KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,596
- 4,634
Kuna Uzi umepandishwa na mdau wa kuitwa Sexless wenye kichwa kinachosomeka Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa. Kinachonisikitisha juu ya mdau huyu na Uzi wake ni kuwalaumu watanzania na kwa kupima uzito wa lawama zake anawalalamikia watanzania wote kwa unafiki.
Kwanza, Mimi kama mtanzania ambaye nmejumuishwa kwenye kundi la wanafiki kwa kuwatelekeza Dkt Slaa na wakili mwabukusi wakati sikuwahi kuafiki walichokipigania tangu mwanzo, nimesikitishwa sana.
Pili, asilimia Zaidi ya 85 ya watanzania wanakubaliana na uwekezaji na hata uamuzi wa mahakama kuu kanda ya Mbeya umethibisha hilo. Hao watanzania wengi waliopiganiwa na Dkt.Slaa ni wakina nani kama Zaidi ya 85 iliwakataa?
Tatu, kusema kauli hiyo mleta Uzi ni kutaka kututhibitishia Kila mtanzania ni CHADEMA maana kimantiki hao wote ni wanaCHADEMA.
Nne, mleta Uzi kutaka watanzania wawapiganie hao watu ni kusema ni kweli watanzania wamekubali wameuzwa wakati ukweli hauko hivyo.
Kwa hoja hizo nne, nachukua nafasi hii kumwombea msamaha ndugu yetu sexless maana hajui akisemacho. Tumsamehe tu maana tumefahamu uhalisia wa mjadala huu, amani ni msingi wa maendeleo.