Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Duuu pole mkuu yalishanikuta mwezako mpk Leo nawaogopa nilitamn kuama mji mkuu ila nashukur mungu uzim upo
Ndugu yangu acha kabisa,hapa najitahidi sana nipotezee lakini akili inagoma kabisaaa!
 
Mkuu mwanamke anajileta analala akutege kwa ujasiri bila aibu, nawe una uvaa mkenge 😱.
Kwa ujasiri alioufanya huyo mwanamke ulitakiwa ushtuke na umpeleleze zaidi.
Ninajutia sana kwa hakika lakini ndo sina tena jinsi ya kufanya ndugu yangu!!
 
Pole sana mkuu huku maofisini ni kuwa waangalifu sana kihalisi jiepushe sana mazoea na jinsia na tofauti ni rahisi sana kwenda ktk mapenzi.......ndicho nachokiona hata mimi kazini...pole sana kumaliza hilo ni mama wa watoto wako kumvuta uishi nae Tanga
 
Hii ni psychiatric case mpeleke Bombo aonwe na wataalamu wa ubongo na fahamu.
Naomba ufafanuzi kwenye hili mkuu!!!
Maana ni msononeko usio kifani moyoni,najaribu kufikiria hatua aliyoichukua napata hofu kubwa sana!
 
Kupitia somo lako hope wengi watajifunza, jambo hili ni common sana kwa maisha ya sasa ambapo ajira zinachangia kutenganisha wazazi, ntakushauri nikipata muda ila cha kwanza acha Tamaa ya zinaa
Ni kweli kabisa umbali unachangia,kuna wakati nafikiri kama ningekaa na mke wangu majanga haya yasingenifika,loop hole ya ukaribu sana isingekuwepo kabisa!!
 
Mimi nina kisa changu kiasi flani kinataka kufanana na chako. Nikiamua kukielezea hapa jukwaa litasimama.
Ni historia ambayo imenifanya niyaone mapenzi yanaweza kuleta huzuni kubwa sana. Unajikuta upo katikati na kila mtu anakuhitaji na unashindwa umchukue yupi umwache yupi. Acha kabisa.
Uli-solve vipi mkuu,naomba uzoefu wako kwenye hili tafadhali!!
 
Naomba ufafanuzi kwenye hili mkuu!!!
Maana ni msononeko usio kifani moyoni,najaribu kufikiria hatua aliyoichukua napata hofu kubwa sana!
Self harm is one sign of mental health disorders, normally is done for attention seeking but is more likely to develop to suicide if is not controlled.

Mimi si mtaalamu wa magonjwa ya akili lakini hilo ulilo nalo hapo ni bomu litalipuka saa yeyote.
 
Back
Top Bottom