Sijui kama ni kafara au ni sadaka au natural death. Mwenyezi Mungu mwenyewe anajuaSo unataka kusema kwamba chuo kilikuwa kinafanya kafara au sijakusoma vzr???
Googlemap to ndugu! siamini hata kuliona swali lako!Mkuu umetumia application ip kulocate hzo place.
Alipewa stori ya CIVE view from above lakini ktk kutafuta akaishia Social, akapata wrong structure kusupport uzi wake.Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!
Sio mbaya sawa!!
Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa
![]()
Mmmhhh thar is conspiracy theorySijui kama ni kafara au ni sadaka au natural death. Mwenyezi Mungu mwenyewe anajua
Ngoja nikusimulie baadhi ya vifo ninavyokumbuka tangu kuanza masomo UDOM mpaka kumaliza.
1) Ulifanyika mgomo mmoja akafariki mwanafunzi katika ile hali yakukimbia alianguka wenzake wakamkanyaga.
2) kuna siku ilinyesha mvua college ya social science Radi ikampiga mwanafunzi akafariki
3) Darasa la BAGE alifariki dada mjamzito mchana alikuwa mzima ilipofika usiku akaanza kuumwa. Huyu alifia hospitali
4) Dada mjamzito tena alianguka bafuni akafariki
5) Alifariki lecturer mmoja(mwanamke)kwa ajali ya gari
6) kaka mmoja aligongwa na treni akafariki.
Unaweza ukaona vifo 6 ndani ya semister 6 yaani miaka 3. Hapo ni college tofauti tofauti
aiseee hii sasa ndio inafikirisha!!Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!
Sio mbaya sawa!!
Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa
![]()
eeeeehhhh "" hapo lazima ulazimike kuanza kufikiria nje ya boxSijui kama ni kafara au ni sadaka au natural death. Mwenyezi Mungu mwenyewe anajua
Ngoja nikusimulie baadhi ya vifo ninavyokumbuka tangu kuanza masomo UDOM mpaka kumaliza.
1) Ulifanyika mgomo mmoja akafariki mwanafunzi katika ile hali yakukimbia alianguka wenzake wakamkanyaga.
2) kuna siku ilinyesha mvua college ya social science Radi ikampiga mwanafunzi akafariki
3) Darasa la BAGE alifariki dada mjamzito mchana alikuwa mzima ilipofika usiku akaanza kuumwa. Huyu alifia hospitali
4) Dada mjamzito tena alianguka bafuni akafariki
5) Alifariki lecturer mmoja(mwanamke)kwa ajali ya gari
6) kaka mmoja aligongwa na treni akafariki.
Unaweza ukaona vifo 6 ndani ya semister 6 yaani miaka 3. Hapo ni college tofauti tofauti
ExactlyAlipewa stori ya CIVE view from above lakini ktk kutafuta akaishia Social, akapata wrong structure kusupport uzi wake.
aiseee hii sasa ndio inafikirisha!!
Jamaa alifanya donated !!?Mkono wa bill gates upo hapo mkuu
Yap kama kawaida, ndio college iliyo jengeka ki mataifa niseme kwa tz nzima hakuna inayoifikia na bado ujenzi unaendelea.Jamaa alifanya donated !!?
kama ndivyo basii hizo triple six zipo mahala pake stahiki hahaaa
Hivyo ni vifo anavyo vijua yeye kalazisha vifike sita ila ni zaidi kuna aliyekufa kwenye swimming pool, kuna aliyefia guest na wapo wengi tu ni zaidi ya vifo nane sema analazimisha apate namba sita sawa na mawazo yake.Mmmhhh thar is conspiracy theory
naam hilo nalifahamu lakini sikuwa najua before kuwa Jamaa alitia ukwasi wake hapo ...aiseeYap kama kawaida, ndio college iliyo jengeka ki mataifa niseme kwa tz nzima hakuna inayoifikia na bado ujenzi unaendelea.
hahaaHivyo ni vifo anavyo vijua yeye kalazisha vifike sita ila ni zaidi kuna aliyekufa kwenye swimming pool, kuna aliyefia guest na wapo wengi tu ni zaidi ya vifo nane sema analazimisha apate namba sita sawa na mawazo yake.
Gates alidhamini ujenzi wa college ya informatics siyo chuo kizimaJamaa alifanya donated !!?
kama ndivyo basii hizo triple six zipo mahala pake stahiki hahaaa
kumbe ...!! ngoja nikaongeze ufahamu zaidi Google ..maana hpa sasa mtakuwa mnanichanganyaGates alidhamini ujenzi wa college ya informatics siyo chuo kizima
Unawashwa wewe, hivyo ndo ninavyokumbuka na vimepita katika miaka niliyokaa UDOM. sijalazimisha kupata sita bythe way hongera tena kwa kuongeza idadi nyingine nilikuwa nimesahauHivyo ni vifo anavyo vijua yeye kalazisha vifike sita ila ni zaidi kuna aliyekufa kwenye swimming pool, kuna aliyefia guest na wapo wengi tu ni zaidi ya vifo nane sema analazimisha apate namba sita sawa na mawazo yake.