Usimdharau mwanamke hata kama aweje

Usimdharau mwanamke hata kama aweje

Mnalishwa mavi hamjui halafu mnasifia eti utamu. Kuna utamu hapo. Sharti la hizo dawa lazima ufanyiwe upuuzi ili kuthibitisha kama dawa imefanya kazi.

ufanyiwe upuuzi gani mkuu?
 
duniani hakuna siri, ukitaka kujua hebu jitangulize front utashangaa watu wanaibuka na data zako hadi ushangae, hadi ulichofanya ukiwa mwenyewe watu wanajua.

duuu kazi ipo kama wapelelezi
 
Mkuu sehemu kubwa kwa sasa Mwanaume Umpenda mwanamke hata asipokua na kitu, ILA kwa mwanamke umpenda mwanaume mwenye Kitu, Unaweza kujiuliza mtu anaenda kuoa kijijini binti asiye na kitu kabisa na kumleta mjini kisa kampenda, lakini hamna mwananke ataetaka aende kijijini aolewe na mtu asiye nacho anayeanza maisha.

Hahahaa haaaa
Ngum kumesaaa
 
mwanamke hawezi penda ata kwenye bible imeandikwa waume wapendeni wake zenu wake waheshimuni waume zenu.
so kupenda kupo kwa mwanaume na hapo ndio utapata upendo halisi.

wanawake upendo wao magumashi.
 
Mkuu Biblia iliposema waume wapendezeni wake zenu, haikumaanisha kua mwanamke hawezi kupenda, soma vizuri ilo fungu lote ili ujue lililenga nini, Elewa kua Kupenda kunatokana na feelings na mambo mengine Sasa Unaposema mwanamke hawezi kupenda utakua unanilazimisha kuamini kua wanawake hawana feelings. Je vipi hao mabinti wanaojiua kisa wamependa utasema nn kwao??
All in all vijana wasililie kupendwa waache itokee wapendwe
 
hao wanajiua ni ujinga wao
 
So kwa point yko wanawake hawanaga feelings???Unaweza ku define "LOVE", ukiweza ndipo utajua kupenda hakuna jinsia
.

feelings wanazo bwana wewe lakini kuwa na feelings dont mean u inlove bwana...i will tell u why women cant love...many a time women can diferentiate btwin love and infatuation. i think thats a clear indication kuwa hawawezi love
 
Love is a strong feeling of affection, any human being ameumbwa na hii kitu ivyo nao pia wanaweza fall in Love.
Kama ujajua mkuu wanawake wanasehemu kubwa katika kuangukia kupenda kuliko wanaume, sisi utamani zaidi kuliko kupenda
 
mhm is that so?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom