Usilolijua juu ya majengo ya UDOM

Usilolijua juu ya majengo ya UDOM

We jamaa Mimi nimesoma UDOM 2009-2012 acha uongo siyo kila semister na hata kama ingekuwa kweli chuo kilikuwa na wanafunzi zaidi ya 10,000 kutokea vifo ni kawaida kwenye population kubwa.
By the way hakuna 666 hapo imani inafanya uonr hata ambacho hakuna.
You only see what you want to see...
Kwani jamaa kazungumzia mambo ya imani au imani mmezileta wenyewe?
 
Naona mnatumia mhemko ktk mada, hakuna alipozungumzia mambo ya imani, lakini nyie kurupu zenu mkakimblia imani imani ni upuuzi mtupu.

Yeye kauliza tu!
 
Kwani jamaa kazungumzia mambo ya imani au imani mmezileta wenyewe?
666 imetokana na imani au hujui hilo
Na soma comment zake za chini mpaka kuongelea kuhusu vifo vya wanafunzi unless na wewe umeamua kuanzisha ubishi ndani ya ubishi
 
666 imetokana na imani au hujui hilo
Na soma comment zake za chini mpaka kuongelea kuhusu vifo vya wanafunzi unless na wewe umeamua kuanzisha ubishi ndani ya ubishi
Ubishi pasipo na maelezo ya kutosha ndyo unakuwa ubishi zaidi,

Kwan kuzungumzia vifo ndko kuna kuwa na imani ya hzo namba?
 
University graduate kuwa na mawazo ya kwenye vijiwe vya kahawa it's only in Tz.
 
Why isiwe NNNN au yyyy utumwa wa ujinga ni kazi sana kuepukana nao
 
Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!

Sio mbaya sawa!!

Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa

8043439ab7fe6d8ba21845b0cd878ea6.jpg
Hii sio 666 but ni all seen eye (horus), from Egypt pyramids
 
Ila ni nini sasa ??
Ata kwenye chrome browser yako kuna 666 mkuu
Ni mambo mengi sana, full of conspiracy theories, dini za kale hasa hapo Misri, Babylon ya kale na jamii ya freemasonry bila kusahau wageni kutokea sayari za mbali
Kwa ufupi hizi dini zimesaidia kuficha mambo mengi sana kwa wanadamu. Watu kadhaa wanajua hizi mambo, hata ukiweka kiasi hapa utaambiwa unaota, but kuna issues kibao zinaendelea duniani, na Waafrika tumedozi sana
 
to some extent this thread have the truth...nilipokuwa pale na mm ndan ya semister moja tuu wamefariki wanafunzi wanne
 
Khabari vipi
Katika chambua chambua zangu za hapa na pale mara nikagundua waliopewa jukumu la kujenga chuo cha kimataifa cha dodoma wachina walijenga yale majengo wa muundo wa kipekee ambao ukiwa chini huwezi kuona mybe utumie camera kutoka juu high oblique utagundua majengo ya block yamejengwa kwamuundo wa nammba 666 sijaelewa ni lengo lilikuwa hivyo au ilitokea tu kwa kivipi ni hayo tu waweza fugua google earth na kusearch kisha ukajionea mwenyewe
Asanteni
View attachment 684125
Ata kwenye mwili wako tukitaka kulazimisha kutafuta 666 tutaipata tuu
 
Umasikini na njaa vikizidi sana unaweza ukaona uharo ukadhani ni Futari.
 
Back
Top Bottom