Usiku huu Dar - foleni kubwa barabara ya Ali Hassan Mwinyi

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
1,175
604
Kuna nini jamani? Nimekaa kwenye jam zaidi ya lisaa limoja Kati ya Serena hadi Palm Beach!!!
 
Poleni sana, nawaonea huruma walioweka mafuta ya elfu tano, shika bodaboda wakuletee mafuta
 
Kweli kabisa, mwenyewe nimesota zaid ya saa moja kutoka Posta mpaka Morocco.
 
rudi nyuma na uingie pale jolly intl ujiachie mpaka foleni itakapo pungua.. pole sana mkuu...
 
Back
Top Bottom