Usilihusishe tukio hili na dini yoyote tafadhali

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1411655520405.jpg
 
Wanabaka nini?

Binti anajitetea kuzuia fimbo au sijui kipande cha nondo nyembamba
 
alah akbaru alafu anapigwa kisu ya shingo chezea. ALSHABAB wewe
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana ukiibiwa laptop, kamera, flash, simu, kitambulisho au hata ukipoteza ni vyema ukaripoti polisi. Sia jaabu ukajikuta unaisidia police kwa sababu jirani yako hakupendi.
 
Hili tukio ilikuwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani na huyo binti alikuwa ni kahaba hao jamaa walikuwa wakiwafukuza kwa kuwachapa viboko, msilete uchonganishi humu maana tayari watu wameshaanza sijui wanachinja huo sio uungwana
fahega that's why nimetahadharisha mapema kuwa lisihusishwe na mambo ya kiimani
 
Last edited by a moderator:
Hili tukio ilikuwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani na huyo binti alikuwa ni kahaba hao jamaa walikuwa wakiwafukuza kwa kuwachapa viboko, msilete uchonganishi humu maana tayari watu wameshaanza sijui wanachinja huo sio uungwana

Hao jamaa nani amewapa hayo mamlaka ya kufanya hivyo wakati wa mwezi wa Ramadhan?

Tiba
 
Mwezi wa Ramadhan sio mambo ya kiimani? Mshana vipi bana!
Lukansola hatuna ithibati kwamba ilikuwa ni mwezi wa ramadhani kweli lakini pia tuna uhakika gani kama hao ni wa imani hiyo kweli? Sio wote wafungao Ramadhani ni waislam wa kweli
 
Last edited by a moderator:
Hao jamaa nani amewapa hayo mamlaka ya kufanya hivyo wakati wa mwezi wa Ramadhan?

Tiba

Hili tukio ilikuwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani na huyo binti alikuwa ni kahaba hao jamaa walikuwa wakiwafukuza kwa kuwachapa viboko, msilete uchonganishi humu maana tayari watu wameshaanza sijui wanachinja huo sio uungwana

Natamani kuamini kama huyo dada alikuwa kahaba. Tatizo ni mavazi aliyovaa...makahaba wa eneo gani huvaa hivyo?
 
Back
Top Bottom