Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Usiombe yakukute jamani, daah!!!

naam " nimejionea haya mkuu " weee acha tu"..... vijana tunapaswa kuwa makini sana" katika hizi nyakati zetu za Uhai ".. waweza iletea familiar yako au kizazi chako majanga makubwa sana " hapo baadae" kwaajili ya upumbavu " wakuendekeza mahusiano".... MAHUSIANO Ya mapenzi NI KAMA SUMU TU yenye ladha tamu" ukijisahau lazima Yatakumaliza
 
Tafuta ela ukiwa una uwezo wa kutunza vizuri watoto unatafuta mke ambae ni right kwako na uache tabia za kuchepuka hovyo
Kimsingi mimi sio mchepukaji wa hovyo hovyo kabisa,that is why pamoja na kukaa muda mrefu bila mke wangu nilikuwa na hiyo co-worker tu,kwa ajili ya kupooza nyege,kitu ambacho kimenicost!!!

Huwa nadhani ningekuwa nachepuka sana na wanawake tofauti tofauti pengine nisingefika hapa,kwa sababu ningekuwa makini sana kwenye matumizi ya kondom!
 
trust me " watu wanaopenda" kuyakumbatia kumbatia sana mapenzi " huwaga wanafikwa na mwisho m'baya sana katika maisha "... Kama sio kufilisika na kufa masikini" ..basi nikuwa masikini maisha Yao yote either".... either" kukosa mahusiano mema na kizazi chake/familiar yake "....:
Fafanua kidogo aisee,kukumbatia sana mapenzi kivipi?

Na kwanini wanaishia kuwa masikini?

Unamaanisha matajiri hawakumbatii mapenzi!???
 
Ni kweli,nauchukua ushauri wako,japo nikianzisha mahusiano yakikaa kuanzia miezi 3,matumizi ya kondom kwa kweli yanapungua automatically!!!

Ila kwa hali hii nadhani nitajitahidi sana kuji-control,awali nilikuwa naamini mwanamke hawezi kushika mimba tu pasipo makubaliano,hasa watu wazima na wasomi! Sasa msomi mzima anajishikia tu mimba pasipo kukubaliana,sio sawa kabisa!

Hapo ndipo unapokosea!, tatizo sio miezi mitatu, au mwaka au wiki kadhaa na kisha uanche kutumia kinga, ukianza mahusiano na kufanya ngono bila kinga maana yake UWE TAYARI KWA LOLOTE, ukiambiwa kuna mimba, au kuna kaswende au VVU inabidi ukubali, usilalame kwamba eti ulikuwa unamtegemea mwanamke , na wala usimsingizie mwanamke kwamba ni yeye alipaswa kuzuia mimba, you are equally responsible. kwani kajitia mwenyewe!!?? Masuala ya hisia hayana usomi, wala umri, hisia za mapenzi zikiingia hata uwe brigedia wa jeshi utakuwa mtumwa wa mapenzi, sisi ni binadamu sote tuna hisia za mapenzi.Tafuta na chagua unayetaka kuwa awe wako wa maisha, ukishaamua kwamba 'huyu ndiye mwenyewe' basi, achana na kinga, na uongee naye kwamba 'mimi nimeamua kuwa na wewe' usianzishe mahusiano kwa kubahatisha tu hakafu hutumii kinga, utajiingiza kwenye matatizo makubwa zaidi kuliko hayo ulinayo sasa. Hata ikibidi kukaa mwaka au hata miaka miwili kama huna hakika na mahusinao yako KINGA INAKUHUSU
 
ThaGreatman habari ya asubuhi mjamaa, natumai hujajinyonga wala majanga hayajaongezeka, sasa nisikilize kwa makini nachokuambia.

Wa Singida umekiri mara kibao tu humpendi upo nae sababu ya watoto huyo hata ukimuoa utaendelea kufanya nje na ukimpata ambae unampenda na akakushika kama wa Tanga utamtelekeza tu au kuachana.
Na wa Singida keshajua humpendi na yeye yuko busy kutafuta wanaume anaona wanampenda wanawake wote tunapenda kupendwa na wenzi wetu.

Naendelea Chini
 
Kwanza kitendo cha kumuita wa Singida eti mjadili kuachana ulikosea sana ulikosea sana na hapo ndipo alipofanya maamuzi ya kuwa na wanaume wengine wa nje kujipa faraja nachelea kusema wewe ulikuwa upo busy na wa Tanga ukamsahau mdada wa watu au ukipiga simu ni kuongelea watoto na maisha tu kuna mambo kama mwanamke alikuwa anayamiss bwana wee wanawake wote tunapendwa kusifiwa, tunapendwa kuchekeshwa, tunapendwa tupewe mda wote na wenza wetu, hayo mambo yakimiss huwa ni mtihani mkubwa sana na kama kuna mibazazi ikigundua hilo mwanamke anagongwa sana kama wa kwako, sana tu mpaka hapa wewe ni chanzo cha mke wako kufanywa nje na wanaume 4 tofauti alikuwa anatafuta true love na attention tu.

Mimi nakushauri hamjafunga ndoa, mmezaa tu please mwache mdada wa watu atapata anayempenda kama umekaa nae miaka 8, na kakuzalia watoto wawili na ana tabia nzuri hujampenda mpaka leo mwache mdada wa watu bado mapema sana kabla hajazeeka atampata wa kumpenda kwa dhati afurahie maisha.
 
Ninaweza kukubaliana nawe kwa asilimia kadhaa,napata maswali mashaka kwamba yawezekana hiyo tabia ya kuwa na midume mingi hajaianza leo,pengine sikuweza kujua kwa sababu sijawahi kuwa na kawaida ya kushika simu yake,SIJAWAHI!!!

Na kama issue ilikuwa ni kutafuta kupendwa,ndo wanaume wote hao kwa wakati mmoja!????kweli mazungumzo ya mwaka 2015 ndo yame-justify yeye kuwa hivyo leo???

Mimi najua si mkamilifu,lakini kukaa kwangu Tanga kwa miaka yote sijawahi ku-date na mwanamke mwingine tofauti na huyo mwenye mtoto,then kama alikuwa anajua kuwa simfai baada ya kumwambia kusudio la kuachana mwaka 2015 kwanini ali-conceive mtoto wa pili,(maana huyu huwa anasema kabisa kuwa aliamua kwa makusudi yake).

Napata maswali magumu sana kuyapatia majibu!nakubaliana na wewe kwa hoja ya mwisho hapo kuwa,NIMWACHE AENDE ZAKE,AKATAFUTE FURAHA YAKE!!!

Naondoka pasipo kumuuliza wala kumwambia chochote kwa sababu anawezafanya maamuzi magumu kama nilikutana nayo Tanga,huyu nitampotezea kimya kimya,nikiondoka Alhamisi sitokaa nirudi tena Singida!
 
Fafanua kidogo aisee,kukumbatia sana mapenzi kivipi?

Na kwanini wanaishia kuwa masikini?

Unamaanisha matajiri hawakumbatii mapenzi!???
(1) kukumbatia mapenzi" kupenda sana kuwa kwenye mahusiano"... Kama hapo umefanya makosa makubwa sana"... yakutokuwa na mwanamke " wa awali kwa issue ndogo tu " eti yakuto kumpenda " hukujua kwamba" formula ya mahusiano inamtaka mtu" apendwe yeye " zaidi na sio yeye kupendwa" ....katika maisha unapotaka kuwa na mwanamke wa maisha yako (mke) unapaswa kutazama vitu vingi haswaa vya msingi kama muhusika anavyo ukiachana na kumpenda kwako" ...jambo la kwanza na la msingi " nihuyo mtu kukupenda na kuwa mkweli mzazi bora kwa wanao". mwenye mapenzi kwa ndugu .mvumilivu na mwenye kujitoa kwako ".... waweza kuwa kwenye mahusiano na mtu usiye mpenda lakini kama ana hizo sifa " Aisee huyo ni bingo usimuache "... so kwa upande wako naweza kusema huna msimamo " unapenda kuchovya chovya ".(huku ndio kuyakumbatia mapenzi sasa)

hebu ona umemuacha mwanamke ambaye wewe ndiye mtu wa kwanza kumzalisha then umekwenda kwa mwanamke ambaye tayari ni single mother (haaha)..mbaya zaidi tayari una familiar mbili toka kwa wanawake tofauti na bado haujaijua hatima yako " inamaana usipokuwa makini waweza kuachana na wote hao then ukaja kuoa mwanamke mwingine (familiar tatu mama tofauti)...

then honestly nimekuona mtu wa ajabu " hivi huwaga mnaweza vipi kwenda kujitambulisha kwenye familiar za watu then mkawa hamuwapendi wahusika ..at end the day " mnakuja kuwaacha watoto wawatu ".... umefanya mistake kubwa sana" mbaya zaidi umemsababishia " Dada wawatu kuwa na tabia ambayo huwenda hakuwa nayo" maana inaonyesha hajiamini tena na hana uaminifu " na wanaume " that's why baada ya kuachana na wewe ameona bora awe kwenye mahusiano na wanaume tofauti tofauti huwenda akapata faraja (anavyodhani lakini )

(2) wanaishia kuwa masikini kwa sababu kama hizo tayari una familiar mbili tofauti " so yakupasa ujiandae vyema kimatunzo" ili watoto wako wapate stahiki zao vyema " though maisha yana ups and down " vipi ikaja kutokea leo ukawa huna kazi ambayo unayo leo" na hiyo familiar ya wanawake wawili utaihudumia vipi "..hapo waweza kukuta na kwenu pia " wana kutegemea ".... waweza kusema kuwa watoto watalelewa na mama zao " si wanakazi " lakini hiyo sio sifa ya mwanaume " ...wanaume tunapaswa kusimamia majukumu yetu vyema kwa sababu ndio vichwa wa familiar ".... bahati mbaya umeitazama ile comment yangu upande mmoja tu " wa uchumi " but nikukumbushe " ilikuwa inasema wanao kumbatia mapenzi huwa wana fail either kiuchumi au kimahusiano ya ki familiar " so tajiri anaweza asi fail kiuchumi tokana na wingi wa mali zake but aka fail kimahusiano na familiar zake " Au hujawahi kusikia baadhi ya familiar zikigombea mali baada ya baba kufa "....
 
Muache kistaarabu pia usianze uswahili wako eti screenshot, ameto.mbwa na wanaume 4 sijui, wewe muache chimbuko lake ni kuwa humpendi mdada humpendi tafuta maneno mazuri mmalizane poa, pia uwatunze yeye na watoto wako watunze baba usiwatelekeze, huyo wa Tanga hana hata hadhi ya kujadiliwa na mimi mtu anajua una familia na watoto kujibebesha mimba, kujiadolf hitler ana watoto kawaficha sijui kawaacha kijijini kwao, huyo hafai hata sifa za umama hana sifa za mke, jitu linalomwaga damu ili mwanaume abaki kwake ni kichaa huyo.

Wakaka oeni wanawake mnaowapenda na wanawake tuolewe na wanaume wanaotupenda maana mwanaume akikupenda atakuhonga mpaka jamiiforums uimiliki.
 
@thegreatman huyo mdada wa singida ni kabila gani? maana naumiza kichwa kugawa nyapu kwa wanaume 4 at once na wewe wa 5 mhhh.
All in all muwache mdada wa watu.
 
Singida ndo kwenyewe hapo ulipo sio salama.....kifo kinakunyemekea. Funga ndoa na Singida faster
 
Muache kistaarabu pia usianze uswahili wako eti screenshot, ameto.mbwa na wanaume 4 sijui, wewe muache chimbuko lake ni kuwa humpendi mdada humpendi tafuta maneno mazuri mmalizane poa, pia uwatunze yeye na watoto wako watunze baba usiwatelekeze, huyo wa Tanga hana hata hadhi ya kujadiliwa na mimi mtu anajua una familia na watoto kujibebesha mimba, kujiadolf hitler ana watoto kawaficha sijui kawaacha kijijini kwao, huyo hafai hata sifa za umama hana sifa za mke, jitu linalomwaga damu ili mwanaume abaki kwake ni kichaa huyo.

Wakaka oeni wanawake mnaowapenda na wanawake tuolewe na wanaume wanaotupenda maana mwanaume akikupenda atakuhonga mpaka jamiiforums uimiliki.
Ahsante sanaa,nitaufanyia kazi ushauri wako!

Japo hapo kwenye kuachana kistaarabu,nadhani pana dosari kidogo,sitarajii kuongea naye kwamba sasa tunaachana,yanaweza kutokea makubwa ambayo nitayajutia sana baadaye,ndiyo maana nimeamua kukaa kimya kabisa,mpaka siku tuliyopanga kwamba nitaondoka ifike,then niondoke zangu kimya kimya!

Nikiondoa mguu wangu Singida,sitorudi tenaaaa!!!!
 
Singida ndo kwenyewe hapo ulipo sio salama.....kifo kinakunyemekea. Funga ndoa na Singida faster
Duuh pamoja na yote niliyoyashuhudia nifunge naye ndoa!!????
Mkuu sina moyo wa chuma aisee!!!
 
Raha ya kuchepuka upate matukio kama haya harafu kwa mkeo ndo ujikute ulikuwa malaika huchepuki
Siku hiyo utajua shetani anaishi wapi na ww ukampitie kama alivyo kupitia ww
 
Muache kistaarabu pia usianze uswahili wako eti screenshot, ameto.mbwa na wanaume 4 sijui, wewe muache chimbuko lake ni kuwa humpendi mdada humpendi tafuta maneno mazuri mmalizane poa, pia uwatunze yeye na watoto wako watunze baba usiwatelekeze, huyo wa Tanga hana hata hadhi ya kujadiliwa na mimi mtu anajua una familia na watoto kujibebesha mimba, kujiadolf hitler ana watoto kawaficha sijui kawaacha kijijini kwao, huyo hafai hata sifa za umama hana sifa za mke, jitu linalomwaga damu ili mwanaume abaki kwake ni kichaa huyo.

Wakaka oeni wanawake mnaowapenda na wanawake tuolewe na wanaume wanaotupenda maana mwanaume akikupenda atakuhonga mpaka jamiiforums uimiliki.

Halafu Amu,fanya utafiti utagundua kuwa ni wachache sana wanaoana wakiwa na equilibrium kwenye kupendwa na kupenda, (yaani mwanaume anampenda kabisa mwanamke na mwanamke anampenda kabisa mwanaume)

Wengi huona kwa sababu zingine tofauti na kupenda,kuna wanaokubali kuolewa na wanaume ambao kimsingi hawawapendi ila kwa kuwa wanaume wanaowapenda hawaonyeshi mwelekeo wa ndoa basi wanaamua kuolewa na yeyote!

Wapo wanawake wanaoolewa na wanaume kwa sababu tu ya vipato vya wanaume hao,lakini mapenzi ya dhati hayapo kabisaaa!(wanaowapenda kweli hawana maisha mazuri!)

Wanaume pia wapo baadhi wanaoa sio kwa sababu wanawapenda sana hao wanaowaoa,ila ni kwa sababu wanawake wanaowapenda hawana sifa za kuwa wake zao,wana tabia tofauti na wanazozitaka,hivyo huishia kuoa wanawake wenye tabia njema,wanaoweza kutunza watoto wao vizuri n.k, mengine ni kuvumiliana mpaka wanazeeka!
 
Wanaume nyie Bana Dawa yenu ni kulogwa dushe lilale tuu.
so
Pole sana mkuu huku maofisini ni kuwa waangalifu sana kihalisi jiepushe sana mazoea na jinsia na tofauti ni rahisi sana kwenda ktk mapenzi.......ndicho nachokiona hata mimi kazini...pole sana kumaliza hilo ni mama wa watoto wako kumvuta uishi nae Tanga
Atauwawa na huyo gaidi
 
Majanga juu ya majanga, mi kiukweli sitaona mwanamke anayetokea singida mana nilisikiaga kuwa ni wepesi sana kushawishika (so wote) sasa leo nimekuta tena simulizi nazidi kiamini tetesi nilizosikia
 
Majanga juu ya majanga, mi kiukweli sitaona mwanamke anayetokea singida mana nilisikiaga kuwa ni wepesi sana kushawishika (so wote) sasa leo nimekuta tena simulizi nazidi kiamini tetesi nilizosikia
Mkuu huyu wa Singida sio mwenyeji wa huko,huko anafanya kazi tu!!!

Yeye ni mwenyeji wa Iringa huko!!
 
Back
Top Bottom