Usioe hili kabila kama huna msuli

Usioe hili kabila kama huna msuli

Sifa yenu kubwa wasukuma ni kuwawekea wanaume Limbwata.

Nina jirani hana tofauti na zezeta jinsi alivyolishwa madawa na mwanamke wa kisukuma, anatohombewa mkewe hapo hapo nyumbani.
hahaha! mbona kibao kinanigeukia mie.. sasa wewe umeona jirani yako mmoja ukageneralize ni wasukuma wote... utajuaje pia, labda jamaa kakolezwa tu, hukusikia ile story ya kenya ya wababa wawili kukubaliana kumuoa mke mmoja
 
Ni sahihi..mara nyingine hujisahau hata huo msuli wa uchumi alionao umetokana na jasho na mawazo yako mwenyewe
 
Hivi mechi ya kesho kati ya Man United na Arsenal itakuwa saa ngapi? Maana hizi thread za Chaga women tumeshazichoka.
Mechi yakuinywea konyag

Mzee kama unaishi na waparestina na hujachimbiwa ardhini, jiandae. Andika urithi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom