Usiombe ukutane na Mwanamke wa UJIJI-Kigoma

Asilimia kubwa ya watu wa Kigoma ni washirikina hivyo usishangae. Wanawake wao wengi sura kama ya Mama Diamond na wakimpata mgeni tu lazima watamlisha midubwada yao ya kienyeji na kujisahau ulikotoka. Nilikaa kule miaka minne na yote uyasemayo ni kweli kabisa. Hakuna Muha wa kunidanganya, ninawajuwa mwanzo mpaka mwisho.
 
kweli wamanyema wako juu sana kitandani hasa waliocheza "msondo",sio hii ya mjomba Gurumo na Mabera,hapana.

Hakuna wamanyema Kigoma. Asilimia 99.9 ya wakazi wa Kigoma ni Waha. Wamanyema ni kijikabila kidogo sana kutoka Congo RDC na asili yao haswa ni uvuvi. Kwa hapa bongo anayekuambia yeye ni mmanyema si kweli ila hataki tu kukuambia kama yeye ni Muha kwani Waha ni washamba sana na malimbukeni wakipata na ndiyo maana wanaongea sana hata kama hawana point. Ni sawa na wanyambo kutoka Kagera, wakija Dar wanajiita wahaya wakati huko kwao hawapatani.
 
Hakuna wamanyema Kigoma. Asilimia 99.9 ya wakazi wa Kigoma ni Waha. Wamanyema ni kijikabila kidogo sana kutoka Congo RDC na asili yao haswa ni uvuvi. Kwa hapa bongo anayekuambia yeye ni mmanyema si kweli ila hataki tu kukuambia kama yeye ni Muha kwani Waha ni washamba sana na malimbukeni wakimpata na ndiyo maana wanaongea sana hata kama hawana point. Ni sawa na wanyambo kutoka Kagera, wakija Dar wanajiita wahaya wakati huko kwao hawapatani.

Acha uongo wamanyema(watu kutoka manyema province)wapo kigoma kwa hapa tanzania,wapo buyenzi kwa Burundi,ukienda Rwanda utawakuta pale Nyamirambo,hapa Dar walifikia kariakoo.Wamamyema nje ya congo wanajulikana kama wamanyema tu lakini kiukweli hilo sio kabila sawasawa na kusema watanga,waarusha,wakilimanjaro n.k. lakini wanayo makabila yao mfano wabwari,watukilo n.k. hayo ndiyo makabila yao lakini manyema ni inawakilikisha sehemu watokako.
 
Toka mwaka 1995 - 1998 nilikuwa nafanya kazi pale UNDP Kigoma kama bwana maendeleo na kazi yangu kubwa ilikuwa ni kukusanya data toka vijijini na pale ofisi ya mkuu wa mkoa. Nimetembea sana Kigoma na kufanya kazi kila wilaya na Muha yeyote ukimuuliza kuhusu wamanyema anakushangaa kwani ni kijikabila kidogo sana na hawajulikani. Kama nilivyosema awali asilimia 99.9 ya wakazi wa mkoa wa Kigoma ni Waha hiyo nukta moja iliyobaki ndiyo wamanyema na wageni wengine.
 
LoL! Chezea JF weye!!! Shurti uweke mataulo au mipira kama ile ya watoto wadogo ili kulinusuru tandiko baadaye muweze kulala vinginevyo itabidi ligeuzwe.

Kweli wewe mtoto, hujui majimaji hayo ni nini? Unafahamu squirting wewe?
 
Hakuna wamanyema Kigoma. Asilimia 99.9 ya wakazi wa Kigoma ni Waha. Wamanyema ni kijikabila kidogo sana kutoka Congo RDC na asili yao haswa ni uvuvi. Kwa hapa bongo anayekuambia yeye ni mmanyema si kweli ila hataki tu kukuambia kama yeye ni Muha kwani Waha ni washamba sana na malimbukeni wakipata na ndiyo maana wanaongea sana hata kama hawana point. Ni sawa na wanyambo kutoka Kagera, wakija Dar wanajiita wahaya wakati huko kwao hawapatani.
kwa asili wamanyema kwa maana ya mchanganyiko wa makabila kutoka kongo ndio walioanzisha mji wa Ujiji kwa hiyo mji wa ujiji ni wa wamanyema, Waha walianza kuingia ujiji kama wafanyakazi wa kubeba mizigo na biashara yao kubwa ilikuwa kuuza vitebo vya kubebea dagaa, miji ambayo Waha ni asili yao ni Kasulu na Kibondo
 
Habari wana Jf. Nimekuwa Kigoma sasa kwa muda wa takribani miaka 3. Kipindi nafika nikawa nasika story za wanawake wa Ujiji kuwa kama kijana unataka upotelee kwenye dimbwi na mahaba..basi nenda ujiji. Mwanzo nikachukulia poa tu, kadri muda ulivyokwenda nikaanza kupata shuhuda kwa vijana kuwa wale watu ni nomaaaa. Basi siku moja katika pitapita nikakutana nae bila kujua anatokea wapi kumbeee... alikuwa Ujiji moja. Sitaki kuingia kwa undani nini kilitokea lakn wale wadada ni nomaaa kwa hayo mambo wanajua vitu vingi mno... Nimekuwa nashuhudia wageni wengi wanaokuja wakinasa Ujiji ndo hawabanduki. Usimbe kukutana nao kama una mwezi wako... Utaharibu
Ujiji ndio mji wa Wamanyema mchanganyiko wa makabila yaliyotoka Kongo yaani, Wabwari,Wabembe,Wavira,Wamangala,Waluba,Wasonge,Watogwe,nk kwa ujumla wao ndio walioanzisha mji wa Ujiji
 
Acha uongo wamanyema(watu kutoka manyema province)wapo kigoma kwa hapa tanzania,wapo buyenzi kwa Burundi,ukienda Rwanda utawakuta pale Nyamirambo,hapa Dar walifikia kariakoo.Wamamyema nje ya congo wanajulikana kama wamanyema tu lakini kiukweli hilo sio kabila sawasawa na kusema watanga,waarusha,wakilimanjaro n.k. lakini wanayo makabila yao mfano wabwari,watukilo n.k. hayo ndiyo makabila yao lakini manyema ni inawakilikisha sehemu watokako.

mkuu wataka kuniambia mmanyema sio muha, muha ni nani?

navyojua waha wametokana na makundi mbalimbali..
So navyojua kila mtu anayetokea kigoma ni muha, ila ana asili yake..
Mtusi anaepatikana kigoma ni muha au mtusi? Ukisema mmanyema sio muha hivyo basi hakuna muha, mmanyema hapendi kujiita muha.
 
kwa asili wamanyema kwa maana ya mchanganyiko wa makabila kutoka kongo ndio walioanzisha mji wa Ujiji kwa hiyo mji wa ujiji ni wa wamanyema, Waha walianza kuingia ujiji kama wafanyakazi wa kubeba mizigo na biashara yao kubwa ilikuwa kuuza vitebo vya kubebea dagaa, miji ambayo Waha ni asili yao ni Kasulu na Kibondo

Narudia tena, 99.9% ya Mkoa wa Kigoma ni Waha....fanya utafiti. Wamanyema waliobakia pale ni wachache sana tena finyu.
 
Hawana lolote zaidi ya madawa tu. mie nimekaa Mji Mwema nilikua nawagegeda sana na wala sikuzamia huko, wanawake wa ujiji, mwanga, kibirizi na manyovu kamua sana
 
Mbula, je Ni wasafi Sana au nyambughe Tu!
 
Kapime afya yako we chiiizi,bila aibu unajisifu kugegedana!!WITHOUT DETERMINATION PEOPLE PERISH
 
Kapime afya yako we chiiizi,bila aibu unajisifu kugegedana!!WITHOUT SELF DETERMINATION PEOPLE PERISH
 
Habari wana Jf. Nimekuwa Kigoma sasa kwa muda wa takribani miaka 3. Kipindi nafika nikawa nasika story za wanawake wa Ujiji kuwa kama kijana unataka upotelee kwenye dimbwi na mahaba..basi nenda ujiji. Mwanzo nikachukulia poa tu, kadri muda ulivyokwenda nikaanza kupata shuhuda kwa vijana kuwa wale watu ni nomaaaa. Basi siku moja katika pitapita nikakutana nae bila kujua anatokea wapi kumbeee... alikuwa Ujiji moja. Sitaki kuingia kwa undani nini kilitokea lakn wale wadada ni nomaaa kwa hayo mambo wanajua vitu vingi mno... Nimekuwa nashuhudia wageni wengi wanaokuja wakinasa Ujiji ndo hawabanduki. Usimbe kukutana nao kama una mwezi wako... Utaharibu

Isije ikawa umemla TARA wangu wa ujiji karibu na ATLAS.Mtoto ana mnato kama nta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom