Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Ujanja uliuanza wewe sasa unalia lia
Ushauri muombe msamaha mke wako uanza maisha mapya
Pamoja ujanja ujanja wangu ila sikuwahi kuwa na wanawake wengi,sasa yeye wanaume 4!!????
Mkuu hapa hata iweje siwezi kuomba msamaha,nitamuacha kabisa!
 
Nimesoma nimehisi kama tatizo hili ni langu, sijui Kwa nini. Ila hii habari ni ya kuisikia Kwa jirani tu
 
Vip lakini umemchana kua umeona uchafu wake au unakufa kijerumani
Sijamwambia Mkuu,kwa sababu tulikuwa na ratiba ya kwenda Singidani ili nimueleze ya Tanga,ila kwa hali ilivyo nafikiria kundoka bila kumwambia chochote,baada ya hapo sirudi tena Singida!
 
Sijamwambia Mkuu,kwa sababu tulikuwa na ratiba ya kwenda Singidani ili nimueleze ya Tanga,ila kwa hali ilivyo nafikiria kundoka bila kumwambia chochote,baada ya hapo sirudi tena Singida!
Screenshot hizo meseji jitumie ukiwa kwenye bus unarud dar mtumie
 
Hakua na sababu ya kuanza kulazimisha kusepa singida.
Alipaswa kumwazishia vitimbwili timbwili mpaka mwanamke anamchoka.

Tena unamtengenezea mitego ya makosaa tu, akijichanganya hapohapo unamalizaa
Wanaume Mungu anawaona, hapa ingependeza mleta mada angenyonywa damu na mtanga kwanza.
 
Matatizo yanatofautiana.......... Ninachoona, ni kuwa huyo mwanamke usiyempenda amekosa imani kwako baada ya kumtamkia kumuacha, mwanamke akichanganyikiwa anaweza fanya maamuzi yoyote........ Ingawa pia kuwa na wanaume 4 at once, hiyo ni hatari! Labda kabla ya kutaka kumuacha, uliwahi kuona tabia mbaya yoyote kwako? Hugo baby mama wako wa pili ni muuaji aisee, hafikirii hata watoto wake wengine? Omba uhamisho, kaa mbali naye...... Ongea na baby mama wa kwanza, msikilize kwanza ndo ufanye maamuzi.
 
Wanaume Mungu anawaona, hapa ingependeza mleta mada angenyonywa damu na mtanga kwanza.
Duuuh,mkuu haunitakii mema kabisa yaani,ningenyonywa damu kwanza halafu kifuate nini???
 
Matatizo yanatofautiana.......... Ninachoona, ni kuwa huyo mwanamke usiyempenda amekosa imani kwako baada ya kumtamkia kumuacha, mwanamke akichanganyikiwa anaweza fanya maamuzi yoyote........ Ingawa pia kuwa na wanaume 4 at once, hiyo ni hatari! Labda kabla ya kutaka kumuacha, uliwahi kuona tabia mbaya yoyote kwako? Hugo baby mama wako wa pili ni muuaji aisee, hafikirii hata watoto wake wengine? Omba uhamisho, kaa mbali naye...... Ongea na baby mama wa kwanza, msikilize kwanza ndo ufanye maamuzi.
Ahsante mkuu!!japo maamuzi ninayoyaendea ni kuwaacha wote,kwa sababu nikimfikiria huyu wa Singida napata hasira sana,sidhani kama nitaweza kuishi naye maisha ya amani!

Kwa hapo awali sikuwahi kuwa na kawaida ya kufuatilia mawasiliano yake,kiasi cha kuweza kujua kama alikuwa innocent au lah!
 
Back
Top Bottom