Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Usioe mwanamke ambaye hauijui past yake

Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.

This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana. Mwamba anaoa malaya mstaafu wahuni washachimbua madini yote mgodini. Harakati za kutafuta mtoto zikianza zitaenda sambamba gharama za matibabu ya hormone imbalance kumbe demu ashaalibu kizazi kwa abortions na P-2.

As always as i said in relationship marketing nice guys are losers, they always end-up purchasing demaged items. Dont be nice guy.

Vijana wenzangu kama vipi turudi tu kwenye utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee, hawa mademu wa geto, wahitimu wa chuo, ferminists n.k wabaki wa kupiga na kupotea tu.
Awap tena hao wa kutafutiwa ndo hovyo kabisa tuulize sisi, mimi, binamu kaka ang na mtoto wa mjomba wote tumeshilikisha wazee ktk kupat wenza wetu lakn tuliyoyashuhudia hakuna mwenye hamu tena
 
Mkuu,
Huko vyuoni kweli wanawekwa, yaani ya nyuma tusiyajaji sana ila kweli kuoa mwanamke aliyewekwa na wanaume 5+ kwangu nadhani ni kuoa kamalaya tu. Sasa mtoto wa kike hadi alike 25 kwa sasa mbona naona watano ni wachache.🤣
Wanawake wetu wangefuta hii dhana ya ndoa ni kitu cha muhimu sana ,wasingewekwa sana nafikiri ,unakuta mhuni mpaka anatoa mahari amuweke tu kwa ahadi ataoa 🤔
 
Apo hakuna wa kulaumiwa aliye chimbua ni mwanaume na anaepaswa kuoa ni mwanaume pia.
Sasa kuna watu hudai eti kukata utepe ndiyo ujanja na ni heshima, siyo kukuta umesaidiwa!

Embu waza, mheshimiwa anashika mkasi ili kukata utepe kuzindua anakuta tayari kamba imekatwa inaning'inia, atajisikiaje, makofi, vifijo na vigelegele vitapigwa?
 
Unaweza kutana na mwanamke mlokole au msalihina na anaishi nyumbani na anaonekana mstaarabu ila kapata mimba 6 katoa 4 na kazaa 2.
Kaka wanawake wa siku hizi hubeba mambo mengi ambayo si rahisi kuyajua na hata ukiyajua waweza zimia,mbaya zaidi mabinti wa siku hizi waigizaji sana mpaka mama zao wanawasaidia uigizaji.
Moja ya changamoto tunayokutana nayo vijana wa sasa ni kutafutana mume na mke katika dunia ambayo imejaa kila aina ya ushenzi. Noma sana
 
Nice guy mwingine kauziwa mbuzi kwenye gunia. Juzi kati nimepewa taarifa kuna demu anaolewa, huyu demu tumesoma pamoja chuo.

This is not personal but the trust is huyu demu kakitombesha sana. Mwamba anaoa malaya mstaafu wahuni washachimbua madini yote mgodini. Harakati za kutafuta mtoto zikianza zitaenda sambamba gharama za matibabu ya hormone imbalance kumbe demu ashaalibu kizazi kwa abortions na P-2.

As always as i said in relationship marketing nice guys are losers, they always end-up purchasing demaged items. Dont be nice guy.

Vijana wenzangu kama vipi turudi tu kwenye utaratibu wa kutafutiwa mke na wazee, hawa mademu wa geto, wahitimu wa chuo, ferminists n.k wabaki wa kupiga na kupotea tu.
Hao wanawake waliofanya ngono mara nyingi kabla ya kuolewa, wanakuwa wamefanya na wanawake wenzao?
 
Sasa kuna watu hudai eti kukata utepe ndiyo ujanja na ni heshima, siyo kukuta umesaidiwa!

Embu waza, mheshimiwa anashika mkasi ili kukata utepe kuzindua anakuta tayari kamba imekatwa inaning'inia, atajisikiaje, makofi, vifijo na vigelegele vitapigwa?
Mimi sioni faida ya mimi kukata utepe , haya mambo yalipewa uzito karne ya 15.
 
Moja ya changamoto tunayokutana nayo vijana wa sasa ni kutafutana mume na mke katika dunia ambayo imejaa kila aina ya ushenzi. Noma sana
Hata ukisema utafute kwa dunia ya kistaarabu unaweza ukala za kichwa vile vile.
Mfano kuna rafiki wa shemeji yangu kaolewa mwezi uliopita.
Yule binti ni wazanzibari familia ni nzuri inafahamika kwa maadili ila binti alikua mzinzi wa chini sio poa.
Akatokea jamaa akamchumbia amuoe,wazee wakaficha makando ya binti ili aolewe tu chap chap asepe zake.
Sasa imagine mume aje agundue baadae makando ya yule binti aisee😂😂😂🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️.
Yani makando yake kama akielezewa nyege zote zinakukata mzee unakimbia nduki na kugoma kuoa.
Ila ukiitizama familia iko poa na ya dini na binti akitoka kajistiri na humkuti majumba ya starehe na uchafu.
Ila kumbe ni sumu baridi hapo mtaani hadi na wame za watu keshafumaniwa nao.
Uzuri aliyemuoa wa mbali.
Ila wazazi wamemficha jamaa back ground ya binti.
Hapo nadhani unapata picha ikoje mkuu.
 
Awap tena hao wa kutafutiwa ndo hovyo kabisa tuulize sisi, mimi, binamu kaka ang na mtoto wa mjomba wote tumeshilikisha wazee ktk kupat wenza wetu lakn tuliyoyashuhudia hakuna mwenye hamu tena
Tunaongelea posibility mkuu, ofcourse hakuna kanuni moja itakaleta jibu sahihi kwa kila mtu lakini ukishirikisha wazee kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kupata mke sahihi kuliko ukivamia hawa wa mjini wanaojiita wapambanaji sijui malkia wa nguvu.
 
Wanawake wetu wangefuta hii dhana ya ndoa ni kitu cha muhimu sana ,wasingewekwa sana nafikiri ,unakuta mhuni mpaka anatoa mahari amuweke tu kwa ahadi ataoa 🤔
Shida ni kwamba ishajengeka dhana kwamba mwanaume ndie anabeba maintainance costs zote za mahusiano na in return anapewa K. Hata wanawake wakiondoa fikra za umuhimu wa ndoa akilini bado wataendelewa kuliwa tu kwa sababu hayo matunzo wanayotaka kutoka kwa mwanaume yanawafanya kuwa mateka. Hakuna mwanaume atahudia tu miaka nenda rudi bila kupewa mzigo.
 
Mimi naona hakuna haja ya kulalamika kama ni kuzagamuana tuzagamuane tu kwa sababu hata sisi wanaume ni vimeo ,binafsi mpka sasa si chini ya wanawake 200 nimewazabua ,apo nikianza kulilia bikra nitakua naupungufu wa akili.
 
Hao wanawake waliofanya ngono mara nyingi kabla ya kuolewa, wanakuwa wamefanya na wanawake wenzao?
Wamefanya ngono na bad boyz baada ya kuwa demaged ndio wanajisogeza kwa nice guyz wapate tulizo. Wanawake wanajua mienendo ya wanaowatongoza tatizo ni kwamba wakiwa kwenye ubora wao wana-prefer zaidi bad boyz, wenyewe wanadai mahusiano na nice guyz yanaboa hayana zile heka heka za kufokewa, kukuta sms za michepuko kwenye simu n.k., baada ya miaka mingi wanawake hawa wakishakua demaged baada ya kupigwa miti, umri kwenda, kuwa single maza na kufanyiwa michezo yote na bad boyz ndipo wanajisogeza kwa nice guyz waolewe ndo hapo kijana mwema anaenda kubeba matatizo ambayo hajayasababisha.
 
Back
Top Bottom