Usioe hili kabila kama huna msuli

Usioe hili kabila kama huna msuli

hivi kweli ndugu yangu timing unadhani inakuwaje mwanamke aanze kutawala ndani ya nyumba? wewe fikiria tu ndugu yangu ..nani mbaya hapo! maana wanawake tumeumbwa na heshima flani hivi naturaly ! hii heshima unadhani inapotezwa na ukabila eti!

I couldn't agree with you more
 
sisi tunaongoza kwa kuolewa na race zote duniani nadhani wewe dada zako wameishia hapo hapo kijijini kwenu hata kijiji cha jirani hawajafika! so cheap!

Mkuu
I wish ungewajua dada zangu smile usingeongea haya maneno. Ukweli lazima usemwe hata kama unauma. Sikatai kuna wengine wapo tofauti. Ila wengi wao wanatabia ngumu na hatari. Hata ukibisha ukweli unajulikana
 
Kwa habari ya ndoa, usidanganyike hakuna cha mmachame wala kabila fulani; mzungu wala mwafrika. changamoto kwa mume na mke kuishi pamoja ziko pale pale.
 
Mimi nimeishi huko muda tu tena kijijini, sidhani kama ni hivi kivile
 
wanaopinga hawawajui hawa watu hawajaoa machame wala hawana watu wa karibu wenye wake wa kimachame. Mwanamke wa kimachame kwa nje ni malaika ukiingia ndani ndo utamjua vyema. Kama unataka ndoa yenye amani na upendo sikushauri uoe hawa ndugu zetu, yasemwayo yapo na kama hayapo ....
Ni wakatili, wababe, wanakiburi, wajeuri , wajuaji. Sio wote wenye tabia hizi lakini wengi wao ndo walivyo.
 
kiruuuu

wewe sema umeshindwa kuhandle familia yako una kuja kugeneralize mambo hapa.

wewe unafikiri kuwa baba ni mchezo.. ukiwa legelege lazima uonyeshwe namna ya kukaa sawasawa kwi kwiiiiiiiiiiii.

sisupport tabia hizi.. but nachukia tabia ya kujudge watu kwa ujumla. Ushindweee!
 
wao kwa wao wanaishi vzuri tu mbona!!

tatizo ampate boya kutoka upande wa pili, utakomaje!

mi nna reference ya mmoja yeye alikuwa akiniambia kuwa hatokaa aolewe, shida yake tu apate mtoto then arudi kwenye mission looking for money!! tuko mjini baba!
 
Ndo mana nikasema kabla huja comment chochote fanya reference kwanza kwa watu ulionao karibu, mimi nina experience ya ndugu jamaa na marafiki and I know how they have been hassling.

Sidhani kama sifa mbaya ulizo zitaja zinahusu kabila fulani!Kwa mtazamo wangu sifa mbaya ya mwana mama ndani ya ndoa ni hulka yake ma malezi tu aliyokulia
 
Naongea kwa uzoefu hivyo usije ukaja tu majibu yako ya ina tegemea, let's be realistic with what we have been experiencing. Kabla huja comment refer to yourself, your friends or your relatives who have got married to this tribe.

Ni wanawake wazuri kwa sura na pia wanajituma sana katika kutafuta maisha, shida zao ni kama zifuatazo

1. They are cash driven
2. Wababe
3. Wanapenda kumtawala mwanaume
4. Hawajali nyumba
5. Hawajali ndugu
6. Upendo pia si kivile kama huna mpunga
7. etc ect unaweza kujaza

I don't mean to say that you shouldn't get married to the women from this tribe no, but you need to take those challenges into consideration and note that it may also be difficult to tackle them and that's why the marriage get broken.

All in all you should play your card very smart so as to get it balanced. Mine I have in the marriage for 13 years now with a Machame woman but i have encountered a lot of challenges.

Sio machame tuuu na wachaga wote kwa ujumla
 
Ni wakatili, wababe, wanakiburi, wajeuri , wajuaji. Sio wote wenye tabia hizi lakini wengi wao ndo walivyo.

Girlfriend wangu ni mmachame though ni wale waliokulia town, but ukiondoa Ukatili, the rest zote ni sifa zake. I think am giving up:beer:
 
Mimi naishi nyumba moja na wachaga kama watano hivi, mmjoa mkibosho mmjoa wa rombo mwingine wa uru sijui, wote story zao wanasema wamachame hasa wanawake ni wakatili hawana hata chembe ya huruma, hudominate mwanaume kwenye ndoa......... Nao penyewe ni wachaga wanasema huwa hawapendi kuolewa au kuoa wamachame, mimi sina uhakika but waliniambia hivyo walipoona nina uhusiano na mmachame, wakanipa angalizo hilo tena kwa kunisikitikia.......zamani nilikuwa najua ni wachaga wofe wako hivyo, nikapewa ufafanuzi kuwa wamachame ni balaa, kumuua mwanaume ili mali iwe yao ni jambo la kawaida kwao, lakini pia niliwahi kushihudia ndugu yangu mmoja hakika kwa yale manyanyaso baba angu aliapa kuwa hatakaa kukubali mwanake aoe au aolewe na mchaga ye alijua wachaga ni wachaga tu.....
 
Girlfriend wangu ni mmachame though ni wale waliokulia town, but ukiondoa Ukatili, the rest zote ni sifa zake. I think am giving up:beer:

Mkuu huo ukatili anaqeza asikufanyie wewe ila jaribu kuweka house gal utajua nini namaanisha
 
Ila tuwache uwongo,hawa dada zetu ni wazuri bhana!! Kwa sie tunaojali uzuri kwanza tutawaoa sana tu!! Hayo mengine huwa tunaassume yatanyooka hata kwa ngumi na vichwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom