Usimdharau mwanamke hata kama aweje

Usimdharau mwanamke hata kama aweje

Kuna huu utamaduni wa kudharau wadada wa kazi, hadi wametungiwa majina eti beki 3, huwa nashangaa maana kazi wanazofanya hata dada zetu na mama zetu wanazifanya.

Ni hivi sasa, kuna kabinti mtaani kamekuja kama dada wa kazi, afisa mmoja kafika bei, jamani kanampelekesha, kanaweza muita hata yupo kazini atarudi, ninunulie hiki atanunua tu, utadhani kamemuwekea dawa.

Kakimpigia simu asipokee atasema alikuwa wapi au kamtumie msg achelewe kujibu mbona atasema. Hakika nimeamini usimdharau mwanamke hata kama awe vipi, wanawake ni next level.

Jina lingine ni 'Dereva wa masufuria'

Wanayazungusha sana wakati wakisugua na still waya!
 
Hadhi ya kazi zao,ndio zinanazo wadhalilisha.Lakin ni wasichana wazuri sana hasa kwa kuwa wao wako "natural" tofauti na hawa wa maofisin.Na ktk mechi ni wazuri pia.

zamani tulikuwa tunadharauliwa kwa sababu tulikuwa tunatoka kwenye familia za kimasikini sana, huko vijijini, far away from civilization.

leo hii huwezi kudharau housegirl. ni msafi, anavutia kama wanawake wengine wenye hela zao
 
Last edited by a moderator:
atakuwa anamuhudumia vizuri zaidi hata ya mkewe,akaona isiwe tabu bora amalize kabisa
 
Kuna huu utamaduni wa kudharau wadada wa kazi, hadi wametungiwa majina eti beki 3, huwa nashangaa maana kazi wanazofanya hata dada zetu na mama zetu wanazifanya.

Ni hivi sasa, kuna kabinti mtaani kamekuja kama dada wa kazi, afisa mmoja kafika bei, jamani kanampelekesha, kanaweza muita hata yupo kazini atarudi, ninunulie hiki atanunua tu, utadhani kamemuwekea dawa.

Kakimpigia simu asipokee atasema alikuwa wapi au kamtumie msg achelewe kujibu mbona atasema. Hakika nimeamini usimdharau mwanamke hata kama awe vipi, wanawake ni next level.

Mkuu sehemu kubwa kwa sasa Mwanaume Umpenda mwanamke hata asipokua na kitu, ILA kwa mwanamke umpenda mwanaume mwenye Kitu, Unaweza kujiuliza mtu anaenda kuoa kijijini binti asiye na kitu kabisa na kumleta mjini kisa kampenda, lakini hamna mwananke ataetaka aende kijijini aolewe na mtu asiye nacho anayeanza maisha.
 
Mbona Evra halalamiki kuitwa beki 3?

mkuu Evra anaitwa beki 3 kwa muktadha tofauti kama watoto wa mjini ukiitwa mshenzi eti wewe ndo unasifiwa.
 
Mnalishwa mavi hamjui halafu mnasifia eti utamu. Kuna utamu hapo. Sharti la hizo dawa lazima ufanyiwe upuuzi ili kuthibitisha kama dawa imefanya kazi.
 
hizi stor wew umezijuaje

duniani hakuna siri, ukitaka kujua hebu jitangulize front utashangaa watu wanaibuka na data zako hadi ushangae, hadi ulichofanya ukiwa mwenyewe watu wanajua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom