mamsapkhan
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 843
- 267
Mara watanga oh wazaramo wa dar oh kgm ss sijui ukweli uko wapi huwwz kujua co wote wanaotajwa niwajuz no hp ni mtu mwenyewe anavyojituma
Hamna lolote wanawake wa kigoma ni wachawi na ukigusa mwanamke wa kigoma kama una familia alafu una nafuu ya maisha ujijue familia yako itaangamia na kusahaulika kabisa na huyo mke Utama cha. Atakupumbaza akili kukusahaulisha familia yako na kukuchanganya wewe utaona mapenzi ndio haya mambo yanaenda yenyewe kumbe umerogwa kimahaba utasahau mke na kumuacha kumbe yeye ndio kachafua nyumbani kesho. Wanawake wa kigoma ni wachawi sana na mabingwa wa limbwata kaka kuwa makini na wadada wa kigoma hawana lolote hiyo ndiyo siri yaoHabari wana Jf. Nimekuwa Kigoma sasa kwa muda wa takribani miaka 3. Kipindi nafika nikawa nasika story za wanawake wa Ujiji kuwa kama kijana unataka upotelee kwenye dimbwi na mahaba..basi nenda ujiji. Mwanzo nikachukulia poa tu, kadri muda ulivyokwenda nikaanza kupata shuhuda kwa vijana kuwa wale watu ni nomaaaa. Basi siku moja katika pitapita nikakutana nae bila kujua anatokea wapi kumbeee... alikuwa Ujiji moja. Sitaki kuingia kwa undani nini kilitokea lakn wale wadada ni nomaaa kwa hayo mambo wanajua vitu vingi mno... Nimekuwa nashuhudia wageni wengi wanaokuja wakinasa Ujiji ndo hawabanduki. Usimbe kukutana nao kama una mwezi wako... Utaharibu
Na ukishakula limbwata ujijue hutochomoka kwa huyo mwanamke kigoma ni nomaaaHamna lolote wanawake wa kigoma ni wachawi na ukigusa mwanamke wa kigoma kama una familia alafu una nafuu ya maisha ujijue familia yako itaangamia na kusahaulika kabisa na huyo mke Utama cha. Atakupumbaza akili kukusahaulisha familia yako na kukuchanganya wewe utaona mapenzi ndio haya mambo yanaenda yenyewe kumbe umerogwa kimahaba utasahau mke na kumuacha kumbe yeye ndio kachafua nyumbani kesho. Wanawake wa kigoma ni wachawi sana na mabingwa wa limbwata kaka kuwa makini na wadada wa kigoma hawana lolote hiyo ndiyo siri yao
Hakuna wamanyema Kigoma. Asilimia 99.9 ya wakazi wa Kigoma ni Waha. Wamanyema ni kijikabila kidogo sana kutoka Congo RDC na asili yao haswa ni uvuvi. Kwa hapa bongo anayekuambia yeye ni mmanyema si kweli ila hataki tu kukuambia kama yeye ni Muha kwani Waha ni washamba sana na malimbukeni wakipata na ndiyo maana wanaongea sana hata kama hawana point. Ni sawa na wanyambo kutoka Kagera, wakija Dar wanajiita wahaya wakati huko kwao hawapatani.
wanawake wengi washirikina kutokanahapo sasa wakuu,mnadiss so ukweli ,hii ni kwa wanawake wote akimpata mtu hamuachi, wanaume ni wachache xana!!!
na wewe ni kabila gani?