Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,646
- 2,329
Kabisa mkuuUkiona afisa kipenyo yupo humu jukwaani uyo ni boss kajiendeleza kielemu baada ya kutumwa tumwa sana akamua arudie paper waliopo mtaani uko hata kuwasha computer hawajui sijui wanawatoa wapi yani dunia ipo nyuma yao zaidi ni kutumwa tumwa tu
Wanapumuliwa kwanza auHajafu ili kuchukua lazima wakule kwanza.Ndo maana hata ukiwaamgalia watu wao,macho yanaelekea chini.Hebu nwangalie Mchengerwa na Shaka.
Tupe storyMkuu kuna ndugu yangu aliwahi fanyiwa vetting akateuliwa, yaliyotokea yananifanya niione tz kama kitobo kilichooza.
Kwa nnNi kazi ya Ovyo nisingewish mtu wangu wa karibu yeyote afanye
Story za tiss kiundani, UNATAKA NIPUMUE MKUU?Tupe story
TupeStory za tiss kiundani, UNATAKA NIPUMUE MKUU?
Ukiona afisa kipenyo yupo humu jukwaani uyo ni boss kajiendeleza kielemu baada ya kutumwa tumwa sana akamua arudie paper waliopo mtaani uko hata kuwasha computer hawajui sijui wanawatoa wapi yani dunia ipo nyuma yao zaidi ni kutumwa tumwa tu
Chama tenawana njaa ni masikini na akili hawana, wengi wao wanaishi kwa kusubiri posho za kulinda mikutano ya chama
Acha wogaStory za tiss kiundani, UNATAKA NIPUMUE MKUU?
UKuda tu kaka wala hakuna jipya, achana nao mzee bora tuongelee mfumuko wa bei.
Kiufupi hawana inshu wako overrated sana yaani
Haha ha ubabe wa kikaburi kaburi ni ujinga.Acha woga
Ukweli kabisa kuingia kule sio rahisi kama Huna ndugu .Kama huna ndugu huko kuingia ni taab sana. Taab sana.
Ni matapeli hao...Watu wanaamini jamaa wana mawe saaaaana