Ni
Ni kweliHii ni aina mojawapo ya ushirikina. Hakuna zaidi.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Ni kweliHii ni aina mojawapo ya ushirikina. Hakuna zaidi.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Ile Ya lowasa sio mchezo khaar!!!Kama ya lowassa?
Nimeona wengi wanayavaa lakini kifo kikiwafika huwa wanavuliwa tu
baada ya kufa Si alienda mbinguni,jamani mimi naomba mnisaidie. Yesu baada ya kufa alienda wapi? yaani kati ya kifo na ufufuko alikuwa wapi? nachanganyikiwa kidogo
Wamenaswa na ndoanoChezea wanandoa weye
Mwache alale kwanza anachoka Sana jamani loohMshana jr hilo ringi hapo.
Hata hizo cheni pia ni mule mule na baadhi ya masonara ni maagent wa kuzimu, kimsingi vidani Pete vikuku na urembo kama huo huwa vina connection na nguvu za gizaMkuu mshana jr labda nitakuwa nje ya topic kidogo...Naomba uniambie kuna uhusiano wowote wa chain na imani hizo za kishirikina...Maana nimepotezaga chain zangu za silver mara mbili kwenye mazingira tata tu..Jamaa mmoja akaniambia hata chain zina mahusiano na mambo ya majini ndo maana zinapotea kiaina..Zangu huwa nanunua kwa sonara kabisa..
asee bc hatari,,kwa sie wapenda kuvaa madin cjui itakuaje apaHata hizo cheni pia ni mule mule na baadhi ya masonara ni maagent wa kuzimu, kimsingi vidani Pete vikuku na urembo kama huo huwa vina connection na nguvu za giza
Kama ya lowassa?
Nimeona wengi wanayavaa lakini kifo kikiwafika huwa wanavuliwa tu
yangu pete imenitoka,pete imeniponyoka yangu peete imneninitoka,late juma bhalo.***
binafsi siziiti za kishetani Bali nimetaja watu ambao huwa nawaona nazo.
Swadata mkuu!Mkuu Mshana jr, ukimaliza na hii tuletee kuhusu maringi ya kwenye kiwiko cha mkono.
mkuu zile bangili za shaba wanazouza wamasai nazo vipi niliskia eti zinakinga mtu na mikosi?
Unajua hivi vitu si vyote ni vibaya ni mpaka kuwe na agenda , mpaka vitiwe rohoSwadata mkuu!
Maana mimi kwa imani yangu nawaona wenye kuvaa maringi ni wangu tu tena sana.