ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
- #421
Kuoa wote naona ni hatari zaidi kuliko kuwaacha wote!Pole...ila oa wote
Kuoa wote naona ni hatari zaidi kuliko kuwaacha wote!Pole...ila oa wote
Naona wanawake katika kujitetea hahahaSi ndo hapo...au kwakuwa hampendi
Mkuu atakua hajampata yule ambae anamridhisha trust me akimpata atatulia naeWitnessj ndugu yangu,bora ningeona ana-date na mtu mmoja,ningejua ndo ukame wakati mimi sipo,sasa wanaume 4 na bado unamtetea,eboooo!!!
NakaziaNikiona mtu katumia hizi "xn" akimanisha sana huwa nahis kutapika.
Mungu anawaona wallah wabillahWanaume Mungu anawaona, hapa ingependeza mleta mada angenyonywa damu na mtanga kwanza.
Hii huwa naiona kuwa hoja dhaifu sana,na ni utetezi tu,kwa sababu kiukweli,kila penzi jipya huwa tamu sana,lakini kwa kadri mnavyozoeana bashasha na hamasa za kimapenzi hupungua sana,kama mtu alikuwa anapiga bao sita mwanzo wa mahusiano,na mnatiana kila siku,itafika wakati jamaa atakuwa anapiga bao moja possibly kwa wiki nzima,sio kwa sababu ameishiwa nguvu,ila ni psychological operations, sasa kwa mazingira hayo si atamaliza manispaa nzima ya Singida!??Mkuu atakua hajampata yule ambae anamridhisha trust me akimpata atatulia nae
Pole sana mkuu lakini huyo mwanamke kuna mawili kama haikua tabia yake kuwa kicheche basi labda imetokana ile wewe ulipotaka kumuacha kwa mara ya kwanza hapo naweza sema alivunjika moyo na uaminifu wake kwako ukawa ndio mwisho.Hii huwa naiona kuwa hoja dhaifu sana,na ni utetezi tu,kwa sababu kiukweli,kila penzi jipya huwa tamu sana,lakini kwa kadri mnavyozoeana bashasha na hamasa za kimapenzi hupungua sana,kama mtu alikuwa anapiga bao sita mwanzo wa mahusiano,na mnatiana kila siku,itafika wakati jamaa atakuwa anapiga bao moja possibly kwa wiki nzima,sio kwa sababu ameishiwa nguvu,ila ni psychological operations, sasa kwa mazingira hayo si atamaliza manispaa nzima ya Singida!??
Na kama hoja ni hiyo,basi angekuwa ana date na mmoja akiona hamfai anaachana naye na kutafuta mwingine,lakini sio una-date na wanaume 4 at ones,halafu unasingizia kutoridhishwa!
Ahsante, nafikiria kuachana nao wote tu,nianze upya,japo napata hofu ni nani ataweza kunielewa kuwa nina watoto watatu,akubali kufunga pingu za maisha nami,na awakubali na kuwapenda watoto wangu!???Pole sana mkuu lakini huyo mwanamke kuna mawili kama haikua tabia yake kuwa kicheche basi labda imetokana ile wewe ulipotaka kumuacha kwa mara ya kwanza hapo naweza sema alivunjika moyo na uaminifu wake kwako ukawa ndio mwisho.
Asikwambie mtu uaminifu ukivunjika ni wachache sana wanaoweza kuhandle hyo hali wengi huwa wanatumbukia kwenye majanga yanayoleta majuto hapo baadae
Jipe muda huna haja ya kujurupuka achana nao kaa mwenyewe kwa muda uone mambo yanakwendaje ungekua mwanamke ingekua tabu lakini kwa mwanaume haiko tabu kiviile muda tu ndo unahitajikaAhsante, nafikiria kuachana nao wote tu,nianze upya,japo napata hofu ni nani ataweza kunielewa kuwa nina watoto watatu,akubali kufunga pingu za maisha nami,na awakubali na kuwapenda watoto wangu!???
Thanks mkuu,japo kuna wakati nawaza kuwa single father hivi!!!!Jipe muda huna haja ya kujurupuka achana nao kaa mwenyewe kwa muda uone mambo yanakwendaje ungekua mwanamke ingekua tabu lakini kwa mwanaume haiko tabu kiviile muda tu ndo unahitajika
Pesa ndo ya misngi hapo mengine hayo mbwembwe tuThanks mkuu,japo kuna wakati nawaza kuwa single father hivi!!!!
Nitafute pesa tu,niwaandalie maisha watoto wangu baaas!!!!
hahaaa ''We nawe umezidi umalaya
hakika mkuu "...Aisee somo la leo wanaume tuache kuchovya chovya ovyo raha ya siku moja inaweza leta shida ya mwaka mzima
Why maliyamtu?Pesa ndo ya misngi hapo mengine hayo mbwembwe tu
Tafuta ela ukiwa una uwezo wa kutunza vizuri watoto unatafuta mke ambae ni right kwako na uache tabia za kuchepuka hovyoWhy maliyamtu?
Maana naweza kupata pesa mingi sana,lakini nikakosa mtu wa kuwa-handle wanangu!!!
Haswaaatrust me " watu wanaopenda" kuyakumbatia kumbatia sana mapenzi " huwaga wanafikwa na mwisho m'baya sana katika maisha "... Kama sio kufilisika na kufa masikini" ..basi nikuwa masikini maisha Yao yote either".... either" kukosa mahusiano mema na kizazi chake/familiar yake "....:
Nakosa ujasiri wa kumuuliza kwa sababu sioni justification ya yeye kufanya hivyo,angekuwa mwanaume mmoja ningekuwa na sababu ya kufanya naye mazungumzo ya kina,lakini kwa namna nilibyoona amenifanya niamue kupotea tu!!Hebu kaa na huyo wa Singida muelezee uchafu wake halafu msikilize anajitetea vipi ndiyo uchukue uamuzi.
Sema sababu hukumpenda toka mwanzo hapo ndiyo ushapata sababu ndiyo maana wazo la kwanza limekuja ni kumuacha.