Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Hah wewe si ndio yule kijana unaetoka cive kwenda humanities kuhonga bumu?My College
Siwezi kukusahau umu jf
Hah wewe si ndio yule kijana unaetoka cive kwenda humanities kuhonga bumu?My College
Hahahah ndio mimi mkuu.Last two weeks nilikuwa kule UDOM Carnival kwenye Hip Hop freestyle nikiwa na mtoto wa HumanitiesHah wewe si ndio yule kijana unaetoka cive kwenda humanities kuhonga bumu?
Siwezi kukusahau umu jf
Hahahaha deadbody!! Upo mwaka wa ngapi!! Nnavijana wangu walikua hapo mmoja CE na mwingine CSHahahah ndio mimi mkuu.Last two weeks nilikuwa kule UDOM Carnival kwenye Hip Hop freestyle nikiwa na mtoto wa Humanities
Of course sitaacha kwenda
Hi ndio 999 au 666 og kabisaYaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!
Sio mbaya sawa!!
Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa
![]()
hii ndo ipo uchi kabisa...and through this I can now see the relevance of this thread as ilivyoletwa na mleta uzi...mi nazani ni style tu ambayo haihusiani kbs na kile mleta uzi anavofikiria.Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!
Sio mbaya sawa!!
Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa
![]()
Cive ni kwa msaada wa Microsoft wamewekeza pale, so kama unaamini katika hizi prophesy shit, lazima ukubali mkuuhii ndo ipo uchi kabisa...and through this I can now see the relevance of this thread as ilivyoletwa na mleta uzi...mi nazani ni style tu ambayo haihusiani kbs na kile mleta uzi anavofikiria.
Ila ukweli ni kwamba ukiwa chini unaranda kwenye hayo majengo huwezi gundua kbs hiyo shape ya nam 6.
Bill gates (Microsoft) at workHi ndio 999 au 666 og kabisa
4Hahahaha deadbody!! Upo mwaka wa ngapi!! Nnavijana wangu walikua hapo mmoja CE na mwingine CS
Haha utakua unamfahamu basi
Taja jinaHaha utakua unamfahamu basi
BilashoTaja jina
Huu ndo mfano wa akili za kipumbavu za mtz,Na kwa nini sio 6666....ulimbukeni tu nakukosa vitu vya maana vya kufanya.
Nadhani hizi ndio ilikuwa target yake ila akawa ameshindwa kupata shot yakeYaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!
Sio mbaya sawa!!
Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa
![]()
kwa hiyo?Khabari vipi
Katika chambua chambua zangu za hapa na pale mara nikagundua waliopewa jukumu la kujenga chuo cha kimataifa cha dodoma wachina walijenga yale majengo wa muundo wa kipekee ambao ukiwa chini huwezi kuona mybe utumie camera kutoka juu high oblique utagundua majengo ya block yamejengwa kwamuundo wa nammba 666 sijaelewa ni lengo lilikuwa hivyo au ilitokea tu kwa kivipi ni hayo tu waweza fugua google earth na kusearch kisha ukajionea mwenyewe
Asanteni
View attachment 684125
Hiyo 666 ina maana gani?Khabari vipi