Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 12,831
- 27,007
Ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
Kwa YesuTwende wapi sasa
Kwani amesharudi?Kwa Yesu
Address ni Neno la MunguKwani amesharudi?
Kwa kuongezea, Shetani anaomba kibali kwa Mungu ili amjaribu mwanadamu.Ukiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
Ya kwamba unachepuka si ndivyo...?Kwa kuongezea, Shetani anaomba kibali kwa Mungu ili amjaribu mwanadamu.
Na Mungu anapotoa kibali maana yake anaamini jaribu hilo wewe unaliweza.
Sasa unapoanza kwenda kwa njia ambazo ni za Miungu ya dunia hii unakuwa unamtia aibu Mungu wa Mbinguni.
Someni manano ya mwanzo ya kitabu cha Ayubu mtaelewa nimachosema.
Now you see how it's complicated.Address ni Neno la Mungu
Kwani kwa waganga kimekukuta nini? Tuanzie hapoUkiwa na shida usiende kwa waganga wa dunia, muite mfalme wa amani anajibu maombi.
Majuzi tu hapa kigamboni nimepigwa elfu 80 cashKwani kwa waganga kimekukuta nini? Tuanzie hapo
Umeokoka ee safi sana
Ilikuaje kwani mbona umepigwa kizembe sanaMajuzi tu hapa kigamboni nimepigwa elfu 80 cash
wajinga ndio waliwaoMajuzi tu hapa kigamboni nimepigwa elfu 80 cash
Pole sana mwanakwetu.Majuzi tu hapa kigamboni nimepigwa elfu 80 cash
Nilikuwa na taka kupata cheo kazini kiongoziIlikuaje kwani mbona umepigwa kizembe sana
KabisaMfalme wa Amani ana kanuni zake . Kama ukizikubali, atatembea na wewe, ukizikataa , hatokuwa pamoja na wewe.
Yesu ni Mtakatifu mno anayewapenda watenda dhambi wapate kutubu na kubadilika.