Usilolijua kuhusu Pete za bahati

Usilolijua kuhusu Pete za bahati

Daaah kwa mara ya kwanza mshana jr umenikwaza, yani hii post umenipiga juu juu tu sijakuelewa mana hata watu wakiuliza maswali unajibu kwa kudonoa donoa sana, dah
Mmh Mlatinoh king niambie ni wapi pamekutatiza nitajitahidi kutoa ufafanuzi kwa kadiri ya ufahamu wangu
 
Ikifikia uamuzi wa kwenda huko hakikisha unaenda kwa mtu sahihi mwenye tiba sahihi kwasababu haya mambo pia yapo lakini ogopa kubebeshwa maagano na mihuri ya kuzimu kwenye mapete ya bahati ili usije kuwa mtumwa maisha yako yote badala ya kumwamini Mungu unayaamini mapete.

Kuna mengi kwenye hizi Pete ivae ukiwa unajua kwa hakika umevaa kitu gani.

Hapo ndipo palipo na mtihani! Je utajua kuwa umevaa mali sahihi kwa shida husika?
Tupia elimun kidogo mkuu pamoja na kuwa wengine wataelezea kuwa unapiga matangazo?
Ila kuna issue yangu mmoja nilikuuliza ukapotezea-(kuhusu kujikuta umepigwa chale mwilini uamkapo asubuhi!
 
Ishu ya kupigwa chale ni michezo ya wanga na washirikina, niwie radhi inawezekana nilipitiwa nikasahau kukujibu
Kuhusu hivi vidani epuka kabisa vyenye mapicha na michoro ya ajabu ajabu
 
Ishu ya kupigwa chale ni michezo ya wanga na washirikina, niwie radhi inawezekana nilipitiwa nikasahau kukujibu
Kuhusu hivi vidani epuka kabisa vyenye mapicha na michoro ya ajabu ajabu

Asante Mkuu! Malengo ya hizi chale ni nini? na Je Madhara yake yakoje?
 
Asante mkuu ! Hawa jamaa wabaya kweli wamenipiga chale za maana shingoni!. Anyway bado na peta mwezi kama wa Pili hivi mpaka sasa!
Hao walikuja tu kuchukua malighafi ya kwenda kufanyia shughuli zao
 
Kuna watu wanaishi na maambukizi lakini hawaugui

Sent from my SM-N910X using JamiiForums mobile app
Mshana Jr.

Ni kweli kabisa usemacho. Na kuna watu wanaishi na roho za kipepo tokea wakiwa na mwezi 1.

Kwa hiyo kuishi na hayo mapete na usione madhara yake kwa macho kwa sasa, haina maana kwamba hazina madhara.
 
Mshana umejikanyaga kidogo.Hata hivyo bandiko lako lina ukweli mwingi.UKWELI NI KWAMBA MUNGU NDIYE ANAYE-DETERMINE YOUR FUTURE HUHITAJI PETE YA BAHATI.KUTEGEMEA PETE YA BAHATI NI KUMTEGEMEA SHETANI,THAT IS THE BOTTOM LINE.
View attachment 333037

Si kitu kigeni kabisa miongoni mwetu na hata baadhi yetu tunazo tumezivaa, zinaitwa Pete za bahati.Kiuhalisia si Pete za bahati ni Pete za kishetani ni Pete za maagano ni za kuzimu,ukivaa ile ni sawa na kupigwa mhuri.

Wengi wanaozivaa haziwasaidii kivile na nyingi hazina nguvu kivile kwakuwa ni za kitapeli zilizo halisi ni very powerful na zinafanya mambo yaliyokusudiwa
Maisha yako Mungu ndie ayajuaye kushindwa kwako kushinda kwako kuna yeye (kwa wale waamini na waaminio )

Maisha yana changamoto nyingi na kuna wakati katika maisha kila kitu huyumba na kupoteza mwelekeo kabisa lakini ukiwa mvumilivu na kusimama na Mungu wako yatapita na utasimama tena.

Kuna kufanyiwa mambo mabaya machafu ya kuharibu future ya mtu mara nyingi ushirikina ukitumika,lakini usitende kinyume na Mungu simama naye usiende kwa waganga wengi ni waongo na matapeli.

Back
Top Bottom