Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
unaoana mnashare kila kitu lakini kwenye simu na mali unaona ndio vya maana ........wanandoa wanatakiwa kubadilika kuacha ubinafsi
Okey vizuri sana, watoto nao wanakuja kula na mama yao hapo vipi?.....lol.
That is given...kwa kawaida watoto especcially wa kiume watatumia mali na mama yao....ILA mimi kama mimi nitakuwa nimeshaplay part yangu kuwa: Nimemilikisha rasmi mali kwa majina ya watoto kwakuwa mama yao si Mwaminifu na haaminiki. Thats all.
Utajiskiaje mkeo anamiliki kitu wewe hujui? Halafu unakuja kuambiwa sababu wewe si mwaminifu......
Mwanamke unaweza kumuoa akiwa na tabia nzuri na ukajenga imani kwake,lakini anaweza kubadilishwa na mazingira,au ushawishi kutoka kwa marafiki au ndugu(behaviour can be influenced by Nurture...not only Nature)
Kuhusu kuwamilikisha Watoto mali hilo ni jambo la muhimu sana,tena ni vizuri zaidi kuwamilikisha Mapema ingali uzima upo.
Ikiwa kweli mimi sio mwaminifu na siaminiki katika ndoa yangu mimi na yeye ni sawa kabisa,hiyo ni reason ya msingi sana katika ndoa.
Akibadilika just play yo part as a man, aply akili mliyoambiwa muitumie kuishi na sisi, na kama kwako hiyo akili ni kutokumshirikisha kwa chochote ili umkomoe, basi fikiria wanao, ila usisahau kuwa baada ya kuondoka kwako ni huyohuyo kilaza ndie atakaehangaika na hao watoto uliowaacha bila chochote.
Rahisi sanaaa kusema, kutenda ni jambo lingine.
Unakosea...Nimesema mali nitawamilikisha watoto (kwa majina yao) na si mama yao ikiwa mama yao sio wa kuaminika.
Kwahivyo,sitawaacha watoto bila chochote kama ulivyosema.
That is given...kwa kawaida watoto especcially wa kiume watatumia mali na mama yao....ILA mimi kama mimi nitakuwa nimeshaplay part yangu kuwa: Nimemilikisha rasmi mali kwa majina ya watoto kwakuwa mama yao si Mwaminifu na haaminiki. Thats all.
Weee!!! Acha my dia, hii dunia imegeuka sana, watu wanaona ili kuzaa tu, mambo mengine ndugu na marafiki ndio wanajua, jitu la hivyo ikitokea bahati mambaya mauti imemchukua loh!!! Wakati mwingine ndugu hata hawasemi lolote, hasa ukizingatia familia nying zinaashumu mtu ukifiwa na mume utaenda kuolewa tena.
Naongelea msingi wa mada na ulichoongelea kuwa wanawake wengine ni vilaza na wengine inasemekana huua waume zao,
Sasa hao vilaza umesema wanabadilika kulingana na mazingira, hivyo ni kitu ambacho hakitokei tu ubruptly, kwa maana hii hutomshirikisha tangu awali, au pale atakapobadilika tu?
Na kwa upande wa hao inaosemekana wanaua waume zao(sijui wa wapi hawa)!! In this case unakuwa unamuoa ukijua kabisaa kuwa huyu ni waleee na hutomshirikisha kwa chochote, if thats the case kwanini unamuoa? Kwa faida ya nani?
Kwanin uwaze mwanaume anakufa kabla ya mwanamke?
What if wewe ukafa kabla ya mumeo?
Sijui kwanini hata mimi najikuta nawaza hivo, na sitaki kuwaza vinginevyo
Utajiskiaje mkeo anamiliki kitu wewe hujui? Halafu unakuja kuambiwa sababu wewe si mwaminifu......
Usikariri siku nyingine. Sawa?