Huyo bidada yupo humu?
Najua ameleta ili na wengine tupone kupitia huu ujumbeSio lazima awemo humu, mengine yanaletwa ili wengine wajifunze waache udwanzi na kuvuruga ndoa kisa michepuko!!!!
The answer is very obvious,amekula kona..Mchepuko yupo wapi?
WUnaacha mzazi mwenzio, unamzingua, unamfelisha, mnaachana unaenda kuishi kwa mchepuko na mali ulizompora mshkaji, mchepuko anazitumia, zinaisha anakufukuza na anakuachia na ka UKIMWI, unarudi kuwasumbua ndugu ama wazazi, unajisikia aibu hata kuhudhulia hospital, unadhoofu, ukipita mtaani kila mtu anakusema vibaya wewe, umalaya wako unakuwa silaha kali dhidi yako, unadhoofu, unatia huruma, Mungu anakuweka hufi wala nini, yaani unakongoroka unakuwa Kama kasa, unahara kama kinda la bata mzinga, baadae sana ndo unakumbuka kwenda kanisani wakakuombee....shenzi kabisa......nimeandika haya kwa hasira kidogo.
Mama yao na watoto.Wewe interest yako ni ipi? Jirani, mume mchepuko ama mtoto?
Tuanzie hapo.
It's very sad.W
Mama yao na watoto.
Kwa watoto wanapoteza stability ya maisha kwa ajili ya ujinga wa mama yao. Mke anatangatanga kwa kuzuzuka na mchepuko
Pole.Unaacha mzazi mwenzio, unamzingua, unamfelisha, mnaachana unaenda kuishi kwa mchepuko na mali ulizompora mshkaji, mchepuko anazitumia, zinaisha anakufukuza na anakuachia na ka UKIMWI, unarudi kuwasumbua ndugu ama wazazi, unajisikia aibu hata kuhudhulia hospital, unadhoofu, ukipita mtaani kila mtu anakusema vibaya wewe, umalaya wako unakuwa silaha kali dhidi yako, unadhoofu, unatia huruma, Mungu anakuweka hufi wala nini, yaani unakongoroka unakuwa Kama kasa, unahara kama kinda la bata mzinga, baadae sana ndo unakumbuka kwenda kanisani wakakuombee....shenzi kabisa......nimeandika haya kwa hasira kidogo.
Acha uoga weweLinpokuja suala km hili ndio unapoanza kujiuliza tena suala la ndoa...nihangahike kutafuta mali halaf mtu anakuja kukusingua namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Msamehe tu yameshapita hayo.Unaacha mzazi mwenzio, unamzingua, unamfelisha, mnaachana unaenda kuishi kwa mchepuko na mali ulizompora mshkaji, mchepuko anazitumia, zinaisha anakufukuza na anakuachia na ka UKIMWI, unarudi kuwasumbua ndugu ama wazazi, unajisikia aibu hata kuhudhulia hospital, unadhoofu, ukipita mtaani kila mtu anakusema vibaya wewe, umalaya wako unakuwa silaha kali dhidi yako, unadhoofu, unatia huruma, Mungu anakuweka hufi wala nini, yaani unakongoroka unakuwa Kama kasa, unahara kama kinda la bata mzinga, baadae sana ndo unakumbuka kwenda kanisani wakakuombee....shenzi kabisa......nimeandika haya kwa hasira kidogo.