Tisha-TOTO JF-Expert Member Feb 10, 2010 1,175 604 Nov 30, 2012 #1 Kuna nini jamani? Nimekaa kwenye jam zaidi ya lisaa limoja Kati ya Serena hadi Palm Beach!!!
Head teacher JF-Expert Member Mar 10, 2012 1,796 411 Nov 30, 2012 #2 Poleni sana, nawaonea huruma walioweka mafuta ya elfu tano, shika bodaboda wakuletee mafuta
Mr Dhaifu JF-Expert Member Jul 14, 2012 778 182 Nov 30, 2012 #3 Tisha-TOTO said: Kuna nini jamani? Nimekaa kwenye jam zaidi ya lisaa limoja Kati ya Serena hadi Palm Beach!!! Click to expand... Kuna JB Mpiana leaders mkuu pitia hapo uchungulie.
Tisha-TOTO said: Kuna nini jamani? Nimekaa kwenye jam zaidi ya lisaa limoja Kati ya Serena hadi Palm Beach!!! Click to expand... Kuna JB Mpiana leaders mkuu pitia hapo uchungulie.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,444 25,591 Nov 30, 2012 #4 Huku Africana Mbezi ndo balaaaa...
L Lusaa JF-Expert Member Sep 12, 2011 270 112 Nov 30, 2012 #5 Kweli kabisa, mwenyewe nimesota zaid ya saa moja kutoka Posta mpaka Morocco.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Nov 30, 2012 #6 rudi nyuma na uingie pale jolly intl ujiachie mpaka foleni itakapo pungua.. pole sana mkuu...
T Trueman Member Oct 11, 2012 88 10 Nov 30, 2012 #7 Labda imesababishwa na show ya JB Mpiana hapo Leaders leo