Usingizi waweza kukuumbua...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...Mzee wa baraza alikuwa anasinzia wakati kesi ya shambulizi la aibu ikiendelea.
Hakimu: Mlalamikaji hebu ieleze mahakama alichokuambia mshitakiwa.

Mlalamikaji: mheshimiwa maneno aliyoniambia hayasemeki.

Hakimu: basi yaandike.

Mlalamikaji akaandika: "Twende tukatombane". Akampa hakimu ambae baada ya kukisoma kikaratasi akawapa wazee wa baraza nao wakisome. Mzee wa baraza wa kwanza alipomaliza kukisoma (mwanamke) ikawa zamu ya yule anaeuchapa usingizi. Mama mzee wa baraza akamshtua toka usingizini na kumpa kile kikaratasi, jamaa kukisoma akasema "Eh! Sasa hivi?"
 
kudadadeki walahi tena jamaa sijui alikuwa na usongo au alikuwa anaota anatongoza ndo kakubaliwa then anaamka anakutana na msg kama hyo hapo ni full nomaaaaaaaa
 
...Mzee wa baraza alikuwa anasinzia wakati kesi ya shambulizi la aibu ikiendelea.
Hakimu: Mlalamikaji hebu ieleze mahakama alichokuambia mshitakiwa.

Mlalamikaji: mheshimiwa maneno aliyoniambia hayasemeki.

Hakimu: basi yaandike.

Mlalamikaji akaandika: "Twende tukatombane". Akampa hakimu ambae baada ya kukisoma kikaratasi akawapa wazee wa baraza nao wakisome. Mzee wa baraza wa kwanza alipomaliza kukisoma (mwanamke) ikawa zamu ya yule anaeuchapa usingizi. Mama mzee wa baraza akamshtua toka usingizini na kumpa kile kikaratasi, jamaa kukisoma akasema "Eh! Sasa hivi?"

mkuu umetisha kaka
 
ha ha ha ha ha
 
Aisee nacheka sana kila nikifikiria, hii ni kali mkuu, mtu anaweza kuangua kicheko msibani.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom