Usimdharau mwanamke hata kama aweje

Usimdharau mwanamke hata kama aweje

jitahidi siku moja ukutano na power of love, wachache sana tumeexperience
 
..afisa mmoja kafika bei...HUYU afisa utakuta Ofisini anafokea wafanyakazi na kuwatishia kuwafukuza kazi...Da akifika kwa Beki 3...anaNywea ka kuku alonyeshea na Mvuaaa....

...mwanamke anaweza kumshawishi mwanaume kufanya lolote katika hali yeyote lakini MWANAUME hawezi..
 
Ni hivi sasa, kuna kabinti mtaani kamekuja kama dada wa kazi, afisa mmoja kafika bei, jamani kanampelekesha, kanaweza muita hata yupo kazini atarudi, ninunulie hiki atanunua tu, utadhani kamemuwekea dawa.

Ni tabia mbaya sana kwa afisa kudate na binti wa kazi wa jirani yake. Hiyo ni dalili tosha kwamba mtu wa namna hiyo atawarudi hata watoto wadogo wa kike wa jirani yake wakati anapaswa kuwa sehemu ya walezi. Inakuwaje mtu mzima unaacha ofisi wazi unakimbilia kwa housegirl wa watu hata asipate muda wa kuwaandalia msosi wanafamilia aliyofikia? I'm confused!!!!
 
Kuna huu utamaduni wa kudharau wadada wa kazi, hadi wametungiwa majina eti beki 3, huwa nashangaa maana kazi wanazofanya hata dada zetu na mama zetu wanazifanya.

Ni hivi sasa, kuna kabinti mtaani kamekuja kama dada wa kazi, afisa mmoja kafika bei, jamani kanampelekesha, kanaweza muita hata yupo kazini atarudi, ninunulie hiki atanunua tu, utadhani kamemuwekea dawa.

Kakimpigia simu asipokee atasema alikuwa wapi au kamtumie msg achelewe kujibu mbona atasema. Hakika nimeamini usimdharau mwanamke hata kama awe vipi, wanawake ni next level.

dah vitu vingine bana,kama vimetupiwamo asali
 
Cha msingi ni kujifunza kwamba usimdharau mtu YEYOTE
 
Ukinasa sehemu stahiki wala hutapelekeshwa kipuuzi kama huyo jamaa! Sehemu stahiki hawezi kukuambia utoke kazini urudi nyumbani wakati ni mda wa kazi, mtakula nini? Sehemu stahiki hawezi kukulazimisha ununue kitu hata ukiwa huna hela!Mkuu JEKI wewe mwenyewe jamaa unamshangaa ndiyo maana ukatuletea uzi hapa ili tujumuike na wewe kumshangaa jamaa!
siyo hujapenda, bali hujanasa pahala stahiki tu.
 
Kuna huu utamaduni wa kudharau wadada wa kazi, hadi wametungiwa majina eti beki 3, huwa nashangaa maana kazi wanazofanya hata dada zetu na mama zetu wanazifanya.

Ni hivi sasa, kuna kabinti mtaani kamekuja kama dada wa kazi, afisa mmoja kafika bei, jamani kanampelekesha, kanaweza muita hata yupo kazini atarudi, ninunulie hiki atanunua tu, utadhani kamemuwekea dawa.

Kakimpigia simu asipokee atasema alikuwa wapi au kamtumie msg achelewe kujibu mbona atasema. Hakika nimeamini usimdharau mwanamke hata kama awe vipi, wanawake ni next level.
Umesahau pia wanaitwa JEKI
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom