Usinishike Afande, usinishike!

Me nnashangaa siasa na dini ni vitu viwili tofauti mambo ya waislamu kuandamana imekuwa tena na utawala wa chadema

Chadema imetoka wapi au ccm imetoka wapi kwenye hayo maandamano acheni chuki za kisiasa kuzipeleka kwenye dini walioandamana hawakuandamana ili chama fulani kionekane kiko juu na kama ingekuwa hvy kama chadema ni ya wakiristo basi ccm ndio ya waislamu na ndiyo iliopo madarakani hvy unaandama kukidharirisha chama chako? Huo ni upuuzi kile kitendo cha jamaa kukataa kushikwa nahic alikuwa anamuiga mtikila alivyomwambia yule askari " kwanza ww hapo huwezi kunikamata"

And jana waliofanya kazi sio JWTZ walikuwa ni askari kanzu,FFU wakiongozwa na Mgambo wa jiji
Acheni unafiki na chuki za kisiasa kwenye kila kitu kama hukipendi chama acha kukipigia kura sababu siku ya kupiga kura kila mtu atadondosha kikaratasi kivyake HUO NI UNAFIKI

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tatizo la double standard,kwenye chadema wanajifanya wagumu,kwa hawa jamaa wanalainika baada ya kupigwa mkwara,cjui wanaogopa albadir?washughulikie wahalifu bila upendeleo labda itawaweka huru...

ALBADIR ni magumashi tu mkuu,kama ni kitu cha ukweli mbona hawajamsomea yule dogo aliyekojolea kitabu chao
 
Tatizo alijua akienda Ikulu Mh. atamsikiliza kiurahisi akimtajia neno ALLAH

Kumbe wapiiiiiiiiii........ HUYU NI RAIS WA WATANZANIA SIO RAIS WA WAISLAM lazima walitambue hilo

La sivyo watachezea vichapo kila siku na kuziacha familia zao zikifa njaa.

BIG UP JESHI LA WANANCHI, MBONA WALINYWEA FASTA
 
Hujui uzungumzalo. Prof za watu waachie wenyewe. Kazi ya polisi na jeshi ni tofauti kabisa, na hii ni kutokana na mafunzo wayapatayo.

Sina muda wa kukuelimisha, ila hii inaonyesha jinsi CHADEMA wakiingia madarakani watavyofuta kazi ya polisi na badala yake kuweka jeshi. Poleni sana.

CHADEMA imekujaje sasa katika hili?

Majungu, uzushi na kutumia 'siting organs' kufikiri ndio kunakomfanya mtu kukosa point kwenye maongezi yake.
 
yaani lawama zote mnamtupia jk,wakati wala hausiki na haya mambo.huu ni wakati umefika waislamu kuamka na kujua jinsi wanavyo kandanizwa na mfumo kristo na bakwata.ni kipindi cha mapambazuko,kama cdm wamavyoita m4c,jk yeye ametoa uhuru na hana habari na yale yote mnayomsimanga na mabaya mnayo mpa kuanzia majina na kauli zenu mnazozitoa kwake na familia yake lakini yeye amejikalia kimya anawaangalia nadhani huo ndio mnaouona udhaifu wake au mnataka aanze kuwashughulikia nyie kwa defarmation?.kama nawaona jana mmejipanga kwenye tv na familia zenu mnaangalia wamaume.polisi walikuwa kama jeshi lakini mwishowe watu waliwazoea hata hao wanajeshi watajiingiza kwenye haya mambo mwishowe watapewa kahawa na kashata na watu watawachezea sharubu zao.


Ingieni tena barabani leo muone kilichomyoa kanga manyoya...MNABIP EH!!!!
 
Hujui uzungumzalo. Prof za watu waachie wenyewe. Kazi ya polisi na jeshi ni tofauti kabisa, na hii ni kutokana na mafunzo wayapatayo.

Sina muda wa kukuelimisha, ila hii inaonyesha jinsi CHADEMA wakiingia madarakani watavyofuta kazi ya polisi na badala yake kuweka jeshi. Poleni sana.

Nawashauri CDM mapema waanze kumfikiria Zawadi Ngoda awe IGP maana anaweza.
 
kile kidume kina imani ya juu kabisa juu ya m/mungu, maneno aliyoongea yalinitoa machozi nami namuomba ALLAH anizidishie iman, nisimuogope yeyote ila yeye ALLAH.

toa upuuzi wako hapa angekua na imani angechoma makanisa?
 
kile kidume kina imani ya juu kabisa juu ya m/mungu, maneno aliyoongea yalinitoa machozi nami namuomba ALLAH anizidishie iman, nisimuogope yeyote ila yeye ALLAH.
wee kweli! Yaani hata hukuona yule mtu alikuwa dkk2 mbele? Ndio nyie mnaosema huwezi kwenda sardaus bila ngeu!
 
Kwa hii Team watafanya watakalo tu hadi hapo……..

Rais wa Tanzania Jakaya Khalfan Kikwete
Makamu wa Rais-Ghalib Bilal
Jaji mkuu wa Tanzania-Mohamed Chande Othman
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania-Hussein Kattanga
IGP Tanzania –Said Mwema
Kanda Maalum (polisi) Dar Suleiman Kova

List inaendelea
 
Tatizo alijua akienda Ikulu Mh. atamsikiliza kiurahisi akimtajia neno ALLAH

Kumbe wapiiiiiiiiii........ HUYU NI RAIS WA WATANZANIA SIO RAIS WA WAISLAM lazima walitambue hilo

La sivyo watachezea vichapo kila siku na kuziacha familia zao zikifa njaa.

BIG UP JESHI LA WANANCHI, MBONA WALINYWEA FASTA

LAZIMA UFIKIRI KWANINI WAISLAMU WAKAWA PROVOKED KULE ZANZIBAR NA HUKU DAR ??? NA KWA NINI JESHI LIKAINGIA MITAANI , HAPA NAYAKUMBUKA YALE MANENO ALIYOSEMA KIONGOZI MMOJA WA UPINZANI BAADA YA KUSHINDWA UCHAGUZI 2010 AKIASHIRIA KUTOWEKA KWA AMANI NCHINI NA NAFIKIRI HUU NDIO MKAKATI WA CHAMA CHAO , UNGANISHA NA MAUWAJI YA MKUU WA POLISI KULE MWANZA

HAWA WATU NI WA HATARI SANA jk HEKO KWA KULIINGIZA JESHI HALAKA SANA KUZUIA KUJIINGIZA HAWA WATU KWA MGONGO WA ETI FUJO ZA WAISILAMU, JANJA YAO UMEISITUKIA , WELL DONE
 
Kufuatia vurugu za waislamu jana maeneo ya Ikulu, mfuasi mmoja nilimsikia akimwamuru afande usinishike afande usinishike. Na inavyoonekana afande huyo alionyesha kutii amri hiyo, mpaka askari aliyekuwepo nyuma alikuja kumshika na kumpiga.

Hii inaonyesha polisi wetu wamekuwa waoga kukabiliana na waislamu. Maana walivyokuja JWTZ kusaidia na waandamaji waliogopa tofauti na polisi walivyokuwa wameonyesha kushindwa kukabiliana na tatizo hili.
uchochezi huo na uchonganishi.
 
Back
Top Bottom