hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 5,227
- 3,145
Mbususu
Ndiyo chakula gani?Mbususu
Kitumbua kikavu bila chai?Hivi sasa nacoment ni saa 3:00 usiku, nakula nyuzi za JF huku nashushia na kitumbua... Ee namaanisha kitumbua kile cha mchele wa kukaanga, naona mmeshaanza kuniwazia mabaya hapa.
Heri weweNilijaribu kila matunda sikutoboa! Na kilo ndio zinaongezeka...
Sasa,19-20:00 vyakula vya kawaida tuu,na baada ya hapo matunda mawili matatu....
Hivyo vitu vina shida gani mkuu?Daah aisee sijui doctor wako ni nani mkuu?
Ila kwakuwa wewe ni wakike sio mbaya kulainisha utumbo.
Ubuge ubuge usiku noma kabisaHivyo vitu vina shida gani mkuu?
Kwa mlo wa usiku ni sawa kabisa! Ratio ni mashoesHey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku?
Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
View attachment 3482924
Maji tu yanatosha nasukumia taratabu kabisa...Kitumbua kikavu bila chai?
Mchezo mbaya huo
Hapana mimi nilipandikizwaHuu ndio ulikufanya uje duniani
Hapo ilibidi upate chai ya maziwaMaji tu yanatosha nasukumia taratabu kabisa...
🤣🤣🤣ratiba ya leo ipo kwenye wali ai chips?Wali + Mshangazi
Chipsi + Katoto ka 2k
Matunda + Peke angu
Au juis+ peke angu
Bado sijaelewaUbuge ubuge usiku noma kabisa
Unajitesa sanaHey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku?
Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
View attachment 3482924
ushauri mzuri sema sijuagi wanachemshaje hiyo kitu, itapendaza leo ukuje unichemshie ili nishushie vizuri kitumbua usiku.Hapo ilibidi upate chai ya maziwa
Upo wapi?ushauri mzuri sema sijuagi wanachemshaje hiyo kitu, itapendaza leo ukuje unichemshie ili nishushie vizuri kitumbua usiku.