kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
- Thread starter
- #41
Kwanini unaisema hivyo mkuu?Unajitesa sana
Kwanini unaisema hivyo mkuu?Unajitesa sana
Hey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku?
Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
View attachment 3482924
Hapa hapa dasilamu tu mama, makao makuu ya uchafuzi...Upo wapi?
Ntajitahidi 😎Utakufa bure. Kula chakula latest 7pm.
Nilikula mumamaaaaa wa mtu🤣🤣🤣ratiba ya leo ipo kwenye wali ai chips?
😂😂😂wewe kibokoNilikula mumamaaaaa wa mtu
Sema nimekula...mpka basi an kiufupi hawa watu nawala sana aiseeee mpka wanasimulia😂😂😂wewe kiboko
Haujawakinai?Sema nimekula...mpka basi an kiufupi hawa watu nawala sana aiseeee mpka wanasimulia
Nakikinai basi unakuta kanatokea katoto ka uswazi kanasema nataka bolkoni... Hata ingekua ww ndo mimi uwezi kataaa ahahahhahaHaujawakinai?
Mara mishangazi mara katoto ka uswazi hueleweki kabisa, au yoyote tu wewe unambless😂😂Nakikinai basi unakuta kanatokea katoto ka uswazi kanasema nataka bolkoni... Hata ingekua ww ndo mimi uwezi kataaa ahahahhaha
Hv upo pande zipi wewe 🤗🤗🤗🤗🫵
Hanang huko nakuja nakuja ahahahahha au skia natuma nauli ukuje huku bana.... 😂😂😂🫵🫵🫵Mara mishangazi mara katoto ka uswazi hueleweki kabisa, au yoyote tu wewe unambless😂😂
Eniwei mimi nipo Hanang wewe je?
Utakuwa umefanya jambo la maana sana maana sijawahi kufika mjini daslama😂😂Hanang huko nakuja nakuja ahahahahha au skia natuma nauli ukuje huku bana.... 😂😂😂🫵🫵🫵
Nitume nauli au nije kukuchukua ... au vyote kwa pamoja jeUtakuwa umefanya jambo la maana sana maana sijawahi kufika mjini daslama😂😂
Bora utume nauli gharama zipungue au we unaonaje😝Nitume nauli au nije kukuchukua ... au vyote kwa pamoja je
Sawa ntatuma basi..Bora utume nauli gharama zipungue au we unaonaje😝
Kwanini nisiweze sasa, kwanza hayo ndiyo mazingira niyapendayo😂😝Sawa ntatuma basi..
Sema life la uswazi utaweza mana mwenzako nakaa uswazi huku
MamboKwanini nisiweze sasa, kwanza hayo ndiyo mazingira niyapendayo😂😝
Safi unaendeleaje?Mambo
Am caming back..Safi unaendeleaje?