Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Usiombe yakukute jamani, daah!!!

Wanaume mnataga nn sijui... Una mwanamke mpole anakupenda anajiheshimu ....then Unaenda kufanya mauza uza yako.....first thing mtishie mwambie naenda kukureport polisi unataka kujiua....afunguliwe shtaka LA kuudhuru mwili.....mama wa singida ni familia yako, ndo Umeanza nae maisha na mnaelekea Kupata mtoto wa pili, unamuachaje mwanamke aliyekuzalia watoto wawili jamani..... Utajilaani mwenyewe..... Huyo dada mwingine ana familia Nyingine (wale watoto wawili?) so Usifanye mistake ya kumwacha mwanamke wa watoto wako...... Uende kulea damu zisizo zako halafu wanao watateseka Sana..... Wazazi wakiachana mtoto anapata shida saaana
 
Naomba soma mrejesho wa safari yangu ya Singida,halafu uje unishauri pia mkuu!!
Ni mtihani mgumu sana kwangu!!
 
Okay,samahani kwa kukupachika jinsia isiyo yako!

Lakini mkuu,tulipo-resolve mgogoro wetu kwa mwaka 2015,tulikubaliana vema kuwa tuendelee na mipango ya kuishi pamoja!
Sikumwambia kuwa sasa sina future naye baada ya mazungumzo yetu,nilikuwa very positive!

Halafu kwa namna yoyote ile,basi angekuwa ana-date na mmoja lakini 4 halafu bado nibebeshwe mimi lawama,HAPANA!!!
Yawezekana alikuwa hivyo tangu zamani,ila sikuweza kujua tu!!!
pole sana' Usichokijua nikwamba" wanawake ni watu wa visasi mnoo" ikitokea umemsaliti then akajua na ukamuomba msamaha akakubali", usijidanganye kuwa amesahau/ ipo siku lazima atakuja kulipiza tu.

. but tanguliza subira mbele" utashinda" ... je ni maamuzi yapi uliyoyachukua mpaka sasa
 
Ukweli ni kwamba nimeamua kuachana nao wote!!!

Mungu anisamehe kwa uovu nilioutenda,nitaanza upya kabisa,baada ya kutafakari sana!!
 
Ukweli ni kwamba nimeamua kuachana nao wote!!!

Mungu anisamehe kwa uovu nilioutenda,nitaanza upya kabisa,baada ya kutafakari sana!!
Aisee", na nivipi kuhusu watoto",..? hayo maamuzi yako utaweza kuyasimamia",Au ni msukumo wa hasira tu ""?
 
Jamani,naomba kuleta mrejesho wa maswahibu yangu!

Baada ya co-worker kujikata mkono kama jaribio la kujitoa uhai wake,nilisitisha safari ya Singida.
Lakini baada ya wiki moja niliamua kutengeneza dharura ya uongo kwa kumpanga rafiki yangu anipigie simu kunipa taarifa kuwa nahitajika kwetu haraka sana!(kwetu ni mkoani)

Basi jioni moja tukiwa tunaongea (huku nikiwa na hasira sana,japo sikutaka ajue),jamaa yangu akanipigia simu,akijifanya kaka yangu,akanambia nijitahidi ndani ya siku mbili nifike nyumbani kuna mambo muhimu yanahitaji uwepo wangu.

Baada ya kumaliza mazungumzo ya simu nikamwambia huyu mpnz wangu kuwa ninahitajika nyumbani haraka,inabidi kesho nipande gari kuelekea nyumbani,hakutia shaka!

Asubuhi ya siku iliyofuata nikapanda gari kuelekea Singida kwa mama watoto wangu.

Nimefika Singida,nikakuta familia yangu ikiwa poa kabisa,nikajisemea moyoni,huyu mwanamke (wa Tanga) anataka kuniharibia familia yangu hakika,kila nikiwaangalia wanangu wanavyofurahia uwepo wangu,na vizawadi kidogo nilivyowabebea nikajisemea hakika sitakubali kuiharibu familia yangu!

Usiku wa saa tano hivi nimelala na mke wangu,sijui shetani gani alinituma kushika simu ya mke wangu,nikaichukua nikaenda sebuleni,(yeye akiwa amelala baada ya game),kufungua inbox yake,loooh!nakuta SMS za wanaume kama 4 hivi,wote wanaonyesha wame-date naye,kwa sababu kila mmoja anasifia kuhusiana na mapenzi aliyopewa!
Mmoja ameandika," Bby una K ya moto sio mchezo,natamani iwe kila siku"

Mwingine,"Kwa ulivyokuwa mtamu,ungekuwa hauna mume ningekuoa kabisa"

Baada ya hapo nikajikuta najawa na hasira mbaya,ukizingatia si mtu niliyempenda ila nililazimika kuweka maslahi yangu kando ili kulinda maslahi ya watoto wetu,(maana bila watoto kiukweli tusingekuwa pamoja mpaka sasa)

Nimeendelea kuwepo mpaka sasa,na Alhamis natarajia kurejea Tanga,ila nina hasira moyoni isiyokifani,mbaya zaidi,kila nikisoma sent items zake kwa hao jamaa,naona anaonyesha ushirikiano chanya kwao!

Kimoyo moyo nawaza nikiondoka nimpotezee moja kwa moja,maana hata hamasa ya kusex naye sina kabisa!!

Nafikiria kuachana na wote nianze upya,(maana wa Tanga nampenda lakini kwa kiasi fulani naona hanifai kuwa mke) japo najiuliza ni mwanamke gani atakayenielewa kuwa nina watoto 3 na aishi nami na kuwapenda hao watoto wangu!!!???
Ushauri zaidi jamani,vijana wenzangu epuka sana kuanzisha mahusiano na mfanyakazi mwenzako,hasa kama hauna mpango wa kumuoa,ni hatari!!

Mkuu Umeona dhambi ya usaliti...... Ni kama laana haijawaacha Salama kwasababu hata wewe ni mzinifu na mwanamke ukute alijua kabisa umechepuka....so akaamua agongwe na yeye... Dhambi huzaa mauti..... Hapo Nimeinua mikono.... Cha kufanya Achana nao wote, Pambana kimaisha watoto wapate mahitaji muhimu ikiwemo chakula bora, Malazi na Elimu.... Anza upya, Simama Kama mwanaume, don't blame the past.. it's already done u can't change anything Bali Ikufunze na Usirudie Kosa LA ngono zembe na usaliti Achana nao....usaliti ni mbaya sana hata kiroho utakuhunt, mama wa mtoto kaa nae friendly umueleze ulichokiona na mwambie unataka kumove on.... Wote ni wazinifu na hiyo dhambi imezaa utenganisho.
 
Aisee", na nivipi kuhusu watoto",..? hayo maamuzi yako utaweza kuyasimamia",Au ni msukumo wa hasira tu ""?
Nitajitahidi sana,kuhakikisha najidhibiti mwenyewe kwa hali zote,nitapambana kwa nguvu zangu zote kuwajengea watoto wangu kesho yao!
Kwa sasa acha niachane nao wote kabisa!!!
 
Mkuu Umeona dhambi ya usaliti...... Ni kama laana haijawaacha Salama kwasababu hata wewe ni mzinifu na mwanamke ukute alijua kabisa umechepuka....so akaamua agongwe na yeye... Dhambi huzaa mauti..... Hapo Nimeinua mikono.... Cha kufanya Achana nao wote, Pambana kimaisha watoto wapate mahitaji muhimu ikiwemo chakula bora, Malazi na Elimu.... Anza upya, Simama Kama mwanaume, don't blame the past.. it's already done u can't change anything Bali Ikufunze na Usirudie Kosa LA ngono zembe na usaliti Achana nao....usaliti ni mbaya sana hata kiroho utakuhunt, mama wa mtoto kaa nae friendly umueleze ulichokiona na mwambie unataka kumove on.... Wote ni wazinifu na hiyo dhambi imezaa utenganisho.
Hakika nakubaliana nawe,dhambi imenitafuna sana,na ninatubu kwa dhati kabisa,na kuachana na yote yaliyopita,NITAANZA UPYA KWA TAHADHARI KUBWA kuijenga kesho yangu!

MUNGU WANGU NA ANISAIDIE!!!
 
Nitajitahidi sana,kuhakikisha najidhibiti mwenyewe kwa hali zote,nitapambana kwa nguvu zangu zote kuwajengea watoto wangu kesho yao!
Kwa sasa acha niachane nao wote kabisa!!!
Haya bwana".. kila la kheri" katik huo mwanzo wako mpya
 
Halafu Amu,fanya utafiti utagundua kuwa ni wachache sana wanaoana wakiwa na equilibrium kwenye kupendwa na kupenda, (yaani mwanaume anampenda kabisa mwanamke na mwanamke anampenda kabisa mwanaume)

Wengi huona kwa sababu zingine tofauti na kupenda,kuna wanaokubali kuolewa na wanaume ambao kimsingi hawawapendi ila kwa kuwa wanaume wanaowapenda hawaonyeshi mwelekeo wa ndoa basi wanaamua kuolewa na yeyote!

Wapo wanawake wanaoolewa na wanaume kwa sababu tu ya vipato vya wanaume hao,lakini mapenzi ya dhati hayapo kabisaaa!(wanaowapenda kweli hawana maisha mazuri!)

Wanaume pia wapo baadhi wanaoa sio kwa sababu wanawapenda sana hao wanaowaoa,ila ni kwa sababu wanawake wanaowapenda hawana sifa za kuwa wake zao,wana tabia tofauti na wanazozitaka,hivyo huishia kuoa wanawake wenye tabia njema,wanaoweza kutunza watoto wao vizuri n.k, mengine ni kuvumiliana mpaka wanazeeka!
Kifupi watu wengi hatuelewi maana halisi ya ndoa..MUNGU atusaidie
 
Mkuu huyu wa Singida sio mwenyeji wa huko,huko anafanya kazi tu!!!

Yeye ni mwenyeji wa Iringa huko!!
Màmaaa yani now nimepata jibu kbs..kumbe ni ndg yng..sasa basi huyo hajakusamehe tangia siku ile uliyomwambia hujampenda, na bado ana kisasi na wewe mpaka siku utakayo muomba msamaha kwa maneno uliyomtamkia 2015..unakijua kinyongo cha wahehe wewe..hayo mambo yote ya kubeba mimba ya 2 alihisi amekukomoa alivyoona bado ndio maana sasa hivi kaamua kutembea na hao wengine 4..yeye kwa akili yake bado anahisi anakukomoa hata km hujui ili mradi tu yeye anahisi hivyo..
Wa Tanga yeye siwezi kumzungumzia sana km anakupenda au Laa!! Ila yeye alikuwa anatafuta pa kufia ukizingatia ana watoto 3 kaona haiwezekani akawa single mother wa watoto 3..hayo kujichinja ana play games tu.
 
Back
Top Bottom