Usiombee kukosa hela

Usiombee kukosa hela

nakumbuka kipindi nipo shule niliishiwa na pesa mfukon ilibaki 5000 tu na inatakiwa niifikishe 2weeks,basi nikawa natmia 1000 per day msos wangu ukawa katikatj ya mchana&jion(saa11) ilikuwa ni wali mbegu tu wenzangu niliokuwa nakula nao walikuwa vizuri wali samaki,nyama,kuku,chips ilifika kipindi nikawa naambiwa niache ubahili.sikufata mkumbo wa kutaka vitu vizur nikiwa sina mali mfukon.baada ya siku mzaz aliniwezesha maisha yakaendelea..

nyingine...kipindi tofaut na hicho nikiwa chuoni,ilifika mahala nikawa nakosa pesa ya chakula basi ikifika mida ya chakula(huwa tuna desturi ya kwenda wote cafeteria kula) basi nabeba PC yangu naelekea library kusoma/najifanya bize/kulala asikuambie mtu ukiwa na njaa huwez fanya chochote kikaenda,bas muda mwingine nikawa nashinda njaa ,natolewa ofa na wana kupata menu moja moja maisha yakawa yanaenda..

ilifikia kipindi nikawa naweka bill ya ukoko cafeteria ya sh 3000 basi napewa ukoko kila siku kwa mwezi mzima,ndio ikawa chakula changu asubuh,mchana&jion ,nilichekwa sana ,kusemwa mi sikujali

mpaka namaliza masomo nilikuwa nimeisoma namba,namshukuru mungu nilimaliza salama
 
Ushawahi kuona mwanaume anakataa papuchi kiss hana hela ya guest na nauli ya kumpa mrembo ndio mimi ilinikuta
sio wewe tu mkuu...hata mm imenikuta two weeks ago...ukiwaza hela ya guest 15k...nauli na chakula 10k....daah bajeti ya wiki mbili kabisa....inabidi uwe mpole..Huu ndo muda ambapo kichwa kikubwa inabidi kitawale kichwa kidogo.
 
Niliwahi shinda njaa siku mbili Sina hata Mia ,
Afu nilikuwa nafanya special exam so washikaji wengi wameenda kwao,
ghafla watot wa jirani wakanambia uncle mama alinunua vitumbua asubuhi ,

Dah nilivila kwa uzuni kinoma nikashushia na maji ,
Kesho yake asubuhi kwenye paper,
Cha kusikitisha mbaka saizi hali ni hovyo.

Umasikini ni mazafaka
Vumilia ndugu,wengine tukihadithia tulipo toka mpaka sasa ,ni uzi tisha na woote humu mtatoa machozi ila aminiMungu yupo na anaya weza yoote usikate tamaa.
 
Kwakweli haya maisha mungu atusaideie napitia wakati mgumu sana sasa hivi baada ya kusimama kazi kipindi cha korona mwaka jana, kupata kazi nyingine imekuwa ni inshu sana mwenye nuymba wangu nilimweleza tangu mwaka jana mwezi wa 6 hajanidai mpaka leo.. kulala na kushinda bila kula imekuwa ni kawaida nimepungua kilo 15 kutoka nilivyokuwa.... Mungu nisaidie tu
 
Mungu tusaidie nadhan mm Nina shida kumbe kuna wenzangu wananizid
 
Mkuu Kuna hela ya songesha 16,500 voda kopa alaf tupa laini yao.
3,500 nunua karanga kilo, alaf buku nununua mkaa, buku jero nunua ile mifuko ya plastic ya kufungia karanga, mia mbili nunua mshumaa, kaanga karanga alaf zifunge ukauze stand

mfukon utabaki na 10,300 hapo buni biashara nyingine inayo endana na karanga hapo weka hata fegi

Vijana wengi mabishoo hii hawawezi
 
Niliwahi shinda njaa siku mbili Sina hata Mia ,
Afu nilikuwa nafanya special exam so washikaji wengi wameenda kwao,
ghafla watot wa jirani wakanambia uncle mama alinunua vitumbua asubuhi ,

Dah nilivila kwa uzuni kinoma nikashushia na maji ,
Kesho yake asubuhi kwenye paper,
Cha kusikitisha mbaka saizi hali ni hovyo.

Umasikini ni mazafaka
Pole mkuu lakini iko siku hayo yote yatabaki ni histori tu. Usikate tamaa mkuu
 
Hahahaa huko shule mzee mtoto ata digest sunlight au lazima apige food tena liuji la dona wanasagia huko na magunzi kidogo ili washibe haraka
[/QUOTE,]

Nimecheka sana dah ,😀😀😀 mimi nipo mapumziko toka pasaka sina deal lolote dah watoto wamenikangua wamenda shule, kila issue nikiicheck hainipi hela ya haraka nimejikuta namademi ya pombe napigiwa simu na barmade utazani nilipora hizo bia.
 
Back
Top Bottom