Usilolijua kuhusu Pete za bahati

Usilolijua kuhusu Pete za bahati

Kuna jamaa kazini kwetu namuona anavaa madude kama hayo ni kimbelembele huyo kutaka aonekane lakini mwisho wa siku ndio anaywongoza kwa magundu na mikosi na kuchukiwa na kila mtu sie tulip na yesu tunapeta tu sasa sijui yeye hayo madude yanamsaidiaje
 
Kipindi flan kuna Baba Mmoja alikua na hizi pete,alikua na maajabu sana, mazingira tuliyokua tunaishi Mvua zikinyesha bas hatuwezi kuvuka upande wa pili maana maji hujaa sana ila Huyo mzee alikua akipita akiwa na baiskeli yake,akifika maji yalipo jamaa cjui anapoteaje mnamuona upande wa pili akiendelea na safari.
 
Ulinunua kana urembo? Kuna vingi huwa tunavaa bila kujua maana yake vingine vina athari vingine havina
yah nlinunua km urembo tuu,,navaaga pete, cheni na bracelet vyote vya silva,, ila cku hz nimevieka kabatin tuu
 
Uwiiuuue, mi nataka warudiane Tu, wakalee watoto pamoja, Bwana saidia hawa watu warudiane
Kumbe walikuwa pamoja? Kwakweli waangalie maslah ya watoto kwanza. Kama hawapendani wawe na michepuko wao walee watoto....ushauri wa bwerere
 
View attachment 333037

Si kitu kigeni kabisa miongoni mwetu na hata baadhi yetu tunazo tumezivaa, zinaitwa Pete za bahati.Kiuhalisia si Pete za bahati ni Pete za kishetani ni Pete za maagano ni za kuzimu,ukivaa ile ni sawa na kupigwa mhuri.

Wengi wanaozivaa haziwasaidii kivile na nyingi hazina nguvu kivile kwakuwa ni za kitapeli zilizo halisi ni very powerful na zinafanya mambo yaliyokusudiwa
Maisha yako Mungu ndie ayajuaye kushindwa kwako kushinda kwako kuna yeye (kwa wale waamini na waaminio )

Maisha yana changamoto nyingi na kuna wakati katika maisha kila kitu huyumba na kupoteza mwelekeo kabisa lakini ukiwa mvumilivu na kusimama na Mungu wako yatapita na utasimama tena.

Kuna kufanyiwa mambo mabaya machafu ya kuharibu future ya mtu mara nyingi ushirikina ukitumika,lakini usitende kinyume na Mungu simama naye usiende kwa waganga wengi ni waongo na matapeli.

Ikifikia uamuzi wa kwenda huko hakikisha unaenda kwa mtu sahihi mwenye tiba sahihi kwasababu haya mambo pia yapo lakini ogopa kubebeshwa maagano na mihuri ya kuzimu kwenye mapete ya bahati ili usije kuwa mtumwa maisha yako yote badala ya kumwamini Mungu unayaamini mapete.

Kuna mengi kwenye hizi Pete ivae ukiwa unajua kwa hakika umevaa kitu gani.
Nahitaji kujua hayo mengi kwenye hizi pete, BTW, naona watu wengi wanazo huku mtaani
 
What a post, thank you.
Kuna boya mmoja hivi anayo yani ni shida.
 
Mshana leo kwakweli nimekupenda bure kabisa ,na uwe hivo siku zote waelekeze watu hayo mambo huku ukiwatia na hofu ya MUNGU ,
Ili mtu adetermine mwenyewe ,what is good to follow,
MAana kipindi kile ulikuwa unawapatia hayo mambo moja kwa moja tu ,well done mshana ,nakuelewaga sana mkuu
 
View attachment 333037

Si kitu kigeni kabisa miongoni mwetu na hata baadhi yetu tunazo tumezivaa, zinaitwa Pete za bahati.Kiuhalisia si Pete za bahati ni Pete za kishetani ni Pete za maagano ni za kuzimu,ukivaa ile ni sawa na kupigwa mhuri.

Wengi wanaozivaa haziwasaidii kivile na nyingi hazina nguvu kivile kwakuwa ni za kitapeli zilizo halisi ni very powerful na zinafanya mambo yaliyokusudiwa
Maisha yako Mungu ndie ayajuaye kushindwa kwako kushinda kwako kuna yeye (kwa wale waamini na waaminio )

Maisha yana changamoto nyingi na kuna wakati katika maisha kila kitu huyumba na kupoteza mwelekeo kabisa lakini ukiwa mvumilivu na kusimama na Mungu wako yatapita na utasimama tena.

Kuna kufanyiwa mambo mabaya machafu ya kuharibu future ya mtu mara nyingi ushirikina ukitumika,lakini usitende kinyume na Mungu simama naye usiende kwa waganga wengi ni waongo na matapeli.

Ikifikia uamuzi wa kwenda huko hakikisha unaenda kwa mtu sahihi mwenye tiba sahihi kwasababu haya mambo pia yapo lakini ogopa kubebeshwa maagano na mihuri ya kuzimu kwenye mapete ya bahati ili usije kuwa mtumwa maisha yako yote badala ya kumwamini Mungu unayaamini mapete.

Kuna mengi kwenye hizi Pete ivae ukiwa unajua kwa hakika umevaa kitu gani.
uko sawa mkuu.
ahsante kwa elimu bure
 
Mkuu mshana jr, haya mapete hayana chochote zaidi ya usanii. Hivi pete inakutengenezeaje bahati? Kwanza bahati ni nini? Hiyo unayoiita wewe bahati hakuna mtu wa kukutengenezea bali unaitengeneza mwenyewe. Bahati mnayotafuta ni ipi? Ile bahati mbaya au bahati nzuri.

Tafuta kitabu kilichoandikwa na marehemu Munga Tehenan kiitwacho "jinsi ya kupata bahati pesa na mafanikio". Ndoo utajua ni nini bahati, mikosi, nk.
 
Mashana kuna tatizo lolote utakalopata endapo utanunua hiyo Pete kwa MTU, maana hapa mjin vibaka wako wengi.
 
Sawa tumekupata kiongozi, ila Kuna bidada mmoja namsubiria hapa aje atoe ya moyoni, yule hakosi jambo hapa hakika
jamani mimi naomba mnisaidie. Yesu baada ya kufa alienda wapi? yaani kati ya kifo na ufufuko alikuwa wapi? nachanganyikiwa kidogo
 
Mkuu mshana jr, haya mapete hayana chochote zaidi ya usanii. Hivi pete inakutengenezeaje bahati? Kwanza bahati ni nini? Hiyo unayoiita wewe bahati hakuna mtu wa kukutengenezea bali unaitengeneza mwenyewe. Bahati mnayotafuta ni ipi? Ile bahati mbaya au bahati nzuri.

Tafuta kitabu kilichoandikwa na marehemu Munga Tehenan kiitwacho "jinsi ya kupata bahati pesa na mafanikio". Ndoo utajua ni nini bahati, mikosi, nk.
Munga Tehenan Alazwe mahali pema peponi. Kwa miaka mingi sana nilitunza makala za gazeti lake la jitambue. Jitambue ni miongoni mwa magazeti ambayo Watanzania wengi hawayakuyapenda
 
Back
Top Bottom