Huyo bwana anatumia vibaya biblia.Yaani kuona hostel za social...ndio ukaamulia kuja kufungulia uzi hapa!!!
Sio mbaya sawa!!
Je ungeziona na hostels za CIVE UDOM??
Nadhani ungestick kabisa
![]()
Mimi nimekuelewa sana, japo watu watakutukana amini wapo tuliokuelewa. Nimesoma Udom 2010 na kila semister tulikuwa tunaaga mwili wa mwanafunzi aliefarikiKhabari vipi
Katika chambua chambua zangu za hapa na pale mara nikagundua waliopewa jukumu la kujenga chuo cha kimataifa cha dodoma wachina walijenga yale majengo wa muundo wa kipekee ambao ukiwa chini huwezi kuona mybe utumie camera kutoka juu high oblique utagundua majengo ya block yamejengwa kwamuundo wa nammba 666 sijaelewa ni lengo lilikuwa hivyo au ilitokea tu kwa kivipi ni hayo tu waweza fugua google earth na kusearch kisha ukajionea mwenyewe
Asanteni
View attachment 684125
We jamaa Mimi nimesoma UDOM 2009-2012 acha uongo siyo kila semister na hata kama ingekuwa kweli chuo kilikuwa na wanafunzi zaidi ya 10,000 kutokea vifo ni kawaida kwenye population kubwa.Mimi nimekuelewa sana, japo watu watakutukana amini wapo tuliokuelewa. Nimesoma Udom 2010 na kila semister tulikuwa tunaaga mwili wa mwanafunzi aliefariki
Uongo wangu upo wapi sasa wakati umeshasema chuo kilikuwa na population kubwa hivyo watu kufa ni kawaida. Unaniita muongo alafu unakubali kwamba vifo vilikuepo.We jamaa Mimi nimesoma UDOM 2009-2012 acha uongo siyo kila semister na hata kama ingekuwa kweli chuo kilikuwa na wanafunzi zaidi ya 10,000 kutokea vifo ni kawaida kwenye population kubwa.
By the way hakuna 666 hapo imani inafanya uonr hata ambacho hakuna.
You only see what you want to see...
Alafu usipende kukaa tu ndani ya box, jaribu kutoka nje ya box jifunze vya darasani na vya ulimwengu pia. Mtu kama wewe hata kinachoendelea Tanzania hukijui na hauwezi kifahamu maana umeridhika na hapo ulipoWe jamaa Mimi nimesoma UDOM 2009-2012 acha uongo siyo kila semister na hata kama ingekuwa kweli chuo kilikuwa na wanafunzi zaidi ya 10,000 kutokea vifo ni kawaida kwenye population kubwa.
By the way hakuna 666 hapo imani inafanya uonr hata ambacho hakuna.
You only see what you want to see...
Hamna cha box wala chupa the good thing haya mambo nimeanza yafuatilia long time ago enzi hizo hata internet adimu early 2000's makala kwenye gazeti za Rai. Since hapo nimesoma haya mambo saana saana usifikiri uko informed kuliko wengine.Alafu usipende kukaa tu ndani ya box, jaribu kutoka nje ya box jifunze vya darasani na vya ulimwengu pia. Mtu kama wewe hata kinachoendelea Tanzania hukijui na hauwezi kifahamu maana umeridhika na hapo ulipo
So unataka kusema kwamba chuo kilikuwa kinafanya kafara au sijakusoma vzr???Mimi nimekuelewa sana, japo watu watakutukana amini wapo tuliokuelewa. Nimesoma Udom 2010 na kila semister tulikuwa tunaaga mwili wa mwanafunzi aliefariki
Soo unaumri sawa na Magu?Hamna cha box wala chupa the good thing haya mambo nimeanza yafuatilia long time ago enzi hizo hata internet adimu early 2000's makala kwenye gazeti za Rai. Since hapo nimesoma haya mambo saana saana usifikiri uko informed kuliko wengine.
Inawezekana kuna tatizo kwani?Soo unaumri sawa na Magu?
HongeraHamna cha box wala chupa the good thing haya mambo nimeanza yafuatilia long time ago enzi hizo hata internet adimu early 2000's makala kwenye gazeti za Rai. Since hapo nimesoma haya mambo saana saana usifikiri uko informed kuliko wengine.