Usipitwe Ugali kwa Hombo-Nyie Mwaitaje

Usipitwe Ugali kwa Hombo-Nyie Mwaitaje

Mboga gani hiyo?

Inarenduka kama mrenda vile, ila sio mrenda
 
Wayiii.........uchaggani hatulagi vyakula kama hivyo.........
 
wanyiramba wapo singida tena.

Lugha tu mkuu, mie sio mnyiramba ila hiyo kitu hata nile kila siku safi tu, tatizo nnakua sishibi kabisa, nnaweza kumaliza ugali wote huo peke yangu. Ili kuweka mambo sawa inabidi kuwe na mtindi pembeni na nyama ya kuchoma.
 
Hichi kitu lazima uwe na ugali wa kutosha vinginevyo utatoka bila bila
 
Ekeni na recipe basi walau na sie tujue kupika hicho cha kijani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom