atagawa Urithi Au Kumgawia Ndugu Atakavyopenda, Lakini Ndugu Yeyote Ni Marufuku Kuingilia Mali Zangu, Nao Watafute Za Kwao.

Kwa Iyo Ni Kosa Kwa Mume Au Mke Kumficha Mwenzake Mali
 
Huwa inategemea na mwanamke unayetaka kufunguka kwake na kumtajia mali zako zote...kama si kichwa maji na anamjali mumewe sio mbaya akijua.

Ila just imagine ni wale wanawake wa kule wanapoua wame zao baada ya kutajirika na kujua mali za mume JE UTAMTAJIA MALI ZAKO ZOTE? common sense needs to be applied there aisee,

Kwani wakati unamuoa ukujua kabila lake fyuuuu
 
Nishashuhudia watoto wanamuua baba yao kisa warithi mali......

Cha muhimu ni kuhakikisha watoto wanapata elimu ya kutosha, mtaji ili waweze kujitegemea na kujijingea uwezo wa kupambana na maisha.

Kinyume na hapo wakiongozwa na tamaa umekwisha.

Na kuna wanawake nao mapenzi yakishapungua hachelewi kufanya hivyo hivyo, tushashuhudia huku mtaani.

Hivyo inategemea uliyenaye ila cha muhimu ni kuandikisha kila kilicho chako na kuhifadhi mahali ambapo ukifariki ni muhimu kusomwa mbele ya familia.

Wakati mwingine maisha yanatabuu zake na mahangaiko.

Hiyo nayo ipo ya watoto kutamani baba Yao afe ili warithi, kuna mzee Mmoja alikuwa na Mali nyingi alipofikisha miaka 60 akaanza kuuza kila alichonacho akabakiza gari moja na Nyumba anayoishi tu,akafukuza watoto wote kwake akawaambia nao wakahangaike kama yeye alivyohangaika urithi aliowapa ni Elimu inatosha akidai yeye hata Elimu hakupewa lakini alitoka,akaacha maandishi kwamba kama yeye akifa na mkewe pia hiyo Nyumba na fedha zote zitakazokuwepo bank zikabidhiwe kanisani Kwaajili ya kituo cha watoto yatima.
 
Mtoa Mada Mungu Akubariki Sana Kwa Somo Zuri.

Ktk Ndoa Mume Akiondoka, Mali Zote Zinabaki Chini Ya Mke, Kwan Yeye Ndiye Tuliyeangaika Nae Ktk Kutafuta. Yeye Ndio Atagawa Urithi Au Kumgawia Ndugu Atakavyopenda, Lakini Ndugu Yeyote Ni Marufuku Kuingilia Mali Zangu, Nao Watafute Za Kwao.

Kwa Iyo Ni Kosa Kwa Mume Au Mke Kumficha Mwenzake Mali

Asante sana,ubarikiwe nawe pia.
 
Na vipi kama hamkutafuta naye?
 
Kwa maoni yangu sio sawa

Ila kilianza kipi , kuku au yai maaana siku hizi wanawake wako active sana kwenye vikundi sio mtaani sio social media kufundishana namna ya kuchuma na kuficha mali mume asijue?
 
Ni kweli shem hayo mambo yapo ila vile wewe utakavyokuwa wazi ndivyo na mkeo atakavyokuwa wazi na kama utabaini kuwa kuna vijimambo ambavyo si vya wazi vikemee kabisa, mfano kwangu mimi kaka yako anataka kujua hata kile kibati au kikoba nachocheza ni shilling ngapi na nitavuna kiasi gani japokuwa haniingilii katika matumizi yangu,basi hiyo imenijenga hata mimi kuwa wazi zaidi hata kama ni kitu gani nafanya lazima nimshirikishe au kumjulisha,na hata yeye ni hivyo hivyo chochote anachofanya lazima anijulishe ingawaje sometime kuna masapraiz ila ndo hivyo unakuwa umeshajua .
 
Kwa maoni yangu sio sawa

Ila kilianza kipi , kuku au yai maaana siku hizi wanawake wako active sana kwenye vikundi sio mtaani sio social media kufundishana namna ya kuchuma na kuficha mali mume asijue?

Ni kweli kabisa mkuu.
 
Kwa sasa ubinafsi umekithiri, mtu mpo pamoja kila anachotaka kufanya anaenda kuwashirikisha kwao sio wewe, khaa!!!

Yaani, yapo ya pamoja na yapo ya kila mtu peke yake.

Unasikia kutoka kwa jamaa za mbali mme ana kiwanja we unaelala nae chumba kimoja hauji ....kuna watu wana roho za ubinafsi sana aaagrrrr hasara roho tu wafiche salama ikibidi hata salary slip zikakae makwao
 
Back
Top Bottom