Usimsamehe mtu yeyote ambaye mwanzo akitaka kukuua, au kukutengenezea Mazingira ya wewe kutofanikiwa

Usimsamehe mtu yeyote ambaye mwanzo akitaka kukuua, au kukutengenezea Mazingira ya wewe kutofanikiwa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Usije ukathubutu Kusamehe MTU aliyetaka kukuua, au alijaribu kutengeneza mazigira ya wewe usifanikiwe .

Jambo la kujua ni kuwa watu huwa hawabidiliki Kama ni mbaya ni mbaya na Kama ni mzuri mzuri .

Kwahiyo haiwezekani mtu yule yule aliyekukataa kipindi Fulani Leo aje akukubali kisa tu Una cheo, fedha au nafasi Fulani .

Hata Kama ni ndugu yako wa damu usimsamehe.

It’s crazy when people think that just because you have some money or success and people start to like you that you transcend race. People try this shit all the time .

Ukikataa hili swala ujue utajifunza kwa njia ngumu Sana.
 
Ndio funguka vizuri Yusuphu kwa mke wa Potifa nini kimekutokea mpaka ukawasamehe ndugu zako wakina Benjamin maana walikuuza utumwani Misri baada ya kuamua kughairisha kukuangamiza kisimani?
 
they’re trying to separate you from the pack

Now they make you feel like you’re the good one. It’s the old house
 
Kwa hio hapo unataka kusamaje adui unaemmudu usimuachie Mungu au sio?
 
Ndio funguka vizuri Yusuphu kwa mke wa Potifa nini kimekutokea mpaka ukawasamehe ndugu zako wakina Benjamin maana walikuuza utumwani Misri baada ya kuamua kughairisha kukuangamiza kisimani?

Kwangu Mimi if you need my forgiveness ujue you waste ur time

I'm half man half mammal
 
Kingereza mpaka nikilewa naongea kingereza.. sawa mkuu wanasemaje kwamba ukiwa jasusi bobevu kwenye uga wa kijasusi na majasusi, punguza imani na chunga sana imani yako usikiamini hata kivuli chako.. trust can get you killed

Naomba uzi ufungwe.
Ahaaaa
 
samehe, ndio
sahau, hapana
Chuki humchoma anayehifadhi
Na msamaha hauna kigezo kuna watu wanakuomba msamaha wenye yakutimiza "kama umenisamehe fanya hivi au vile" iyo hapana msamaha ukishatoka moyoni inatosha

tusamehe lakini tusisahau
 
umemaliza kila kitu.
 
Kuna vitu vingi vya kujifunga na kujifunza.. mimi napenda kujifunza kupitia maandiko sio kujifunga napenda kujifunza elewa hapo.. maana kuna watu wanajifunza na kuna watu wanajifunga.. unajua ukifuatilia maandiko na simulizi za kibiblia hata Nabii Issa Wakristu wanaita na kwa Waislamu wanamuita Bwana Yesu yeye alipoteswa na kupelekeshwa kwa shuruba na kupigwa marungu na kutemewa mate kisha kuchapwa mijeredi akiwa uchi wa mnyama kisha kwenda kutundikwa msalabani na kuchomwa mkuki ubavuni ili kuhakikisha km kweli amekufa mwishoni alikabidhi msamaha wake kwa Baba yake kwamba Baba hawa najua utakachowafanya ila Baba naomba uwasamehe kwa maana hawajui walitendalo... ila yeye km yeye hakuwahi kusema Baba nimewasamehe watu hawa kwa walichonifanyia kwa maana yake Bwana Yesu hajawahi kusamehe wale waliomtia shuruba siku ile ya kumuua kwa mateso mazito km ipo naomba kusahihishwa maana sio mchambuzi mzuri ila ni msomaji mzuri.. wewe unasamehe km nani na huku unataka kuishi je unataka kufa?

Mleta mada alichosema ni kwamba usimchekee aliekukosakosa kukuua kwamba umemsamehe ni muda mchache sana ukikaa vibaya atakuja kukumaliza na atakuua kweli this time hatofanya makosaa ya kukuacha ukiwa hai, uaminifu wako ndipo kifo chako kilipo.. Je! Wewe unaamini nini?
 
Mammal siyo mama mbulukenge wewe, mkiambiwa someni muelimike mnaona mnatukanwa
Popo (bat) ni bird, mammal or animal? Tuanzie hapo ujue kutofautisha kati ya X na kuzidisha × au Msalaba ✝️ na Jumlisha +
 
Usije ukathubutu Kusamehe MTU aliyetaka kukuua, au alijaribu kutengeneza mazigira ya wewe usifanikiwe .

Jambo la kujua ni kuwa watu huwa hawabidiliki Kama ni mbaya ni mbaya na Kama ni mzuri mzuri .

Kwahiyo haiwezekani mtu yule yule aliyekukataa kipindi Fulani Leo aje akukubali kisa tu Una cheo, fedha au nafasi Fulani .

Hata Kama ni ndugu yako wa damu usimsamehe.

It’s crazy when people think that just because you have some money or success and people start to like you that you transcend race. People try this shit all the time .

Ukikataa hili swala ujue utajifunza kwa njia ngumu Sana.
Vipi mtu alieua ndugu zako unaweza kumsamehe?
 
Back
Top Bottom