thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,114
No worry, I will do thatClean it
No worry, I will do thatClean it
Kuwa biased ndio nini. Unataka niongee kama mabavicha yanavyoongopa ndio uridhike?Sema basi kuwa hata wewe ulikuwa huko wakati huo! Kisha ushuhudie humu ulichokiona au kujifunza kwenye utawala ule. Onyo:- usiwe biased tafadhali!
Hakuna kitu kama hicho ndugu, Major General Mayunga au Kamanda Mti Mkavu ambaye alikua jemedari hasa wa vita na ninamuheshimu sana aliwahi kumuelezea huyu mtu sababu walisoma wote kwenye chuo cha jeshi Kenya. Kubwa alilosema ni kwamba Amin alikua mtu matata na akipenda sana presence yake iwe noticed popote atakapokua, na atafanya hivo kwa kufanya vitu vya kibabe(aliwahi kua bondia). Mambo mengine kama ukatili na kuua sikatai kua alifanya kama ambavyo viongozi/watawala wengi tu wa Afrika walifanya kwa maadui zao kisiasa kwa wazi au kimyakimya.Unajuaje kama hakuwa akila nyama za watu? Wewe unajua kuwa kama dude lile lazima uwe shirikina? Unajua mipaka ya ushirikina? Ongea na Mayunga (marehemu), "Mti Mkavu", aku narratie maisha halisi ya Idi amini tangu wakiwa wote jeshini!
Hata mimi nilikuwepo!Unafikiri ulikuwa peke yako wakati huo?
Kujifanya mzungu kumbe ni kilaza tu.
Sivibaya ukayataja japo kwa uchache hayo mazuri na Mabaya....halafu haimaanishi Dikteta... atakuwa anakulaIDD Amini alikua na mabaya yake mengi lakini pia mengi dhidi yake yalikua ni propaganda chafu na uwongo dhidi yake kama hilo la kula nyama za watu. Hiyo movie The Last King Of Scotland ina exaggerations nyiingi tu zingine kweli zingine uongo. Kama ni kupata tuzo nyingi inaeleweka nchi za magharibi hazikumpenda kabisa mtu huyu na wazungu wakikuchukia mambo yako yote huwa mabaya na atakaekuchafua watampa tuzo lukuki. Wapo watu Uganda tena kwa mamilioni wanamkumbuka kwa mazuri Idd Amini Dadda
Kuwepo na waganda walioshika Historia ya Mazuri Idd Amini haimaanishi hakuwa mtu wa hovyo!Hakuna kitu kama hicho ndugu, Major General Mayunga au Kamanda Mti Mkavu ambaye alikua jemedari hasa wa vita na ninamuheshimu sana aliwahi kumuelezea huyu mtu sababu walisoma wote kwenye chuo cha jeshi Kenya. Kubwa alilosema ni kwamba Amin alikua mtu matata na akipenda sana presence yake iwe noticed popote atakapokua, na atafanya hivo kwa kufanya vitu vya kibabe(aliwahi kua bondia). Mambo mengine kama ukatili na kuua sikatai kua alifanya kama ambavyo viongozi/watawala wengi tu wa Afrika walifanya kwa maadui zao kisiasa kwa wazi au kimyakimya.
Kama ambavyo na wewe huwezi kunithibitishia kama alikua anakula nyama za watu na mimi siwezi kukuthibitishia kinyume chake. Kwamba General Mayunga RIP aliwahi kusema hivo ni propaganda tu za vita, vinginevyo tuamini pia eti wakati flani alikua akibadilika na kua joka kubwa, maana na hilo nalo tuliambiwa!
Idd Amin alikua ni dictator, mtawala katili na mwenye vituko lakini kuna mengine meengi alizushiwa kama mbinu na hamasa za kivita. Uliza kwa Waganda walio iishi historia yake na wasio biased wakueleze
Mbona akina dab wanarusha Risasi
Mkuu hiyo ni kawaida sana, hakuna binadamu anayeweza kuwa mbaya kwa watu wote. Wale waliokuwa wananufaika na uwepo wake wanawezaje kumchukia? Shatani pia ana wafuasi wake tena wengi tu!!IDD Amini alikua na mabaya yake mengi lakini pia mengi dhidi yake yalikua ni propaganda chafu na uwongo dhidi yake kama hilo la kula nyama za watu. Hiyo movie The Last King Of Scotland ina exaggerations nyiingi tu zingine kweli zingine uongo. Kama ni kupata tuzo nyingi inaeleweka nchi za magharibi hazikumpenda kabisa mtu huyu na wazungu wakikuchukia mambo yako yote huwa mabaya na atakaekuchafua watampa tuzo lukuki. Wapo watu Uganda tena kwa mamilioni wanamkumbuka kwa mazuri Idd Amini Dadda
Raisi mstaafu wa Afrika ya Kusini aliwaji kusema"Matatizo mengi ya Afrika na Waafrika yanatokana na umasikini wa kujiletea au kuletewa na viongozi ili tutawalike watakavyo". Kiongozi anaingia madarakani leo na anaanza kuwaambia mkae kimya yeye anafahamu yote mnayotaka! Bado kwa kauli hiyo hamjashtuka tu? Yaani kila kitu mfanyiwr,hata mahesabu msiulize. Duu,kweli Thabo Mbeki aliona mbaliUNAUMIA JINSI WANAVYOMSHANGILIA? NISIKILIZE MIMI.
Baada ya Idd Amin kumpindua aliyekuwa Rais wa kwanza wa Uganda (Milton Obote) kazi kubwa aliyokuwa nayo ni kueneza propaganda kwa wananchi wa Uganda ili wampende.
Inaaminika kuwa kati ya Madikteta wataalamu katika ushawishi ni pamoja na Idd Amin Dadaa,
Alikuwa ana uwezo wa ajabu sana katika kupepeta mdomo huku akijiamini sana.
Ghafla wananchi wa Uganda walianza kumpenda na kumuona mkombozi wao, kila aliyeinuka kumpinga alitengenezewa propaganda za uongo na hatimaye kuonekana sio mzalendo.
Yeyote aliyesimama kumkanusha wananchi walikuwa tayari kumpiga hata mawe.
Kwakuwa alitengeneza mazingira ya kusikilizwa yeye peke yake ilikuwa rahisi kwake kusema uongo.
Alitunga uongo mwingi na kuumwaga kwa wananchi ili wampende huku akimzuia yeyote kuinuka kwa lengo la kumkanusha.
Hata pale wasomi walipoonya kuhusu masuala kadhaa hususani ya kiuchumi waligeuka kuwa maadui zake.
Mfano ni pale alipomuua gavana wa Benki kuu kwa kosa la kumwambia kuwa fedha hamna na hali ya uchumi ni mbaya.
Katika kutafuta uungwaji mkono na wananchi alidiriki hata kutengeneza matatizo na kuyatatua ili aonekane ni Rais anayejali.
Kwa mfano anapokuwa kwenye ziara zake humuandaa mtu atakayedanganya kuwa ni mgonjwa alafu anamlilia akiomba msaada kwa Rais na hapo utamuona Idd Amin anaandika cheki hapo hapo na kumpatia akatibiwe kumbe yote ni maigizo.
Katika matukio kama hayo wananchi hujikuta wanamshangilia huku wakimuona ni mwenye huruma.
Wakati mwingine alikuwa anawaua baadhi ya wapinzani wake hata wale waliokuwa waandamizi kwenye serikali yake huku akiwa wa kwanza kumwaga machozi wakati wa misiba ya aliowaua.
Mfano ni Pale alipomuua waziri wake wa Afya na kisha kulia machozi huku akitangaza kiama kwa waliofanya tukio lakini baadae ilibainika kuwa kichwa cha waziri huyo kilikuwa kwenye Jokofu la Amin huko kwake. Yaani amemla nyama.
Pamoja na propaganda zote na maigizo kibao bado wapo watu waliokuwa ni waaminifu kwa Milton Obote wakiwemo maaskari na wanajeshi pia...
THE LAST KING OF SCOTLAND...
Hii ni Movie iliyoigiza maisha ya Idd Amin na kupata tuzo nyingi kuliko movie zote zilizomuigiza Amin kwani ilikuwa ni kama uhalisia kwa wale waliowahi kumfahamu Idd Amin Dadaa.
Movie hii ina kijana aliyeitwa Nicholas Gharigan ambaye anakuja Uganda kujitolea kufanya huduma ya kidaktari katika nchi maskini za Afrika.
Alipotua Uganda anapokelewa na Daktari mwingine ambaye anakuwa kama mwenyeji wake kwani japokuwa naye pia ni mzungu lakini yeye ameshalowea kwa muda kiasi ndani ya Uganda naye akitoa huduma za tiba.
Wakiwa kwenye pitapita zao wakakutana na watu wakiwa wanajiandaa kwa kuimba nyimbo na shamrashamra kibao.
Dr Nicholaus Gariggan akamuuliza mwenyeji wake. Kulikoni?
Alijibiwa kuwa wanajiandaa kumpokea Rais Amin kwani anakuja hapo kijijini siku hiyo.
Dr Garigan aliomba wabaki kidogo ili nao wamuone huyo Amin.
Baada ya muda kidogo Gari nyingi zilianza kuingia pale huku watu wakimwagika kwa nderemo na vifijo huku vumbi likitimka kwa nyimbo na kucheza.
Ngoma zilisikika huku msafara wa magari ukiendelea kumiminika.
Baadae Jitu kubwa, Refu,Jeusi lililovalia mavazi ya Kijenerali wa Jeshi lilipanda jukwaani huku likishangiliwa kwa nguvu mnooo....
Uganda hoyeeeeeeee
Hoyeeeeeeee...
Ni sauti ya Amin akiwasalimu watu wa kijiji kile.
Butwaa lilimshika Dr Garigan ambaye ilibidi amuulize mwenyeji wake...
"Hivi wanampenda sana huyu Raisi eeenh"
Jibu alilojibiwa ni kwamba...
"Hata Obote akija wanamshangilia hivi hivi"
Hivyo basi...
USISHTUSHWE NA JINSI WANAVYOMSHANGILIA!
well saidRaisi mstaafu wa Afrika ya Kusini aliwaji kusema"Matatizo mengi ya Afrika na Waafrika yanatokana na umasikini wa kujiletea au kuletewa na viongozi ili tutawalike watakavyo". Kiongozi anaingia madarakani leo na anaanza kuwaambia mkae kimya yeye anafahamu yote mnayotaka! Bado kwa kauli hiyo hamjashtuka tu? Yaani kila kitu mfanyiwr,hata mahesabu msiulize. Duu,kweli Thabo Mbeki aliona mbali
Lissu alivyoiita kamati ya rais Magufuli kuhusu madini rubbish, mlishangilia na kupiga vigeregere.kama ulivyo vile...
sometimes fanya busara pita tu! hakuna aliyekuomba usome![]()
Na wewe ulikuwepo?Unafikiri ulikuwa peke yako wakati huo?
Unajua hata kuua ni maamuzi?1. Serikali hii ya JK Ni dhaifu, nchi inahitaji Raisi dikteta ili isonge mbele - Mnyika
2. Nchi inahitaji Raisi anayeweza kufanya maamuzi magumu bila woga- Mbowe
3. Tunamuhitaji rais mwenye uwezo wa kukemea wasaidizi wake Na wakamtii- Lema
Sasa mnalalamika nn was....nge nini??
Nakubaliana na mengi yanayosemwa. Ni kweli Amin hakua kiongozi mzuri na alikua ni dictator mbaya(kama kuna dictator nzuri). Makosa mengine ya kiuchumi inaweza kua ni sabotage kutoka nje kama anavofanyiwa Mugabe au pia poor governance kutokana na Sera mbovu kama ambavyo inaweza kutokea kwa kiongozi wa 'kidemokrasia'. Na namba ya watu(waganda) wanaomkumbuka kwa mazuri sio ndogo kusema you can neglect. Ukweli ni kwamba kuna mazuri ya ndani ya nchi yake aliyafanya mambo ambayo mimi Mtanzania hayanihusu. Na pia exaggerations za kula nyama za watu ni unfoundedMkuu hiyo ni kawaida sana, hakuna binadamu anayeweza kuwa mbaya kwa watu wote. Wale waliokuwa wananufaika na uwepo wake wanawezaje kumchukia? Shatani pia ana wafuasi wake tena wengi tu!!
Hakuna kitu kama hicho ndugu, Major General Mayunga au Kamanda Mti Mkavu ambaye alikua jemedari hasa wa vita na ninamuheshimu sana aliwahi kumuelezea huyu mtu sababu walisoma wote kwenye chuo cha jeshi Kenya. Kubwa alilosema ni kwamba Amin alikua mtu matata na akipenda sana presence yake iwe noticed popote atakapokua, na atafanya hivo kwa kufanya vitu vya kibabe(aliwahi kua bondia). Mambo mengine kama ukatili na kuua sikatai kua alifanya kama ambavyo viongozi/watawala wengi tu wa Afrika walifanya kwa maadui zao kisiasa kwa wazi au kimyakimya.
Kama ambavyo na wewe huwezi kunithibitishia kama alikua anakula nyama za watu na mimi siwezi kukuthibitishia kinyume chake. Kwamba General Mayunga RIP aliwahi kusema hivo ni propaganda tu za vita, vinginevyo tuamini pia eti wakati flani alikua akibadilika na kua joka kubwa, maana na hilo nalo tuliambiwa!
Idd Amin alikua ni dictator, mtawala katili na mwenye vituko lakini kuna mengine meengi alizushiwa kama mbinu na hamasa za kivita. Uliza kwa Waganda walio iishi historia yake na wasio biased wakueleze
Wanaokula nyama za watu wapo na hasa baadhi ya mkoa wa kagera na uganda (wachawi)Unajuaje kama hakuwa akila nyama za watu? Wewe unajua kuwa kama dude lile lazima uwe shirikina? Unajua mipaka ya ushirikina? Ongea na Mayunga (marehemu), "Mti Mkavu", aku narratie maisha halisi ya Idi amini tangu wakiwa wote jeshini!
wewe bwana mwongo nchi za magharibi hazikumchukia Amin mana zilimwona ndiye haswaa angeweza kupambana na Nyerere mcomunisti na ndo maana Uingereza ilimsaidia pia wakati wa vita ya KageraIDD Amini alikua na mabaya yake mengi lakini pia mengi dhidi yake yalikua ni propaganda chafu na uwongo dhidi yake kama hilo la kula nyama za watu. Hiyo movie The Last King Of Scotland ina exaggerations nyiingi tu zingine kweli zingine uongo. Kama ni kupata tuzo nyingi inaeleweka nchi za magharibi hazikumpenda kabisa mtu huyu na wazungu wakikuchukia mambo yako yote huwa mabaya na atakaekuchafua watampa tuzo lukuki. Wapo watu Uganda tena kwa mamilioni wanamkumbuka kwa mazuri Idd Amini Dadda