Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
Sasa ndugu Mshana, hapa nisichokijua ni nini?
za maaskofu ni za mifupa sijui ya nini?***
hata jk alikuwa nayo!/
masheikh na mapadri maaskofu wote wanazo!
Naona macho yako yana angalia upande mmoja tu,ya kikwete hujawahi kuiona?Kama ya lowassa?
Nimeona wengi wanayavaa lakini kifo kikiwafika huwa wanavuliwa tu
Vipi kuhusu ile ya kikwete?yule mgombea uraisi wa ukawa anayo, kubwa hyo!
Mbona humuongelei mzee wa malofa mkapa na cheni shingoni juu!Au unafikiri ile cheni ni ubishoo?Kama ya lowassa?
Nimeona wengi wanayavaa lakini kifo kikiwafika huwa wanavuliwa tu
Didn't know thatMbona humuongelei mzee wa malofa mkapa na cheni shingoni juu!Au unafikiri ile cheni ni ubishoo?
Mkuu naona furaha yako uone ugomvi ukitokea...wacha nimuite FaizaFoxySawa tumekupata kiongozi, ila Kuna bidada mmoja namsubiria hapa aje atoe ya moyoni, yule hakosi jambo hapa hakika
Nilikua naangalia Expendable nikaona Rambo nae anachukua Luck ring yake.
Hapo nikajua kumbe hiimambo sio tu huku kwetu ni Dunia nzima.
Ila kinachovaliwa pale hata kama ni plastic haina jinsi kilichopo ndani ya ile pete ndio chenye nguvu sio materials zilizotengenezea hiyo pete.