Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Mkuu ulichosema sahihi,ila pia ukihangaika kujua past ya wanawake wa siku hizi hutooa ng'ooo.
Kuchunguza kwanza ndio uoe inawezekana kabisa mkuu, tatizo vijana kwa sasa hatujui mwanamke wa kuoa na wa kupiga na kupotea. Tunababaikia K na chura tu. Unakutana na demu bar anakunywa pombe anavuta shisha iyo tayari ni red flag, unafahamiana na demu anaishi geto hana mishe yoyote rasmi inayomuweka mjini iyo tayari ni red flag.
 
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.

This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana. Mwamba anaoa malaya mstaafu wahuni washachimbua madini yote mgodini. Harakati za kutafuta mtoto zikianza zitaenda sambamba gharama za matibabu ya hormone imbalance kumbe demu ashaalibu kizazi kwa abortions na P-2.

As always as i said in relationship marketing nice guys are losers, they always end-up purchasing demaged items. Dont be nice guy.

Vijana wenzangu kama vipi turudi tu kwenye utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee, hawa mademu wa geto, wahitimu wa chuo, ferminists n.k wabaki wa kupiga na kupotea tu.
Nadhani ni bora kumuuliza kama ana stori ya huko nyuma ambayo anahisi ukiijua pembeni itakusumbua,
ili kama ipo aiseme na wewe ufanye maamuzi yako. Akiificha ajue ukijaijua ndoa inakufa. Aidha na wewe
uwe tayari kumjulisha taarifa ambayo unajua akiipata pembeni inaweza msumbua ili afanye maamuzi yake.

Kutafuta historia yote ni ngumu sana maana mengine yanafanyika mafichoni sana na si rahisi kuzipata hizo stori.
 
Laa sivyo katafute kiteenager 17-19 mpk 21 hivi ndio ukioe.
Hako hakanaga past kubwa sana maana bado hakajapitia mambo mengi sana.
Niliyoyaona kwenye madanguro ya bar za Dar, vitoto vya 15yrs vinajiuza, hakika mahesabu yako ya umri poa wa kuoa waweza kukuletea maradhi ya sonona.
 
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.

This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana. Mwamba anaoa malaya mstaafu wahuni washachimbua madini yote mgodini. Harakati za kutafuta mtoto zikianza zitaenda sambamba gharama za matibabu ya hormone imbalance kumbe demu ashaalibu kizazi kwa abortions na P-2.

As always as i said in relationship marketing nice guys are losers, they always end-up purchasing demaged items. Dont be nice guy.

Vijana wenzangu kama vipi turudi tu kwenye utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee, hawa mademu wa geto, wahitimu wa chuo, ferminists n.k wabaki wa kupiga na kupotea tu.
UKikomaaa na past utaijua future kwa nguvuu
 
Kuchunguza kwanza ndio uoe inawezekana kabisa mkuu, tatizo vijana kwa sasa hatujui mwanamke wa kuoa na wa kupiga na kupotea. Tunababaikia K na chura tu. Unakutana na demu bar anakunywa pombe anavuta shisha iyo tayari ni red flag, unafahamiana na demu anaishi geto hana mishe yoyote rasmi inayomuweka mjini iyo tayari ni red flag.
Unaweza kutana na mwanamke mlokole au msalihina na anaishi nyumbani na anaonekana mstaarabu ila kapata mimba 6 katoa 4 na kazaa 2.
Kaka wanawake wa siku hizi hubeba mambo mengi ambayo si rahisi kuyajua na hata ukiyajua waweza zimia,mbaya zaidi mabinti wa siku hizi waigizaji sana mpaka mama zao wanawasaidia uigizaji.
 
Kwa dunia ya sasa tunaokotana ni ngumu kujua tabia ya mtu.Zamani binti anafanyiwa vetting ya kutosha, kuanzia kwa wazazi wake mpaka kizazi kimoja kilichopita cha wazazi wake.

Sasa hivi hatuna time hiyo,mwanamke ataangalia hela,mwanaume ataangalia muonekano na uzuri wa binti.
baada ya mwezi ndoa inavunjika, basi sawa
vetting ni muhimu
 
Niliyoyaona kwenye madanguro ya bar za Dar, vitoto vya 15yrs vinajiuza, hakika mahesabu yako ya umri poa wa kuoa waweza kukuletea maradhi ya sonona.
Mkuu nilipotoa umri huo nimeweka probability.
Probability ya teenager kuwa safi ni kubwa kuliko ya adult/young adult.
Tutizame probability kaka.
Japo kuna mengine ya kutizamwa tofauti na hilo ambayo ya msingi zaidi.
 
Kuna topic humu ilifikia conclusion kuwa, bikira za mabinti wengi zinavunwa na ndugu zao wa karibu wa damu kwa njia za michezo ya tayariibaado kewenye mapagale.

Kila utapotaka kuchimbua "madini' hauwezi kufanikiwa, lazima utakumbana na reject tuu.
Apo hakuna wa kulaumiwa aliye chimbua ni mwanaume na anaepaswa kuoa ni mwanaume pia.
 
Nadhani ni bora kumuuliza kama ana stori ya huko nyuma ambayo anahisi ukiijua pembeni itakusumbua,
ili kama ipo aiseme na wewe ufanye maamuzi yako. Akiificha ajue ukijaijua ndoa inakufa. Aidha na wewe
uwe tayari kumjulisha taarifa ambayo unajua akiipata pembeni inaweza msumbua ili afanye maamuzi yake.

Kutafuta historia yote ni ngumu sana maana mengine yanafanyika mafichoni sana na si rahisi kuzipata hizo stori.
Ni kweli ingawa hapa kuna uwezekano mkubwa wa kudanganywa. Namna nzuri ya kupata majibu ya uhakika ni kufanya research wewe mwenyewe kwa kuhoji ambao wapo karibu na mwenza wako
 
Back
Top Bottom