Usilolijua kuhusu Pete za bahati

Usilolijua kuhusu Pete za bahati

Pote umeandika vuzuri hii paragraph ya pili kutoka mwisho ndo umetufuruga...

Mkuu vipi kuhusu mahusiano ya hivi vito vya thaman na hayo madude yenu.
 
Unajua hivi vitu si vyote ni vibaya ni mpaka kuwe na agenda , mpaka vitiwe roho
Kwenye uumbaji Mungu aliumba mfano wa mtu kisha akampulizia pumzi ya uhai ndio akawa binadamu. ..ndio Vivyo hivyo kwenye mambo ya giza....ukienda kwa mganga akakutuma kuku kinachohitajika pale sio nyama yake bali damu ndio maana baada ya kuchukua damu ile nyama yaweza kuliwa na mtu yeyote haina madhara
Zile za wamasai si zote zina nguvu yoyote nyingine ni za kawaida kabisa. Lakini pia hata haya macheni mapete na vidani vingine kama vikuku na vishaufu vingi ni cheap jewellery visivyo na chochote lakini kuna watu hupigwa
naamini maneno yako nilikuwa na rafiki yangu sasa hivi ni marehemu alikuwa amenunua bangili kwa mmasai alikuwa anafanya biashara vizuri tu aliniambia amenunua ile bangili kwa ajili ya kumkinga na mikosi coz alikuwa kwenye mafanikio halafu bado katika biashara anakutAna na mikosi mingi ila mwisho wa siku last year mwezi wa tano alikufa kwa ajali mbaya sana alikuwa kwenye piki piki akagongwa na gari
 
Haya matopic ya kutisha
Mimi nilivaa wakati nikifanya kazi mochwari miaka hiyooo siku hizi nina Pete moja tu ya ndoa iliyobarikiwa kanisani, BTW mganga au mchawi kuvaa Pete ni maana ya kuwa daraja fulani hawavai kama urembo
 
Haya matopic ya kutisha...

Huku mitaana kuna hekaya nyingi mno kuhusiana uwepo wa maajajabu katika pilikapilika za kutafuta hii mali
Uchawi wa kweli siku hizi umebakia sehemu ndogo sana...kilichobaki ni utapeli figisu figisu na mazingaombwe
 
Mimi nilivaa wakati nikifanya kazi mochwari miaka hiyooo siku hizi nina Pete moja tu ya ndoa iliyobarikiwa kanisani, BTW mganga au mchawi kuvaa Pete ni maana ya kuwa daraja fulani hawavai kama urembo
ACHA HIZO BHAAAANA LINI ULIFANYA KAZI MOCHWARI?.WEWE SI MSAKA DILI LA MSAKA NYOKA KILA KUKICHA?
 
Noted...!sikutaka tu tuwape nafasi wachafuzi wa post
Watu wakisema ukweli unawaita WACHAFUZI,kumbuka UCHAWI NA USHIRIKINA ni maangamizi kwa jamii,sasa wewe unaufagilia ili watu waingie katika imani POTOFU halafu waende kwa waganga na kupewa masharti kwamba MIKONO YA MTOTO ALBINO INATAKIWA,kwa njia moja au ingine wewe ni CATALYST ya MAUAJI ya ALBINO WEWEEEEEEEEEEEEEE.
 
Sasa unatuaminisha kuwa waganga wengi ni waongo hii na maana wewe ni MANYAUNYAU WA KWELI,AMA HIZI BIASHARA FEKI ZINAZIDI KUONGEZEKA.

ACHA HIZO BHAAAANA LINI ULIFANYA KAZI MOCHWARI?.WEWE SI MSAKA DILI LA MSAKA NYOKA KILA KUKICHA?
KARANJA 007 mwanzoni nilikuchukulia Kama mshkaji Fulani hivi educated nikakuita pm tumjadili Jamaa uliyemponda Sana kuja pm ukajifanya wewe ni mtu wa kitengo maalum na lazima umlaze jamaa lockup
Kwenye Ile post uliwasingizia member wengi mambo ya kitoto Kabisa na kuahidi kuweka pm zao
NILIKUDHARAU TANGU PALE na nilichogundua una ID nyingi na una ugomvi binafsi na mshkaji ila hutaki kujitokeza Kwa ID yako halisi
Usiwe mpumbavu na bwege kiasi hiki una bifu na mdau malizana Naye kiume Tena live, hizi zako ni za kipuuzi na za kike
 
Kizibo nilipigwa BAN sasa nimerudi,asante sana kwa MADONGO au MAVUMBI.Umetumia nguvu nyingi saana kujaribu kunifanya nichukie lakini bado haijafikia limit hiyo.
 
Kwanini tusiwe na mijadala yenye hoja makini? Kwanini tugeuze jukwaa kijiwe cha mipasho? Tusifanye mambo ya akina mwajuma ndalandefu Wala tusijisingizie vyeo tusivyostahili.... Nimeongea kile nilichokiona kwako sasa tafsiri utakavyoona inafaa lakini tujufunze Kuwa wanaume kamili
 
Unajua hivi vitu si vyote ni vibaya ni mpaka kuwe na agenda , mpaka vitiwe roho
Kwenye uumbaji Mungu aliumba mfano wa mtu kisha akampulizia pumzi ya uhai ndio akawa binadamu. ..ndio Vivyo hivyo kwenye mambo ya giza....ukienda kwa mganga akakutuma kuku kinachohitajika pale sio nyama yake bali damu ndio maana baada ya kuchukua damu ile nyama yaweza kuliwa na mtu yeyote haina madhara
Zile za wamasai si zote zina nguvu yoyote nyingine ni za kawaida kabisa. Lakini pia hata haya macheni mapete na vidani vingine kama vikuku na vishaufu vingi ni cheap jewellery visivyo na chochote lakini kuna watu hupigwa

Vilevile kwa muono wangu , ukichunguza sana hao wavaaji wa hiyo mipete na mabangili ya kishirikina ,kwa asilimia kubwa huwa wanavaa mkono wa kulia.
Chunguzeni sana.
 
Kuna wanaovaa kushoto pia nitalitafiti hili japo bi kweli wengi wao huvaa kulia
 
Daaah kwa mara ya kwanza mshana jr umenikwaza, yani hii post umenipiga juu juu tu sijakuelewa mana hata watu wakiuliza maswali unajibu kwa kudonoa donoa sana, dah
 
Back
Top Bottom