utajiskiaje vibaya na mali za mwenzio?? tafuta zako. kwani mlioana ili urithi mali au umrithishe za kwako? ah! sijui bwana, mtajua wenyewe na ndoa zenu huko. Mi nahaingikia zangu kivyangu upande huu mwingine.
[/B][/COLOR]
Naona una jazbaaa sana. rejea vitabu vitakatifu vinamtaka mwanaume afanye nini na mwanamke afanye nini.
Kwa kweli hii ni hatari sana,na kama unajijua ni mbinafsi unaoa kwaajili gani? Ni bora mwanaume huyo aendelee kutafuta kwaajili ya hiyo familia yake tu aliyozaliwa nayo......Ila bora hata huyo anawaambia hata ndugu zake mwingine hata ndugu zake hawaambii chochote mambo yake anafanya siri tu.
Babu Dark City alishaelezea hapa kuhusu hili suala la kuandikisha mali kwa majina ya watoto. I hope atakuja atoe ufafanuzi zaidi kwa ajili ya wengi
Thanks much babuSijui watu tuwaelezeje. Kuandika mali kwa majina ya watoto haisaidii kitu kama zimepatikana ndani ya ndoa. Kama mtu anahisi mwezi wake hafai katika utunzaji wa mali achukue hatua mapema.
Sijui watu tuwaelezeje. Kuandika mali kwa majina ya watoto haisaidii kitu kama zimepatikana ndani ya ndoa. Kama mtu anahisi mwezi wake hafai katika utunzaji wa mali achukue hatua mapema.
Sijui watu tuwaelezeje. Kuandika mali kwa majina ya watoto haisaidii kitu kama zimepatikana ndani ya ndoa. Kama mtu anahisi mwezi wake hafai katika utunzaji wa mali achukue hatua mapema.
Babu Dark City kwa faida ya wengi tufafanulie kwanini haisaidii , na mtu achukue hatua kama zipi?
Vevee.... wacha maneno yako hata kama ni Hakimu au jaji...kama tulifunga ndoa kimila na tuliafikiana suala la mali na mirathi kulingana na mila zetu zinavyotaka?