Usioe hili kabila kama huna msuli

Usioe hili kabila kama huna msuli

Kuna kausemi kana sema " lisemwalo lipo". Uyasemayo yana ukweli ndani yake 7bu ww mhucka umeongea kutokana na kuwa tayari ushakutana nayo ila pia tukifuatisha maneno ya walio wengi pia tunaona kuna ukweli!
 
Kuna kausemi kana sema " lisemwalo lipo". Uyasemayo yana ukweli ndani yake 7bu ww mhucka umeongea kutokana na kuwa tayari ushakutana nayo ila pia tukifuatisha maneno ya walio wengi pia tunaona kuna ukweli!

Mnawaonea hawa wachaga jamani dah yani hawapumui
 
Kwa habari ya ndoa, usidanganyike hakuna cha mmachame wala kabila fulani; mzungu wala mwafrika. changamoto kwa mume na mke kuishi pamoja ziko pale pale.
Umenena kweli! Uzuri au ubaya wa ndoa ni waliomo katika hiyo ndoa. Ndoa ni hatari isikie kwa mwenzako
 
Hapo kwenye msuli uko sahihi. Mwanaume ambae hana msuli, bora akaoe kwao jk, or else zenj. Unaweza kukaa ukweni ukala na kulala bila tatizo huku unaongeza watoto. Makabila yote ya tz mwanaume hajitambulishi.
 
Girlfriend wangu ni mmachame though ni wale waliokulia town, but ukiondoa Ukatili, the rest zote ni sifa zake. I think am giving up:beer:
Girlfriend na mke vitu tofauti kaka. Ukitaka kuishi maisha mazuri ishi kiuchumba maana baada ya ndoa utajuta kuzaliwa (ni wote awe mchaga au mnyamwezi wote toto ya baba moja aisee)
 
Mimi siamini hili la wamachame hata kidogo. Ni dhana potofu jamii imejijengea. Wewe mwanaume utakuwa mjinga/mzembe kiasi gani mpaka ukubali kukaliwa na mwanamke??
 
Kama mtoto wa mwenzio ni mbaya.anatabia mbaya.mbabe. etc basi kaoe dadako maana ndo kalelewa vizuri.
Kuna watu wanaudhi sana. Unakuta mmeinvest kwa mtoto/dada kumsomesha kumweka sawa anakuja mtu kwa tabia unashindwa ku-conclude jinsia yake. Nani anataka mkwe/shemeji sampuli hii. Ndo maana unashauriwa unafiria kuoa anza na kwenu. Ukiona pana mapungufu toka ila ujiandae na cultural shock za wengine.

Mambo ya kwenda ngomani wiki. Mambo ya kitanda hakizai haramu.mambo ya kuposa kwa wajomba badala ya baba mzazi. La msingi jiulize unataka msaidizi atakayekuambia ukweli unaoolegalega au housegirl wa ndio mzee.
Kila kabila, jinsia kuna ukatili. Hayo wanaume wa.....wanayowatendea wake zao huko vijijini nayo tusemeje?
 
Inawezekana kuna ukweli ktk hili. Mimi kuna jamaa mmoja mmachame tupo ofisi moja, aliacha mke wake wa kwanza mmachame, huwa anamsemo wake "mwanamke mzuri wa kimachame ni yule alie kufa tu". Tusiyapuuze.
 
Ulilazimishwa kuoa mchaga oa kwenu. Mnapenda vizuri mnalalamika. Acha kutisha watu
 
Mimi siamini hili la wamachame hata kidogo. Ni dhana potofu jamii imejijengea. Wewe mwanaume utakuwa mjinga/mzembe kiasi gani mpaka ukubali kukaliwa na mwanamke??

Arif upo? Long time no see.

BTT: mwanaume anayelialia na kukubali kutawaliwa na mwanamke ni mzembe kama dola za Mugabe. Baaas
 
Mmh! Kuna majirani zetu wa hilo kabila walikuwa wanapigana daily. Mama mbabe kweli kweli. Japo si sababu ya kugeneralize maana hata wasukuma wenzangu wapo walio wakorofi.
 
Kuanza upya si vibaya! sahau shida zote, piga chini kajichukulie Msukuma umalizie siku zako ulizobakiza duniani
 
Sasa kama unakaa kwa dressing table kama mkeo hutafuti hela kwanini asikutawale?

Jombaa tafuta hela mboga ipatikane nyumbani heshima itarudi
 
Wanawake wa kichaga binafsi nawakubali kwenye kutafuta chapaa tu! Ni wapiganaji kusema kweli,lakini hawana nidhamu,kwangu hilo ni tatizo kubwa sana.pesa mimi mwenyewe naweza kutafuta na nikaulisha ukoo wake mzima,kikubwa kwangu ni nidhamu,mwanamke huwezi kuongea matusi hovyo,kutowajali ndugu zangu na kutaka kuniendesha kama wewe ndo uliyenioa,bora nikajichukulie msukuma wangu make najua ntakuwa na piece of mind na ntamalizia siku zangu hapa duniani kwa amani,acheni wafu wazikane!hawa watu wanaelewana sana kama wakioana wao kwa wao tu,mnajua kuna watu wanaendeshwa sana na matukio humu jamvini kwakuwa hayajawakuta na hawajawahi kuishi na hawa watu,mimi hawanisumbui,nawajua in and out!!
 
Mmh! Kuna majirani zetu wa hilo kabila walikuwa wanapigana daily. Mama mbabe kweli kweli. Japo si sababu ya kugeneralize maana hata wasukuma wenzangu wapo walio wakorofi.

Sifa yenu kubwa wasukuma ni kuwawekea wanaume Limbwata.

Nina jirani hana tofauti na zezeta jinsi alivyolishwa madawa na mwanamke wa kisukuma, anatohombewa mkewe hapo hapo nyumbani.
 
Ila tuwache uwongo,hawa dada zetu ni wazuri bhana!! Kwa sie tunaojali uzuri kwanza tutawaoa sana tu!! Hayo mengine huwa tunaassume yatanyooka hata kwa ngumi na vichwa!

Umesahau na panga na kisu kwa Kuryazzzz
 
Nina mchumba Mpare,
Vp I just wana know their Critics na strengths kama zipo,,
 
mechi kati ya man u na arsenal a.k.a arse nane ni saa moja na dakika 10 usiku.mboni safoo donge.Ila man u ikifungwa nazira kula wiki nzima.

Utakufa na njaa wewe kuanzia leo shauri yako, mengineyo humu kaa kimya Kula na kusepa ndio dawa Yao...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom