AHHAHHHAHAHHAH!
nna hamu sana na mtoa mada!
yani raha ya uzuri huu ungeuona angekuwa hapa jukwaaani mida hii!
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu zake!
yani we acha tu!Mi kanitibua sitamani hata kumjibu,asije akanisababishia ban bure!
Watu tunaishi mjini kwa TGTS halafu analeta dharau!
ha ha ha......shosti pole......jamii forum kuna senema za kutosha wallah...........ila kuna watu kizunguzungu jamani........full mashauzi.....njoo muone sasa.......mweeeee........
umeonaa eeh kitu cha ukweli inaweza ujihonge mzima mzima ..ila ndo hivo utakuta ni nanihii kongowe eti ...ze wallet is ziro balance
yani we acha tu!
kankera kama kitu gani sijui!
atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote
sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times
Kiingereza chako kigumu! Unafundisha masomo gani?
Unafundisha shule gani best? Maana hizi ngeli lazima uwe wa Language!
Jf rahaaa
...haa ha ha ha, kumbe ulikuwa serious kutafuta mme mwenye sifa hizi na Mwalimu akapitia hapohapo kukuingiza king, big up Mwalimu....
https://www.jamiiforums.com/love-connect/342701-naitaji-mume-wa-kuoa-asp-4.html
Akirudi niite mwaya nije nione kama ana hadhi hata ya kunisaidia kufuta ubao wakati nashusha 'Personal Hygiene and Good Manners'!
Ha ha haaaaa am teached KLF over the primarily school staged
kumbe aliweka tangazo la kutafuta Mume...........
https://www.jamiiforums.com/love-connect/342701-naitaji-mume-wa-kuoa-asp-4.html
chezea JF
Jogorafia na hesabu, hasa jogorafia ya mwanamke
Pole Shosti, yalishakupata?atakutongoza kwa kiingereza,simu ataongea kiingereza utafurai umepata bonge la bwana linafanya kazi emmbasy ,un,usaid au ni mdiplomat yoyote kumbe ni mwalimu wa civics na history shule ya kata huko kongowe hajalipwa hata mishahara miezi mitatu.!
nawasilisheni
kuweni wakweli ndo hilo tu
Preta unaua bendi aise kwa hiyo sisi walimu tulie tuu kumpata mrembo kama wewe
yaani we acha tu......kuna magarasha humu.....usiombe........