A bad workman blames his tools.
So you mean a good workman can do better with bad/useless tools?
A bad workman blames his tools.
Hivi mechi ya kesho kati ya Man United na Arsenal itakuwa saa ngapi? Maana hizi thread za Chaga women tumeshazichoka.
Ulifungwa kamba kuoa hilo kabila ? kwanini hukuoa kwenu? ? eti wanatawala wanaume kama umetawaliwa andamana kudai uhuru wako..au unataka nyerer afufuke aende uingereza kudai na uhuru wa nyumba yako kama alivokuombea uhuru wa nchi...kwa thread hii hayo unayopitia yanakustahili kabisa..mume aishi kama mume apate heshima yake ..mume akiishi kama mke apewe yanayomstahili pia!
Na mabilionea wote TanzaniaTujaribu ku list celeb ambao wameoa wachaga kisha evaluate ndoa zao
1. Ben Mkapa
2. Salmin Amour
3. Reginald Megi
4. Jenerali Ulimwengu
5 iddi simba
6basil mramba
7fredrick sumaye
8
9
10
Hivi kweli ndugu yangu timing unadhani inakuwaje mwanamke aanze kutawala ndani ya nyumba? wewe fikiria tu ndugu yangu ..nani mbaya hapo! maana wanawake tumeumbwa na heshima flani hivi naturaly ! hii heshima unadhani inapotezwa na ukabila eti!salaam, wa-salaam... asalaam aleykum!!
Nimeipenda hii sana, mume akiishi kama mke apewe yanayostahili pia
aisee:faint2:
ulifungwa kamba kuoa hilo kabila ? kwanini hukuoa kwenu? ? eti wanatawala wanaume kama umetawaliwa andamana kudai uhuru wako..au unataka nyerer afufuke aende uingereza kudai na uhuru wa nyumba yako kama alivokuombea uhuru wa nchi...kwa thread hii hayo unayopitia yanakustahili kabisa..mume aishi kama mume apate heshima yake ..mume akiishi kama mke apewe yanayomstahili pia!
na mabilionea wote tanzania
na mabilionea wote tanzania
i wish ningekuwa namfahamu mke wako! ana hasara kubwa sana kuwa na mume mnafiki kama wewe! so chalenge za kwenye ndoa yako zimetoka machame? what if angekuwa mzungu hicho chalenge zisingekuwepo?Naongea kwa uzoefu hivyo usije ukaja tu majibu yako ya ina tegemea, let's be realistic with what we have been experiencing. Kabla huja comment refer to yourself, your friends or your relatives who have got married to this tribe.
Ni wanawake wazuri kwa sura na pia wanajituma sana katika kutafuta maisha, shida zao ni kama zifuatazo
1. They are cash driven
They are cash driven
3. Wanapenda kumtawala mwanaume
4. Hawajali nyumba
5. Hawajali ndugu
6. Upendo pia si kivile kama huna mpunga
7. etc ect unaweza kujaza
I don't mean to say that you shouldn't get married to the women from this tribe no, but you need to take those challenges into consideration and note that it may also be difficult to tackle them and that's why the marriage get broken.
All in all you should play your card very smart so as to get it balanced. Mine I have in the marriage for 13 years now with a Machame woman but i have encountered a lot of challenges.
tunarun maisha ya wanaume wote bongo kutuacha hamuwezi! kama unavaa pampas oa kwenu period!wamachame utawajua tu, mbina povu linakutoka?
wkend babu jamaa kaambiwa baba nanihii nipe hela ya shoping ya watoto hana kitu hana hata kanauli ka windo shoping kazi kucheza viduku kibarazani na kutongoza mabeki 3 wa watu sasa anaanza kulia ooh mmachame mmachame! watu wawe responsibly na ndoa zao heshima iwepo !twenzetu tukanywe Anjari naona wapewa stress tu huku...
sisi tunaongoza kwa kuolewa na race zote duniani nadhani wewe dada zako wameishia hapo hapo kijijini kwenu hata kijiji cha jirani hawajafika! so cheap!Kwanza wao kwa wao hawaoani. Wanaume wao hawataki hata kuwasikia.
ni noma kwa wanaume legelege kama wewe!Wamachame na wamarangu ni noma jombaaa!!
Naongea kwa uzoefu hivyo usije ukaja tu majibu yako ya ina tegemea, let's be realistic with what we have been experiencing. Kabla huja comment refer to yourself, your friends or your relatives who have got married to this tribe.
Ni wanawake wazuri kwa sura na pia wanajituma sana katika kutafuta maisha, shida zao ni kama zifuatazo
1. They are cash driven
2. Wababe
3. Wanapenda kumtawala mwanaume
4. Hawajali nyumba
5. Hawajali ndugu
6. Upendo pia si kivile kama huna mpunga
7. etc ect unaweza kujaza
I don't mean to say that you shouldn't get married to the women from this tribe no, but you need to take those challenges into consideration and note that it may also be difficult to tackle them and that's why the marriage get broken.
All in all you should play your card very smart so as to get it balanced. Mine I have in the marriage for 13 years now with a Machame woman but i have encountered a lot of challenges.
hata siku moja fake haiwezi shindana na origino kaka!kama kashindwa mmachame ataweza kabila gani kwa mfano? mzaramo? mhaya au nani sasa ataje! mwanaume unakuwa weak unasingizia makabila eti?..this guy is so low aisee! afie mbali hukoUshamba unakusumbuwa hakuna kabila linaitwa Machame in Tanzania.
You suffer with inferiority complex.
ni noma kwa wanaume legelege kama wewe!
mwanamke mmoja wa machame au marangu ni sawa na wanaume mia wa kabila lako! nadhani ukikutana nae mmoja huwa unaogopa kama umekutana na jeshi na m 123!