Usiku mwema bhana

Usiku mwema bhana

Na kwako pia! Usiote unasukuma gari la Jairo tafadhali; utatenguka mgongo kwa laana za EMT! Don't say u were not warned! LOL
 
Amka ukasukume gari huko,, oops kumbe wamemrudisha tena likizo!!
 
Amka ukasukume gari huko,, oops kumbe wamemrudisha tena likizo!!
Tanmo nimekuona pale kwenye kuimba .. unapalilia shavu aka ajira aka take away mwisho wa mwezi
 
poa, Jah Hiro aliyekuwa Hero amepigwa kibuti tena anasubiri tusahaulishwe atarejeshwa kama kawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom